NAMAINGO WATAKIWA KUCHANGAMKIA UZALISHAJI WA MALIGHAFI YA VIWANDA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mary Mashingo (katikati),akimkabidhi cheti Mwenyekiti wa Ushirika wa Vikundi vya Biashara Dar es Salaam (Vibidar Namaingo), Grace Lobulu katika...
View ArticleHOTUBA YA ZITTO KABWE JUU YA HALI YA ELIMU YA JUU NA SUALA LA MADAWA YA KULEVYA
Hotuba Yangu Bungeni Kuhusu Taarifa za Kamati za Bunge za Huduma na Maendeleo ya Jamii na Masuala ya UKIMWIMheshimiwa Spika, Nasimama kuunga mkono Taarifa za Kamati zilizowasilishwa katika Bunge lako...
View ArticleASIMIKWA KUWA ASKOFU DAYOSISI YA LWERU KAGERA
Askofu mteule wa Dayosis ya Rwelu mkoani Kagera Godfrey Mbelwa (katikati) akiapa kutumikia dayosisi hiyo kulia ni AskofuLugendo Julius wa Dayosis ya Mbeya na kushoto ni Askofu George Okoth kutoka...
View ArticleVIDEO/PICHA WABUNGE WA UPINZANI WALIPOTOKA BUNGENI DODOMA FEB 7,2017
Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT) Zitto Kabwe akizungumza na Wanahabari baada ya Wabunge wa Kambi ya Upinzani kutoka nje ya Bunge baada ya Naibu Spika wa Bunge kuamuru Mbunge wa jimbo la Serengeti Mkoa wa...
View ArticleWATUHUMIWA 17 WA DAWA ZA KULEVYA WAKAMATWA SHINYANGA...MAJINA MENGINE ZAIDI...
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akitoa taarifa kwa waandishi wa habari leo (hawapo pichani) Alhamis Februari 9,2017 kuhusu kukamatwa kwa watuhumiwa wa dawa za kulevya katika wilaya ya...
View ArticleMwenyekiti wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar Mhe. Simai Mohammed...
Mwenyekiti wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akizungumza na waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vya Tanzania na Nje wakati wa kutowa kwa taarifa kwa kukamilika kwa...
View ArticleDIWANI KIMWANI AAPISHWA NDANI YA BARAZA LA MADIWANI WILAYANI MULEBA
Diwani wa kata ya Kimwani Wilayani Muleba mkoani kagera Daudi Kiluma kupitia Chama cha mapinduzi ameapishwa leo na kupewa hati ya ushindi wa kuwa diwani wa kata hiyo baada ya kushinda uchaguzi mdogo...
View ArticleTUNDU LISSU AACHIWA KWA DHAMANA YA MIL 20
Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemuachi kwa dhamana ya milioni 20 Mbunge wa Singida Mashariki Mh.Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na makosa manne likiwamo lakutoa maneno...
View ArticleTAARIFA YA KIFO CHA OMWAMI TA EMMANUEL R.G.MUTABUZI
TAARIFA KIFO:Ndugu Wilbroad Mutabuzi wa Kashai Bukoba anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi Omwami Ta Emmanuel R. G. Mutabuzi kilichotokea siku ya Jana Feb 9,2017,Mazishi yanatalajiwa...
View ArticleNSHAMBA KISHURO NA CAMERA YETU.
Hapa ni stand ya magari makao makuu ya tarafa Tarafa ya Nshamba wilayani Muleba mkoani kageraTaswiraki Nshamba hii ni barabara ya kelekea kata ya Ngenge katika zahanati ya Kishuro iliyo chini ya...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA SHEREHE ZA MWAKA MPYA KWA MABALOZI (NEW...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini katika Sherehe za Mwaka mpya kwa Mabalozi(New Diplomatic Sherry...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AMWAPISHA KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI, KAMISHNA MKUU WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
View ArticleVIDA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA MKOA WA DAR
Ukitaka kuwavusha watu ng’ambo ya pili, usianze kujadiliana nao njia ya kupita maana watakupoteza tu, na leo nina majina mengine 97- Makonda#Usilete mbwembwe kwenye utawala huu, usilete mbwembwe kwenye...
View ArticleMAMA MAGUFULI NA MAMA MAJALIWA ZIARANI SINGIDA KUTEMBELEA VITUO VYA WAZEE...
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakilakiwa kwa furaha walipowasili katika Makazi ya Wazee Wasiojiweza Sukamahela wilaya ya Manyoni mkoani Singida leo Februari...
View ArticleJUKWAA LA BIASHARA MKOANI SIMIYU
Na Mroki Mroki, TSN Digital-Simiyu Ni ile siku iliyosubiriwa ya kuumulika kibiashara mkoa wa Simiyu ulioanzishwa mwaka 2012, ambao umejipambanua kuwa ‘mkoa darasa’, mintarafu suala zima la ujenzi wa...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAGENI MBALIMBALI IKULU...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke aliyefika Ikulu kwa ajili ya Mazungumzo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleMAMIA YA WAOMBOLEZAJI WAUAGA MWILI WA OMWAMI EMMANUEL MUTABUZI
Siku ya Jana Jumapili Feb 12, Mamia ya wambolezaji waliweza kushiriki Ibada ya kuaga mwili wa Mpendwa wao Mzee wetu ,Omwami Emmanuel Butabuzi iliyofanyika nyumbani kwake kashai Bukoba,Ibada hiyo...
View ArticleTAMASHA LA KUFANYA MAZOEZI NA KUPIMA AFYA KUFANYIKA JUMAMOSI DAR
Msemaji wa chama cha Maafisa Mawasilino Serikalini (TAGCO) Bw. Abel Ngapemba (wa pili kutoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Tamasha la kufanya mazoezi, kupima afya,kuchangia...
View ArticleSAFARI YA MWISHO YA JULIA NYANGOMA KWENYE NYUMBA YAKE YAKE YA MILELE.
MAMA WA MAREHEMU NA MTOTO WAKE WAKIWA WENYEWE MAJONZI WAKATI WA KUSHUHUDIA SAFARI YA MWISHO YA MTOTO WAKE JULIA NYANGOMA.Mama wa marehemu Julia Nyangoma akiwa mbele ya nyumba ya milele ya mtoto wake...
View ArticleANNA ABDALLAH APONGEZWA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI YA TGGA
Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wadhamini ya Tanzania Girl Guids Association (TGGA), Anna Abdallah (kushoto), akipongezwa na Kamishna Mkuu wa TGGA, Symphorosa Hangi (kulia) na Mwenyekiti wa Taifa wa...
View Article