MWANAMITINDO JOCKTAN MAKEKE KUWAKILISHA TANZANIA KWENYE MASHINDANO YA TDWFS...
 Msanii wa mitindo ya kiafrika kutoka Tanzania JOCKTAN WA MAKEKE AFRIKA ambaye amekuwa tishio katika mitindo ya asili ya mwafrika ameendelea kuiwakilisha vyema Tanzania katika majukwaa mbalimbali ndani...
View ArticleBONANZA LA WINDHOEK DRAUGHT KUFANYA BUKOBA NA MULEBA KUANZIA KESHO
 Tamasha kubwa la Windhoek Draught linatarajiwa kufanyika kesho Jumapili katika Viwanja vya bukoba Club Mjini hapa,bonanza hilo litapambwa na burudani mbalimbali huku mambo ya nyama choma yakihusika...
View ArticleSITOKUWA TAYARI KUTOA MATUMAINI HEWA KWA WANANCHI AMBAYO HAYATEKELEZEKI-DKT...
  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Ifakara wilayani Kilombero kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa wakati wake utakuwa wa...
View ArticleLOWASSA ALIVYOUTIKISA MJI WA TABORA LEO
 Aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mngeja akiuhutubia Umati wa wakazi wa Mji wa Tabora, waliofutirika kwa wingi kwenye Uwanja wa Town School, kulikofantika Mkutano wa Kampeni za...
View ArticleMKUTANO WA ACT WAZALENDO UWANJA WA KAWAWA KIGOMA MJINI
 Sehemu ya matukio ya picha Mkutano wa @ACTwazalendo Uwanja wa Kawawa Kigoma MjiniKatika picha kinachojiri mkutano wa Chama cha ACT Wazalendo jioni ya leo Sep 6,2015
View ArticleLOWASSA - NZEGA MJINI LEO
Chopa ya Mgombea Urais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ikitua eneo la Uwanja wa Mkutano, huku...
View ArticleBONANZA LA WINDROEK DRAUGHT KUTOKA VIWANJA VYA BUKOBA CLUB
 Matukio katika picha yaliyojiri mapema leo kutoka Viwanja vya Gymkhana Bukoba Club, lile Bonanza la Windhoek Draught likiendelea kuchukua kasi,ambapo kesho shangwe hizi zitakuwa The Rock pub kwa Mzee...
View ArticleHIVI NDIVYO MAGUFULI ALIVYOUTIKISA MJI WA MOROGORO JIONI YA LEO,JK ASEMA...
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisistiza jambo katika mkutano huo. Wananchi wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Jamhuti mjini Morogoro kwenye mkutano wa...
View ArticleFlaviana Matata ateuliwa kuwa Balozi wa hiyari wa Utalii Tanzania.
 Dr Adelhelm James Meru akimkabidhi Flaviana Matata barua ya kuchaguliwa kwake huku kaimu Mkurugenzi Devota Mdachi akishuhudia, katika ofisi za wizara hiyo Mwanamitindo wa Kimataifa anaefanyia kazi...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAPA POLE MAJERUHI YA MSONGAMANO WA WANANCHI BAADA YA MKUTANO...
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya  Mkoa wa Morogoro Dkt. Ritha Lyamuya alipokwenda kuwapa pole majeruhi walioumia katika msongamano mkubwa uliotokea...
View ArticleSIKILIZA MAZUNGUMZO YA DR SLAA NA TIDO
Sikiliza hapo juu kama ulipitwa mahojiano ya aliyekua Ktibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa na Tiddo Mahojiano mapema ya leo.
View ArticleUZINDUZI WA KAMPANI KAGASHEKI WATIKISA !!
SwahibaAA! SwahiBAAA! SwahibAAA...!!zinasikika kelele za wapenzi wa Kagasheki na wafuasi wa CCM kuonyesha wanavyo msupport mgombea wao Balozi Khamis Kagasheki, katika uzinduzi wa Kanipeni zake...
View ArticleMAGUFULI AHIDI KUFUFUA VIWANDA MKOANI TANGA,KUONGEZA AJIRA KWA VIJANA
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akifafanua jambo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Tanga waliojitokeza kwenye...
View ArticleKAMPUNI YA SIMU YA TIGO NA DTBi WAZINDUA HUDUMA YA KUREJESHA KUMBUKUMBU NA...
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk.Binilith Mahenge (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo cha oparesheni  cha Kampuni ya MagilaTech, iliyotengeneza teknolojia ya tigo backup...
View ArticleNITABORESHA MASLAHI YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA-MAGUFULI
Msafara wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ukiwasilia katika mkutano wa hadhara wa kampeni,Korogwe vijijini.MGOMBEA urais kwa teketi ya CCM, Dk.John Magufuli akifafanua jambo kwa msisitizo...
View ArticleHABARI PICHA MAPOKEZI YA MWILI WA MZEE JOSEPH MSHUMBUSI MJINI BUKOBA LEO SEP 10.
Mjini Bukoba mamia ya watu na Viongozi mbalimbali wamejitokeza Uwanja wa ndege kushiriki mapokezi ya Mwili wa marehemu mzee Joseph Mshumbusi mapema ya leo majira ya saa 3 asubuhi .Mara baada ya...
View ArticleNAWASHANGAA MAWAZIRI WAKUU WENZANGU WALIOSTAAFU,WAKIDAI CCM MIAKA 50 HAKUNA...
 Waziri Mkuu Mstafu Jaji Joseph Sinde Warioba akihutubia wakazi wa Butiama ambapo aliwaeleza Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.PICHA ZOTE NA MICHUZI JR-MARAWAZIRI Mkuu...
View ArticleMASWALA HAYA NI MUHIMU KATIKA MAHUSIANO
Kinachokupa kiu ya kurudi nyumbani mapema au ya kuwepo nyumbani nyakati ambazo haulazimiki kutoka hakitakiwi kuwa ni Tv programs, au ujenzi unaoendelea nyumbani, au uzuri wa nyumba na sebule yako, au...
View Article