Angela Simmons,Ne-Yo,Lance Gross,Dwight Howard & More Attend LudaDay’s...
It was nothing but love in the city of Atlanta last night as Ludacris kicked off his annual LudaDay Weekend with a charity bowling event. A ton of celebrities were spotted on the scene at Bowlmar...
View ArticleKAMACHUMU YETU AUG 31,2014
Camera yetu ndani ya Mji wa kihistoria wa Kamachumu Kamachumu ni moja ya Kata iliyopo Wilaya ya Muleba katika Mkoa wa KageraBugonzi Water falls,haya ni maporomoko ya maji yaliopo Kamachumu ,maeneo...
View ArticleMSANII DIAMOND AOKOLEWA NA POLISI HUKO UJERUMANI!!
Sehemu ya ukumbi ulioharibiwa vibaya na mashabiki mjini Stuttgart, Ujerumani. Usiku wa Jumamosi Agosti 30, 2014, majira ya saa 10 alfajiri, mwanamuziki nyota wa Bongo Flavor, Nasib Abdul maarufu kama...
View ArticleKAMPUNI YA UBELGIJI YA TPF SAMBRE YAANZA KUFANYA KAZI TANZANIA
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (wa pili kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa kampuni ya ushauri ya TPF Basse Sambre baada kukutana nao leo ofisini...
View ArticleMAELEZO YA MGOMBEA WA BAVICHA TAIFA FRANCIS BONIFACE MARWA
UTANGULIZI Ndugu zangu watanzania, awali ya yote niwashukuru sana, ninyi nyote mtakaobahatika kukutana na huu ujumbe wangu mahususi ndani ya mitandao hii ya Kijamii, magazetini ama kupitia chombo...
View ArticleMOYO WA MBOWE UNAPASWA UPONGEZWE NA KUIGWA
NA PRUDENCE KARUGENDOUCHAGUZI unaoendelea ndani ya Chadema ni mfano wa kuigwa katika medani ya kisiasa. Ni wa kuigwa katika mambo kadhaa kama nitakavyoeleza hapa chini.Kituko ni kwamba wakati uchaguzi...
View Article'NEVER GIVE UP' NDIO KIPENGERE CHETU USIKU WA LEO SEP 1,2014 - CREDIT MUBELWA...
Kipengere hiki kimeandaliwa na Mdau Mubelwa Bandio pichani, Bonyeza kitufye cha Play hapachini kumsikiliza.
View ArticleATHARI ZA MAAFA YA UKAME ZINAPUNGUZIKA
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Bi. Jane Mutagurwa akiwasisitiza Wataalam katika Sekta ya Kilimo, Mifugo, Afya, Elimu na Utawala wa kata ya Mwamalasa, Masanga na Langana...
View ArticleMZEE MOI ATIMIZA MIAKA 90
Rais mstaafu wa Kenya Daniel Moi anatimiza miaka 90 hii leo na vyombo vya habari vimekuwa vikimzungumzia kwa wema na hata kumsifu. Kunao wanaomuona mzee Moi kama mtu muovu hasa wale walioteswa chini...
View ArticleKUFIA ANGANI KWA MJUSI KAFIRI WATANO WAKIFANYIWA UTAFITI
Mjusi Kafiri watano waliopelekwa katika anga ya juu kama sehemu ya utafiti kuhusu maisha yao na wanavyojamiiana wamefariki. Shirika la uchunguzi wa nga za juu la Urusi, limesema kuwa Mjusi Kafiri hao...
View ArticleNAIBU GAVANA WA KANDA YA BRABANT WALONIA AKUTANA NA BALOZI KAMALA
Kulia ni Naibu Gavana wa Kanda ya Brabant Walonia ya Ubelgiji Mhe. Issable Kibassa Maliba akimkabidhi zawadi Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala baada kumaliza mazungumzo naye....
View ArticleFIKA KABAGO SHOP KWA MAHITAJI MBALIMBALI
KABAGO SHOP Bukoba Wasambazaji na wauzaji wa jumla wa bidhaa mbalimbali. Ndani ya KABAGO Shop utapata kutimiziwa haki ya kuchagua aina mbali mbali ya bidhaa na huduma zenye ubora wa kutosha kwa bei...
View ArticleKIONGOZI WA AL SHABAAB ASHAMBULIWA
Wanajeshi wa Marekani wamefanya mashambulizi ya angani dhidi ya msafara wa magari ya mmoja wa viongozi wa kundi la Al Shabaab nchini Somalia.Haijulikani ikiwa kiongozi wa kundi hilo, Ahmed Abdi Godane...
View ArticleUHAMISHO MKUBWA MSIMU HUU 'USAJILI EPL'
Angel Di Maria [Real Madrid - Manchester United] pauni milioni 59.7 Alexis Sanchez [Barcelona - Arsenal] Pauni milioni 35 Diego Costa [Atletico Madrid - Chelsea] pauni milioni 32Eliaquim Mangala [FC...
View ArticleBALOZI KAMALA AKUTANA NA MEYA WA MANISPAA YA COVVIN UBELGIJI
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) amekutana na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Covvin ya Ubelgiji Bwana Raymond Douniaux (kulia). Balozi Kamala amemuomba Mhe Meya...
View ArticleBALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA KAMPUNI YA DELANOUT YA UBELGIJI
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye miwani) akimkabidhi zawadi ya mwamvuli unaotangaza vivutio vya Utalii Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya DELANOUT ya Ubelgiji Bwana....
View ArticleHAPPY 14TH WEDDING ANNIVERSARY TO MR & MRS DATUS RWIHULA
Leo ni kumbukumbu ya agano la ndoa kati Bi Grace Rwihula na Mme wake mpendwa Mr. Datus Rwihula ikiwa ni miaka 14 iliyopita.Kupitia Status ya WhatsApp na account yake ya Instagram Mr Datus ameweka...
View ArticleBALOZI KAMALA ATEMBELEA KAMPUNI INAYOTENGENGEZA NYUMBA ZA MBAO ZA GHARAMA NAFUU
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (aliyevaa miwani) akiwa katika picha ya pamoja na wamiliki wa kampuni ya Ubelgiji inayotengeza nyumba za mbao za gharama nafuu. Wa pili kulia ni...
View ArticleMAMBO YA WALIMWENGU
Haaahh Rafiki yangu Rama Msangi anasema;' eti huuyu alitaka kuandika kuna vichwa vipya na anataka akanunue abadilishe chake maana alicho nacho hakifanyi kazi bila shaka!!!'
View Article