Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye miwani) akimkabidhi zawadi ya mwamvuli unaotangaza vivutio vya Utalii Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya DELANOUT ya Ubelgiji Bwana. Jackson Delanout. Balozi Kamala yuko kwenye ziara ya kuhamasisha makampuni ya Ubelgiji kushiriki kwenye ziara ya biashara ya makampuni ya Ubelgiji itakayofanyika Tanzania, Novemba mwaka huu.
↧