Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

VIDEO:MBUNGE BALOZI DK KAMALA AKABITHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZOTE WILAYANI MISSHENYI NA TIMU 13 ZA KATA NDANI YA JIMBO LA NKENGE

$
0
0
 Mbunge wa Jimbo la Nkenge leo amekabidhi vifaa vya michozo vyenye thamani ya shilingi milioni 36,080,000 za kitanzania kwa shule zote za sekondari zilizo ndani ya Wilaya ya Missenyi
Vifaa hivyo amekabidhi katika mkutano mkubwa wa kila mwaka wa  Wadau wa maendeleo wa Jimbo la Nkenge uliofanyika jana Alhamisi Dec 14,2017 katika ukumbi wa Halmashauri ya Missenyi-Bunazi

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>