Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

SI MCHEZO YALIYOJILI KATIKA SEND OFF YA MREMBO IRENE KAYUNGA

$
0
0
Matukio yaliyojili wakati wa tafrija maalum ya kumuaga Biharusi mtarajiwa Bi Irene Kayunga (pichani kulia)na kumtakia kila la heri katika maisha yake mapya ya ndoa ambayo anataraji kuifunga hivi karibuni Jijini Dar.

Akiingia katika ukumbi Biharusi mtarajiwa Bi Irene Kayunga wakati wa sherehe ya kumuaga 'Send off party' kulia ni mpambe wake Shemsa Self.
Huu ni mwanzo wa shughuli  nzima,ndani ya Ukumbi wa Bukoba Club endelea kuwa nasi mpaka mwisho
 Ilikuwa tabu kidogo ukumbini, kufuatia show kali wakati Bi Irene Kaunga akiingia ukumbini akiambatana na Walimbwende wenzake
 Mc wa Shughuli hii naye haupo nyuma baada yaBi harusi mtalajiwa kuganya yake na Wenzake.
 Upande wa Bwana Harusi wakifurahi namna Biharusi mtalajiwa anavoingia ukumbini.
Katika hili na lile wanaonekana Washirika wa Bwana harusi mtalajiwa.

 Mc Jerry.


Tayari kwa ajili ya zoezi la kukata keki.

 Kutoka maeneo ya Bugashane-Mugeza pichani ni Dada wa Bwana Harusi Mtalajiwa
 Mama Field na Mama Stella pichani, sehemu ya waalikwa.
Mr &Mrs Edgar Lutalaka
 Mdau akiteta Jambo na Mr. Ruge Baruti
 Mr &Mrs Ndamukama.
Anaonekana akishow love ni Mama Muhazi na Mwanae, pembeni yupo Mama Matungwa
Kushoto ni Mama Achi katika picha na Mzee Asiel
 Sehemu ya Waalikwa wakisikilizia kinacho.




Bi Amina Jumbe na Bi Rukia
Mama Janath Kayanda na Super Self Mkude
 Burudani  kama kawaida
 Burudani
Mzee Cathbert Basibila akishangweka na Chupa ya Kinywaji mkononi.

Mr Ruge Baruti ambaye ni Bwana Harusi mtalaziwa akiserebuka na Mkewe mtalajiwa.
 Mzee Kayunga Baba Mzazi wa Bi harusi mtalajiwa akitoa neno
 Ndugu wa familia wakitoa neno baada ya zawadi ambayo kwao imesimama kama Sadaka maalum ya kuilinda Ndoa yao inaotalajiwa hivi Karibu.
 Kutoka Jijijini Dar ni Rafiki wa karibu wa Bi Irene 'Katiga wake' toka wakiwa masomoni.
 Mr. Mike Mwemezi Muhazi akitoa neno kama rafiki na Kaka wa familia,katikati ni Ndugu Anthony Kayunga Kaka Mkubwa wa Bi Irene Kaunga.
Wanakamati ya maandalizi ya Shughuli hii katika picha ya pamoja na Bi Irene Kayunga.

INAENDELEA ....HIVI PUNDE..

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>