$ 0 0 Tumepokea kwa masikitiko makubwa na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Ndugu Mkandala Rufufu,aliyejipatia umaarufu mkubwa wa kutafsiri movie za kizungu na Kihindi kwa sauti ya Kiswahili Tunamwomba Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi !