$ 0 0 Balozi Mwapachu ametangaza rasmi kuanzia kesho tarehe 14-10-2015 hatokuwa tena mwanachama wa CCM na atarejesha kadi hiyo rasmi ofisi ya CCM ya kata ya Mikocheni jijini Dar es Salaam na kasema ajaamua kujiunga na chama chochote.