Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MULEBA AJIKAANGA

KITENDO cha Mkurugunzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, Joseph Mkude cha kuwafukuza waandishi wa habari na wananchi katika vikao vya Baraza la Madiwani, kimelaaniwa na Mkuu wa wilaya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOGORO WA KISIASA BUKOBA MAHAKAMA YATOA HUKUMU MPYA NOV 11,2014

 Mahakama ya wilaya ya bukoba Mapema ya Jumanne Nov 11,2014 imetoa hukumu mpya kuhusiana na mgogoro wa manispaa ya bukoba unaoendelea kulindima katika manispaa hiyo. Katika maamuzi yake hakimu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA ATUNUKIWA HATI YA HESHIMA NA WANACHUO WA KIMATAIFA WA CHUO...

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akipokea Hati ya Heshima kutoka kwa Rais wa Wanachuo kutoka Mataifa Mbalimbali Duniani Wanaosoma Chuo Kikuu cha Ghent. Balozi Kamala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA MH.MBOWE MPANDA MJINI

 Helkopta inayotumiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe katika mikutano yake ya Oparesheni Delete CCM, ikitua katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHUKRANI KWA MH.MKUU WA MKOA WA KAGERA

Mh.Kanali Mstaafu Fabian Massawe NOTE;BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA APOKEA ZAWADI KUTOKA CHUO KIKUU CHA GHENT

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akipokea zawadi kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ghent Prof. PAul Cauwenberge baada ya kuhutubia Wanachuo wa Kimataifa wanaosoma Chuo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JE?KUOMBA MSAMAHA NI KUJISHUSHA NA KUJIONA UTAKUWA MJINGA?

Unakuta mtu fulani hasa wengi wetu sisi wanaume unakuwa kabisa umekosea au umekamatwa kabisa na ushahidi lakini utafanya ufanyalo ushahidi ushaonekana ila utafuta na kukana na kuja juu ili mwenzio ndio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMAA AJIKATA KOROMEO !

 Mkazi mmoja wa mkoani Tabora, amejijeruhi vibaya kwa kujikata koromeo akiwa msikitini. Kwa mujibu wa mwandishi Juma Kapipi, mwanaume huyo ambaye jina na chanzo cha kufanya hivyo havijajulikana,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIPIZA KISASI KWA KUSAMBAZA PICHA CHAFU

Kuchapisha picha za mtu binafsi za utupu bila yeye kujua, limekuwa jambo la kawaida nchini Uganda katika siku za hivi karibuni.Nchini Uganda picha za mwanamuziki Desire Luzinda zilisambazwa kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CAF YAHAHA KUTAFUTA MBADALA WA MOROCCO

Shirikisho la kanda kanda barani Africa CAF linaendelea kuchambua ni nchi gani itakayookoa jahazi ya kuwa mwenyeji wa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2015 baada ya kuthibitisha Morocco...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI MBAYA KAHAMA MAPEMA YA LEO

Bus laWibonela (Kahama-Dar)  limepata ajali huko Kahama leo asubuhi,maeneo ya Phantom  Kibaka aliyekuwa anapekua na kuchomoa fedha na Vitu kwa majeruhi wa ajali apigwa na kuchomwa moto  Hadi kufikia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VETA KUCHELEWESHA VYETI

 Habari za kazi naomba uiwekee kwenye mtandao ili wahusika waweze kuisoma kirahisi.Lalamiko langu kubwa ni kuhusu VETA kumekuwa na tatizo la ucheleweshaji wa vyeti pindi wahitimu wanapomaliza course...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIKA PICHA RAIS KIKWETE AKITOKA HOSPITALINI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka Hospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.Kulia nia Mke...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA MBOWE KIGOMA MJINI

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Kigoma, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JENGO LA MACHINGA COMPLEX LIKIWAKA MOTO

Jengo la wafanyabiashara ndogondogo (Machinga Complex) lililopo jijini Dar Es Salaam likiwa linawaka moto mapema ya leo  wakati Juhudi za kuuzima zinaendelea.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPOKEZI YA MKUU WA MKOA MPYA NOV 14,2014

Mkuu mpya  wa Mkoa wa Kagera Bwana John Mongella aliyeteuliwa na  Rais Jakaya Kikwete Novemba 5, 2014 kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera amewasili rasmi mkoani hapa na kupokelewa na kukabidhiwa rasmi ofisi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU MABASI YA ABIRIA YA ZAMANI

Ndugu Wadau kwa wale walioenda Umri kidogo tunaweza kukumbushana mabasi yetu ya Zamani kwa kutoa Comment yako,jina la basi na Safari zake kipindi hicho mengi yalikuwa ni Leyland  au Tata . Enzi za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA MH.AUGUSTINE MREMA

 Mkutano wa hadhara wa chama cha Tanzania Labour (TLP) uliokuwa ukihutubiwa na Mbunge wa jimbo la Vunjo Agustine Mrema  katika kijiji cha Mieresini wilaya ya Moshi vijijini.Msimamizi mkuu wa (MUWSA)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTAFITI JUU YA URAIS 2015 WATIKISA NCHI

Dar es Salaam. Utafiti uliofanywa na taasisi ya Twaweza kuhusu maoni na matakwa ya wananchi juu ya uongozi wa kisiasa nchini, umeibua madai mapya ambayo yanauhusisha na jitihada za kukisaidia chama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISA YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 7 KIFO CHA MA AULERIA KOBULUNGO MUGANDA

 Misa ya kumbukumbu ya Miaka 7 tangu kufariki kwa Marehemu Ma Auleria Kobulungo Muganda (1918-2007)iliyofanyika siku ya Jumapili Nov 16  Nyumbani kwake Bakoba Custam-Mjini Bukoba.Padre.Shughuli ya...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>