MASHAUZI CLASS WAPAGAWISHA NDANI YA LINAS CLUB USIKU WA IDD PILI
Mwimbaji ambaye pia ni Mkurugenzi wa Bendi maarufu ya muziki wa Taarab nchini Tanzania Mashauzi Classic Modern Taarab Isha mashauzi akiwajibika Jukwaani . Mwimbaji na mtunzi mahiri wa nyimbo za taarab...
View ArticleSKYLIGHT BAND YAFUNIKA MBAYA EID MOSI NDANI YA ESCAPE ONE!
Sam Mapenzi (katikati) akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band ndani ya fukwe za Escape One katika show maalum kwa ajili ya kusheherekea sikukuu ya Eid-El Fitr huku akipewa back Vocal na Sony...
View ArticleHARUSI YA ADELIUS MUTAYUGA NA FLORIDA KOKUTUMBULUKA YAFUNIKA
Ni  furaha kubwa kwa Bwana Harusi Adelius Mutayuka na Bibi Harusi  Florida Kokutumbulika mara baada Ibada ya ndoa takatifu iliyokuwa ikiendelea katika kanisa la RC Bukoba Cathedral lililopo barabara ya...
View ArticleJACKLINE KIMAMO AWA MISS REDD'S KAGERA 2014!
Mshindi wa taji la Redd's Miss Kagera 2014  Miss Jacline Kimamo  mara baada ya kutwa taji hilo usiku wa leo katika shindano liliofanyika ndani ya Ukumbi wa Linas Night ClubRedd's Miss Kagera 2014  Miss...
View ArticleMISA YA SHUKURANI KUMBUKUMBU YA KIFO BIBI ANGELINA GODWIN KIKUMI WA...
Matukio mbalimbali katika, Shughuli ya Ibada ya misa ya shukurani kumkumbuka marehemu Angelina Kikumi,wa Kijijini Bweyunge Kanyigo Mdau Amani Kajuna  katika mpango mzima wa kuchukua matukio kupitia...
View ArticleMIEMBENI WATWAA UBINGWA KAGASHEKI CUP 2014
TIMU ya Kata ya Miembeni mitaa ya Uzunguni Bukoba LEO imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa michuano ya kuwania Kombe la Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini KAGASHEKI CUP 2014 baada ya kuinyamazisha Makirikiri...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA;YAH: KUTOSHIRIKI AWAMU YA PILI YA BUNGE MAALUM LA KATIBA.
YAH: KUTOSHIRIKI AWAMU YA PILI YA BUNGE MAALUM LA KATIBA.Mtakumbuka kuwa Chama chetu kwa kushirikiana na vyama vingine vinavyoounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) tuliamua kutoka katika Bunge...
View ArticlePICHA ZA POLISI FEKI ALIYE KAMATWA DAR
Polisi huyu kwa mujibu wa mashuhuda eneo la tukio ni kuwa alikuwa mtumishi wa jeshi la polisi miezi miwili iliyopita ila akatimuliwa kwa utomvu wa nidhamu Lakini aliendelea kutumia nguo za jeshi hilo...
View ArticleMASHUJAA BAND KUPAGAWISHA BUKOBA AUG 14,2014 NDANI YA LINAS NIGHT CLUB
Wanaitwa Shemeji Invest wakishirikiana na Ibracadabra wanakuletea ile Band bora,Mashujaa Music Band,watoto wa mama Sakina,siku ya tarehe 14/08/2014, Hii itakuwa mle mle ndani ya ukumbi wa Lina's night...
View ArticleJAMBO TANZANIA WAENDELEA KUSADIA JAMII MKOANI KAGERA
Dr. Mary Banda pichani Mwanzilshi wa shirika la kujitolea lisilo la serikali (nonprofit humanitarian organization of volunteers )lijulikanalo kama 'Jambo Tanzania'shirika hilo lilianzishwa mwaka...
View ArticleBALOZI WA TANZANIA UBELGIJI AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI LIEGE - UBELGIJI
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai) akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi Ubelgiji baada ya kumaliza mazungumzo nao leo Liege - Ubelgiji
View ArticleCHECK SUPRISE BIRTHDAY PARTY YA MREMBO DYNER @TRANSIT HOTEL THE WALKGARD
Ni matukio ya  suprise birthday party ya Mwanadada Dyner Van Jimmy pichani,aliyofanyiwa na rafiki zake Nancy Nafsa na Kijana Mkhusini ,iliyoweza kufana ile mbaya ndani ya Transit Hotel The Walkgard -...
View ArticleCHIKU ABWAO; NITAKUWA WA MWISHO KUISALITI CHADEMA
Kwenye mkutano na waandishi wa habari leo, Dodoma Hotel, Mjumbe wa Kamati ya Chama na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa, Chiku Abwao ametoa kauli nzito akisema atakuwa mtu wa mwisho kusaliti CHADEMA...
View ArticleMASHUJAA BAND KUPAGAWISHA BUKOBA AUG 14,2014
Wanaitwa Shemeji Invest wakishirikiana na Ibracadabra wanakuletea ile Band bora,Mashujaa Music Band,watoto wa mama Sakina,siku ya tarehe 14/08/2014,Ndani ya ukumbi wa Lina's night clab. Mashujaa...
View ArticleMUDA MCHACHE ULIOPITA NA CAMERA YETU LEO AUG 8,2014
Ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba, Haki Street maarufu kwa jina la OneWay. Hekaheka za hapa na pale zikiendelea katika mtaa huu maarufu kwa Wafanyabiashara wa bidhaa za Jumula.Bidhaa mbalimbali zikiwa...
View ArticleSI MCHEZO YALIYOJILI KATIKA SEND OFF YA MREMBO IRENE KAYUNGA
Matukio yaliyojili wakati wa tafrija maalum ya kumuaga Biharusi mtarajiwa Bi Irene Kayunga (pichani kulia)na kumtakia kila la heri katika maisha yake mapya ya ndoa ambayo anataraji kuifunga hivi...
View ArticleKATIBA YA KWELI ITAPATIKANA NJE YA BMK
NA PRUDENCE KARUGENDOPAMOJA na baadhi ya wananchi,  akiwemo Mwenyekiti  wa Bunge Maalumu la Katiba, Samweli Sitta, kuonekana wanabeza kwamba kujiondoa kwa Ukawa kwenye Bunge Maalumu la Katiba...
View ArticleTAZAMA PICHA NA SIKILIZA AUDIO:UFUNGUZI WA CHUO CHA UALIMU ERA-BUKOBA AUG...
 MAatukio  katika Sala ya ufunguzi wa CHUO CHA UALIMU ERA  iliofanika Jumapili Aug 10,2014 maeneo ya chuo cha ERA kilichopo katika kata ya Kitendagulo-Kijiji cha Kagemu Manispaa ya BukobaMh.Balozi...
View ArticleSERENGETI FIESTA 2014 SAMBAZA UPENDO.......NI SHEEEEEDAH!!
Tamasha la Serengeti Fiesta kwa mara ya kwanza ndani ya Mji wa Bukoba linatarajiwa kurindima siku ya Ijumaa Aug 15,ndani ya Uwanja wa Kaitaba,Tayari sehemu ya wadau wamewasili mjini hapa usiku huu...
View Article