Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Tawala...

 Waziri Mkuu wa India atoa TZs Milioni 545 kusaidia waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani KageraTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUMISHI Watatu wa Serikali na Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Bukoba...

WATUMISHI watatu wa serekali akiwemo Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Bukoba mjini wamepandishwa kizimbani jana na kusomewa mashtaka mawili ya kutaka kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kwa kufungua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC BUKOBA AONGEA NA BARAZA LA MADIWANI,ATEMBELEA MAENEO YANAYOFANYIWA UKARABATI

Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Bw. Deodatus Kinawiro akiongea na Baraza la Madiwani la halmashauri ya bukoba na kuwataka kuacha kulalamika hasa katika kipindi hichi cha kurudisha hali ya kawaida baada ya...

View Article

VIDEO:DC KINAWIRO AKUTANA NA BARAZA LA MADIWANI MKOANI KAGERA NA KUKAGUA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAREMBO 30 MISS TANZANIA WATINGA KAMBINI LEO, WAPEWA SOMO LA AWALI NA MISS...

Baadhi ya Washiriki watakaowania Taji la Miss Tanzania 2016 wakiwa katika picha pamoja muda mfupi baada ya kuwasili kambini. Jumla ya Washiriki 30 kutoka kanda mbalimbali nchini wameingia Kambini leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKOA WA KAGERA WAZINDUA RASMI KAMPENI YA HUDUMA JUMUISHI ZA AFYA NA UKIMWI...

Mkoa wa Kagera wazindua rasmi Kampeni ya Huduma Jumuishi za Afya na UKIMWI yenye Kaulimbiu “Kuwa Mjanja! Afya ndiyo  dili” katika Halmashauri za Wilaya mbili za Missenyi na Karagwe kwa kulenga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMIRI JESHI MKUU RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOFUNGA MAFUNZO YA MEDANI YA KIJESHI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akilakiwa na Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Jenerali Davies Mwamunyange alipowasili kushuhudia kufungwa kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIJA KWA BIKIRA MARIA NYAKIJOGA:Lurdi ya Bukoba yafanyika Leo Oct 2,2016

 Waumini wa dhehebu la kanisa katoliki leo wameungana pamoja kwenye ibada ya hija ya Bikira Maria iliyofanyika kwenye eneo la Nyakijoga lililoko katika kata ya Mugana iliyoko wilayani Misenyi kuwaombea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC KAGERA AELEZA JITIHADA ZA SERIKALI KATIKA KUREJESHA HALI BAADA YA TETEMEKO

Taarifa ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera kuhusu hatua iliyofikiwa katika kurudisha hali baada ya tetemeko "Serikali inaendelea kuchukua hatua katika kurejesha hali baada ya tetemeko"RC KAGERA  "Serikali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AMKABIDHI VIFAA VYA UJENZI MJANE MKOANI KAGERA.

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali (Mst) Salum Kijuu akimkabidhi Vifaa vya ujenzi Mjane Agripina Angelo mkazi wa Kitoma Mkoani Kagera kwa Niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO MAENEO YA MPAKANI ZIARA YA RAIS MSEVENI WA UGANDA OCT 4,2016

Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda Leo ametoa Mabati 30,Saruji ,misumari na Saruji yenye uwezo wa kujenga nyumba ya mabati 30 kwa kila Kaya iliyoathiriwa na Tetemeko la ardhi hii kwa Raia wa Uganda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AMWANDALIA DHIFA YA TAIFA RAIS JOSEPH KABILA WA DRC, IKULU,...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila  Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu alikomwandalia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO MAENEO YA MPAKANI ZIARA YA RAIS MSEVENI WA UGANDA OCT 4,2016

Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda Leo ametoa Mabati 30,Saruji ,misumari na Saruji yenye uwezo wa kujenga nyumba ya mabati 30 kwa kila Kaya iliyoathiriwa na Tetemeko la ardhi hii kwa Raia wa Uganda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA NA RATIBA YA MAZISHI YA OMLANGIRA GOSBART IJUMBA.

Omlangira Rugaibula wa Kanyigo -Missenyi anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake Gozbert Ijumba  kilichotokea Juzi OCt 4,2016 katika hospitali ya Muhimbili Jijini Dar.Habari ziwafikie ndugu, Jamaa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOTO ULIOIBUKA ENEO LA KIJIJI KATARABUKA BWANJAI NA KUZUA TAHARUKI SIO VOLCANO !

 Kumekuwa na taarifa za kuzuka kwa  milipuko  ya miale ya moto eneo la  Kashalu(karibu na shule ya msingi Katarabuga)iliyopo Kata Bwanjai- Tarafa ya Kiziba(Wilaya ya Misenyi) Jioni ya leo ,hali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATAALAMU WA MAJENGO WA DIT KUFANYA UTAFITI UHARIBIFU WA MAJENGO KAGERA.

Mkurugenzi Idara ya Kuratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brigedia Jenerali Mbazi Msuya akiongea na Wataalamu wa majengo kutoka Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT), (hawapo pichani) ambao wapo mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI DR KAMALA AFANYA MKUTANO WA HADHARA KATIKA KIJIJI CHA KYAZI - KITOBO

Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala leo Oct 6,2016 ameendelea na ziara yake Jimboni , ziara yenye lengo la kuwapa pole wananchi kwa Tetemeko la ardhi lenye uzito wa 5.7 katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI UMMY ATOA MISAADA KWA WAATHIRIKA WA TETEMEKO MKOANI KAGERA.

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akitoa taarifa kwa Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kuhusu hatua iliyofikiwa na serikali katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA JANETH MAGUFULI AHUDHURIA MSIBA WA SHEMEJIE RAIS MSTAAFU MHE. JAKAYA...

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akilakiwa na Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete alipowasili kwenye msiba wa Marehemu Mariam Ramadhani Saburi, shemeji yake Rais Mstaafu Mhe. Jakaya Mrisho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri Anastazia Wambura Akutana na Wawekezaji wa China

Naibu Waziri, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Anastazia Wambura akiongea na wawekezaji wa Makampuni matatu kutoka China leo 10/10/2016 Jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri, Wizara ya...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>