#Habari:Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu yaamua kuwa watuhumiwa 8 wa Dawa za kulevya watakuwa chini ya uangalizi kwa kipindi cha mwaka mmoja,na kuliagiza Jeshi la polisi kuwafanyia uchunguzi wa mara kwa mara watu hao katika maeneo yao.
Endelea kufuatilia taarifa zetu kufahamu zaidi