Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BURIANI KAMANDA STIVIN LEONARD MTENSA

Buriani Kamanda Mtensa!  Mpendwa wa wana Bukoba hayati Leonard Mutensa alitutoka ghafla mwanzoni mwa wiki iliyopita na jana Jumamosi, tarehe 22 Novemba, 2014 wana Bukoba waliungana na familia ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEHEMU YA VIDEO:KAA LA MOTO IPTL

Pitia sehemu ya Video hapa chini Mtiti ndani ya Bunge.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUTOKA UBELIGIJI WATEMBELEA MKOA WA PWANI...

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mwantumu Mahiza (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubeligiji baada ya kutembelea fursa mbalimbali za biashara na uwekezaji zilizo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI KAIKA TELELE AFUNGA RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA UVUVI DUNIANI...

Maadhimisho ya siku ya Uvuvi duniani yalioadhimishwa kitaifa mkoani Kagera kuanzia  Novemba 19, 2014 na kuambatana na maonyesho mbalimbali kutoka katika sekta ya uvuvi yalihitimishwa rasmi na Naibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GO PINDA,NENDA TU MZEE WANGU,MPE FURSA JK AUNDE BARAZA JIPYA!

Na Nova Kambota, 0712- 544237Tofauti na wengi wanavyodhani, mzee wangu Pinda ulishaonyesha daliliza wazi ikiwa kweli unamudu vyema nafasi ya uwaziri mkuu. Kuna mengitu yaliyofanya baadhi yetu tutilie...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI LEO ALHAMISI NOV 27,2014

Saa za waliochota Sh bil 321 IPTL zahesabikaCHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kila aliyehusika katika kashfa ya uchotwaji wa Sh bilioni 321 katika akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa imefunguliwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUNGENI LEO:SOMA MAJIBU YA SERIKALI (WIZARA YA NISHATI NA MADINI) KUHUSU...

WAZIRI MUHONGO(UTETEZI WA SERIKALI)Anaomba radhi kama jana kulikuwa na usumbufu wa umeme na anawaagiza mameneja wote wa TANESCO wasikate umeme.Anatoa pongezi juu ya mjadala wa Escrow, mengi yamesemwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SALUM MWALIMU AONGOZA OPERESHENI DELETE CCM, YAZAMA VIJIJINI RUKWA

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalimu akisaini daftari la wageni kwenye ofisi ya chama hicho, Kijiji cha Laela, Jimbo la  Nkwera, mkoani Rukwa wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEKHE PONDA AACHIWA HURU

Askari wa Magereza akimfungua pingu Katibu wa Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu Tanzania leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu., ambapo leo yeye na wenzie 49 wameachiwa huru ila watatumikia kifungo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTAZAMO WA KISAIKOLOJIA KUHUSU MA HOUSE GIRL KUWANYANYASA WATOTO WETU

 (HII NI KUFUATIA VIDEO YA HOUSE GIRL AKIMTESA MTOTO MDOGO INAYOTEMBEA KWENYE MITANDAO)Inabidi pia wazazi kufahamu kuwa wafanyakazi tunaowaajiri wanatoka katika backgrounds tofauti tofauti sana, na kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUNGE KUENDELEA LEO SAA 1 JIONI NOV 29,2014!

Taarifa za hivi punde kutoka kwa Mh Zitto Kabwe ni kwambu wabunge watakutana saa moja jioni ya leo Jumamosi Nov 29,204 kuendelea na shughuli za Bunge baada ya pande 3 PAC ,CCM na UKAWA kuafikiana.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AREJEA NCHINI LEO NA KULIHUTUBIA TAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Prof. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akiongea na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere jijini Dar es Salaam hivi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PITIA MAAZIMIO MAPYA WALIYOKUBALIANA WABUNGE KUHUSU SAKATA LA FEDHA ZA...

Mwenyekiti wa PAC Zitto Kabwe amesoma maazimio mapya ya Bunge kwa mujibu wa kamati maalumu iliyoundwa leo na kuhusisha CCM, PAC na UKAWAAzimio: Mamlaka ya uteuzi iwawajibishe na inashauriwa kutengua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HARUSI YA DIDAS FRIDOLIN KAMBONA NA BI ELIZABETH GRASIANNA YAFANA!

indi  na LindiSehemu ya matukio ya harusi yanayoashiria mwanzo wa kuanza kwa maisha shirika baina ya Bw. Didas Fridolin Kambona  na Bi Elizabeth R. Grasian iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO LA MSIBA WA KEPTENI-SP. KIDAI SENZALA KALUSE

Mrakibu wa Polisi-Captain Kidai Senzala Kaluse enzi za uhai wake. Familia ya Mzee Senzala Kaluse wa Kimara Mwisho Dar es Salaam, inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao KIDAI SENZALA KALUSE...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VODACOM INNOVATIVE DESINER OF THE YEAR

Please vote for Eve Collections Vodacom Innovative Designer of the year TEXT SFW ID04 TO 15678. Thank you.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Richmond iliondoka na Lowassa Escrow itamuachaje Pinda?

Na Prudence KarugendoSAKATA  la wizi wa pesa za Akaunti ya Tegeta Escrow limefumua mambo mbalimbali na kuyaweka wazi pasipo wahusika kujua kuwa wanachokifanya kinatoa picha tofauti na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI DIAMOND NA WEMA NDANI YA TUZO ZA SWAHILI FASHION

Na Mwandishi WetuMWANAMUZIKI wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Nasib Abdul, Diamond Platinum  anashindana na aliekuwa mpenzi wake Wema Sepetu katika kuwania Tuzo ya Mtu mwenye ushawishi mkubwa katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIVUTIO MBALIMBBALI NA CAMERA YETU DEC 1,2014

 Fukwe nzuri za kuvutia  maeneo ya Kahororo ndani ya Manispaa ya Bukoba,Bukoba imebarikiwa kuwa na fukwe za asili ambazo hazifanani na fukwe nyingine zozote duniani.Na fukwe hizi zikiendelezwa zinaweza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SALMIN NA DEKO LA KISIASA ZANZIBAR

NA PRUDENCE KARUGENDOINASHANGAZA  kwamba mpaka sasa bado kuna watu wanaoendekeza deko la kisiasa katika bara la Afrika wakati huu wa karne ya kistaarabu! Deko linalotokana na mtu kuzitegemea nguvu za...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>