NI SIMANZI NA VILIO KATIKA MAZISHI YA MZEE JANUARY LUTINAH KAYUMBE GERA...
Vilio na Simanzi vimetawala katika Mazishi ya Mpendwa Mzee January Lutinah Kayumbe , yaliyofanyika nyumbani kwake Katika Kijijiji cha Kasharazi -Gera Wilayani Missenyi tarehe 14 July 2021 na...
View ArticleTANGAZA NASI KWA GHARAMA NAFUU KABISA
Tunaendelea kukuangazia Bukoba.Wasiliana nasi Kwa kazi nzuri yenye ufanisi na Covarage ya matukio ya Picha na Video kwa bei poa kabisa +255754505043Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo...
View ArticleNENDA SALAMA MALEOKADIA KOKUTUNGISA MWENDO UMEUMALIZA NA IMANI UMEILINDA !
Nenda Salama MPENDWA Omwamikazi Maleokadia Kokutungisa Protas, Umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo umeumaliza, Imani Umeilinda#TutaonanabadaeMuda Mchache kabla ya Ibada ya Mpendwa wetu Maleokadia...
View Article#TANZIA Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias Kwandikwa afarika Dunia
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias Kwandikwa afarika Dunia.Afisa Uhusiano wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Bw.Aminiel Eligaisha amethibitishaÂ
View ArticleUMATI WA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA MPENDWA MA GRENSIA ENOCK KAMUZORA...
Tunamuombea pumziko la Amani na Mwenyezi Mungu awape faraja wanafamilia ya mpendwa wetu Ma Grensia Enock Kamuzora Nenda Salama Bibi,tangulia Mama, Umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo umeumaliza,...
View ArticleKASHAMBYA HOSPITAL ILIYOPO GERA YAZINDULIWA RASMI
Kituo Cha Afya Cha Kashambya kata Gera wilayani Missenyi mkoani Kagera ambacho kitatoa huduma za kitabibu kwa magonjwa mbalimbali ya binadamu kimefunguliwa ,ikiwa ni sehemu ya kutimia kwa ndoto ya Dr...
View ArticleMH.WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA:MGENI RASMI BARAZA LA MAULID KAGERA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwahutubia baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu kwenye Baraza la Maulidi lililfanyika katika viwanja vya Kaitaba, Bukoba, mkoani KageraÂ
View ArticleMaandamano ya Zafa kuadhimisha kwa Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) Mjini Bukoba
Mheshimiwa Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir Ally jana aliwaongoza Waumini wa dini ya Kiislamu pamoja na wananchi mbali mbali katika Maulidi ya kuadhimisha Kuzaliwa Mtume Muhammad...
View ArticleNI FURAHA KWA FAMILIA YA MLANGILA JUSTIN LAMBART KWA KUSHIKA NAFASI YA KWANZA...
Familia ya Mlangila Justin Lambart pichani muda mchache kabla ya kukabidhiwa Cheti cha shukrani kwa kuuchangia utume wa Radio Maria Tanzania katika Misa ya Shukrani kwa Kushika nafasi ya kwanza...
View ArticleA FINAL GOODBYE FOR JUSTUC MWEMEZI IN PICTURES
Umati mkubwa wa Waombolezaji wameza kushiriki Ibada ya Mazishi ya Mpendwa wetu Justuc Selestin Mwemezi yaliyofanyika Jana alhamisi Nov4,2021 Nyumbani kwao Kijijini Kihumulo Nshamba- Muleba Muonekano wa...
View ArticleCAMERA YETU KIJIJINI KISHANDA LEO
Wahaya waendelea kuwa mfano kwa nyumba nzuri za kupendeza zenye kila sifa inayofaa kwajili ya kuishi na familia huku ukifurahia utulivu mzuri.Tunakutana na nyumba nzuri ya kisasa hapa ni Kijijini...
View ArticleCHINGA SHOP NI WAUZAJI WA BIDHAA ZOTE ZA ELECTRONICS MJINI BUKOBA
Chinga Shop ni Wauzaji wa bidhaa mbalimbali kwa ajili yako nyumbani na ofisini kwa bei poa kabisa.Â
View ArticleWELCOME TO G-7 MOTEL AT KASHURA HILL BUKOBA
G7 Motel Ni hotel ya kisasa iliyopo Mjini Bukoba inatoa huduma ya kulala wageni na Ukumbi wa Mikutano Ipo maeneo ya kashura barabara ya Tibaijuka mkabala na Ofisi za EDIKaribu ujionee mandhari nzuri na...
View ArticleMAELFU WASHIRIKI MAZISHI YA MLANGIRA FREDRICK LINTON BARUTI WA BURUGO -BUKOBA
Umati mkubwa wa Waombolezaji watu mashuhuri ,Wanasiasa na Viongozi wa dini wameshiriki Mazishi ya Mpendwa wetu Mlangira Fredrick Linton Baruti yaliyofanyika Siku ya Ijumaa Nov26,2021 Nyumbani kwake...
View ArticleBenki ya NBC Yatoa msaada wa Vitanda Vyenye thamani Mil 14 Kwa shule ya...
Bukoba, Kagera: Disemba 14, 2021: Benki ya NBC imetoa msaada wa vitanda sitini (60) kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Tunamkumbuka iliyopo wilayani Bukoba mkoani Kagera ikiwa ni hatua ya...
View ArticleKuumwa kwa wachezaji 16 wa Simba kwapelekea mechi yao na Kagera Sugar...
Mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara baina ya Kagera Sugar dhidi ya Simba SC uliyopangwa kupigwa kwenye dimba la Kaitaba mjini bukoba umehairishwa.Mchezo huu ulio kuwa umepangwa kuchezwa hapo jana tarehe...
View ArticleMISA YA MATANGA YA MPENDWA AMELIA UPENDO NJUNWA
Nduyu jamaa na marafiki wameungana na Familia ya Marehemu HermanNjunwa katika Ibada ya Misa ya Matanga ya Dada yao mpendwa Amlia Upendo Njunwa.Â
View ArticleVILIO NA SIMANZI MAZISHI YA FAUSTINA LAMBERT RWEIMBAO
Mazishi ya mpendwa wtu Faustina Lambert Rweimbao.Wanafamilia wakiendelea kushiriki mazishi hayo.Askofu Rwoma akiongoza Mazishi ya mpendwa wetu Faustina Lambrt RweimbaoInaendelea..Mlangila Justin...
View ArticleUMATI WAMLILIA MCHUNGAJI ALFRED GABAGAMBI :Vilio ,huzuni na Simanzi vyatawala !!
Vilio huzuni na Simanzi vyatawala Mazishi ya Mchungaji Alfred Gabagambi yaliyofanyika siku ya Alhamisi Jan 13,2022 Nyumbani kwake Nyakahanga Karagwe na kuhudhuriwa na Idadi kubwa ya Viongozi wa Kidini...
View Article