Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti...

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Wilaya ya Chamwino waliojitokeza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa...

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Wilaya ya Chamwino waliojitokeza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ONE NATION, ONE DREAM: OCTOBER TUNATIKI !!

Saturday, 09th August 2025Christopher MakwaiaTel: +255 789 242 396  In Dodoma, with skies so bright,President Samia Suluhu Hassan steps forth, ready to fight.Her purpose clear, her eyes keen,She...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Josiah Girls ;Tunasonga Mbele kwa Imani

Malezi yanayoungwa mkono na imani husaidia mabinti kuelewa thamani ya maisha, heshima, na mshikamano. Josiah Girls inajenga mabinti wenye maadili thabiti na tabia za uongozi.Hii ni malezi ya kipekee...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

🎉Maadhimisho Miaka 15 ya Josiah Girls’ Secondary School 🌟

Josiah Girls’ Secondary School, tangu kuanzishwa kwake mwaka 2010, imekuwa taa ya elimu bora na malezi yenye maadili kwa wasichana wa Bukoba na Tanzania kwa ujumla.Katika kuadhimisha miaka 15 ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

✨ Usikose Updates Kila Siku! Subscribe & Share BukobawadauLi

Tembelea Youtube BukobaWadauLive 🎥📍 Habari | Michezo | Burudani | Maarifa✨ Usikose Updates Kila Siku!👍 Subscribe & Share BukobawadauLive ili kuunga mkono kazi yetu na kuendelea kupata taarifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

7 Years of Dreams and Achievements – Standard Seven Graduation

Today, we celebrate 7 years of dedication, community support, and holistic education for our Standard Seven students. They have reached the pinnacle of primary education, equipped with knowledge,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti...

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Morogoro katika mkutano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

✨ Dkt. Samia Suluhu Hassan, mgombea wa nafasi ya Rais kupitia CCM, Ahutubia...

✨ Dkt. Samia Suluhu Hassan, mgombea wa nafasi ya Rais kupitia CCM, amekutana na wananchi wa Chamwino, Dodoma 🇹🇿 leo 31 Agosti 2025, katika muendelezo wa kampeni zake za Uchaguzi MkuuMgombea wa Nafasi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahafali Ya 7 Ya Darasa La Saba (#graduation 2025) @Mushemba Trinity yafana !

🎓 “Miaka 7 ya Ndoto na Mafanikio – ”Sherehe ya darasa la saba katika Shule ya Msingi Mushemba iliyoyopo Manispaa Bukoba  (Mushemba Trinity School) iliadhimishwa kwa furaha na mshikamano wa jamii....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Samia Aitikisa Mbeya – Wananchi Wajitokeza kwa Wingi

Mgombea wa Urais na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea na kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa kuzungumza na wananchi wa Mbeya Mjini, Septemba 4, 2025. Wananchi walijitokeza kwa wingi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fursa Viwanja Vinauzwa *Block *A Kahororo Cliff - Bukoba.

Viwanja Bora Eneo Sahihi ni:*Block *A Kahororo Cliff - Bukoba.> “Kahororo, Bukoba – sehemu yenye upepo mwanana na mandhari ya jua kuchomoza juu ya Ziwa Victoria.Viwanja vitatu (jumla 5,806 m²) vipo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan...

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Njombe katika muendelezo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO:Mtoto Kimodoi Na Tecnologia ya AI Shuleni Mushemba #MushembaTrinitySchool

 Wanafunzi wa Mushemba Trinity wamesherehekea kumaliza elimu ya msingi wakiwa na maarifa, maadili, na ndoto zinazokua. 🌟 Teknolojia kama AI na ChatGPT imewawezesha kupata ujuzi zaidi na kuendeleza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUENDELEZO WA KAMPENI SEP 6,2025 DKT SAMIA AISIMAMISHA NJOMBE

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Makambako katika muendelezo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASIRA KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA MUSOMA

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira Amezindua kampeni za CCM  katika jimbo la Musoma mjini lenye kata 16 ambapo kata mbili kati ya hizo wagombea udiwani wa chama hicho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT JINGU AZINDUA KAMATI YA MAKAO YA TAIFA YA WATOTO KIKOMBO.

Serikali inaendelea kuweka mazingira mazuri na rafiki kwa ajili ya ustawi wa watoto nchini kupitia utekelezaji na uimarishaji wa afua mbalimbali hususan watoto waliotokea katika mazingira magumu.Na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

📍 St. Thereza Memorial Clinic, Buyekera, Shelisheli

Kwa huduma bora na Huduma bora kwa kila mgonjwa!St. Thereza Clinic inajivunia kutoa huduma ya afya ya kisasa na ubora wa hali ya juu.Dr. Joas (Jojo) Kyabonabi, daktari bingwa wa Internal &...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DODOMA SEP7,2025 :Mgombea wa CCM akiwasalimia na kuomba kura kwa wananchi wa...

 Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Mlowa waliopo kwenye Jimbo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALAA LA BUKOBA MKUTANO WA DKT.NCHIMBI AKIENDELEA KUSAKA KURA ZA CCM

MGOMBEA mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili katika uwanja wa Kashai,Bukoba mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutoka Viwanja vya Gombani ya Kale, Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini...

.Wasanii wa Kikundi cha Wapendanao cha CCM Mkoa wa Magharibi Zanzibar wakitumbuiza kwenye mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Viwanja vya Gombani ya Kale, Wilaya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fikiria makubwa, miliki sasa!” Viwanja Vitatu Vinauzwa Kahororo-Bukoba

ivi ndivyo viwanja vitatu  Block A Kahororo – Bukoba vinavyoleta fursa ya makazi ya kifahari na uwekezaji wa kiwango cha juu.Fikiria makubwa, miliki sasa!”“Mandhari ya Ziwa Victoria 🌅, dakika 5 kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

#LINDI:Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na...

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Kassim Majaliwa akicheza mziki na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Lindi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI MWAMBEGELE ATAMBELEA WILAYA YA CHAMWINO

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akiangalia mabengi kwaajili ya mafunzo kwa watendaji wa vituo wakati wa Uchaguzi wakati alipotembnelea ghala la vifaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHUMI WA TANZANIA UMEKUA KWA 5.4 ROBO MWAKA YA KWANZA 2025

Timu ya Wataalamu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikiongozwa na Bw. Nicolas Blancher, imemaliza ziara yake nchini Tanzania iliyofanyika kuanzia Septemba 17–24, 2025, ambapo ilifanya tathmini ya...

View Article