Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 CALL FOR ENTRIES

$
0
0
Je wewe ni mrembo, mrefu mwembaba unayejiamini? Usisite kuchukua forms za kujiunga na Miss Universe Tanzania 2014 katika mikoa ifuatayo MWANZA (LULU SANGA-0715471412); IRINGA na MBEYA (VERONICA KILEMILE- 0782488030); ARUSHA (GADIOLA0715643633/0784643633) na DAR ES SALAAM waone au wasiliana na (SEIF KABELELE/MWANAKOMBO SALIM - 0655441165/0713302075)Ukiona tangazo hili mjulishe na mwenzio.

 

 RATIBA YA USAILI.

Yale mashindano ya kumsaka mwakilishi katika mashindano makubwa kabisa ya ulimbwende ulimwenguni Miss Universe Tanzania 2014 yameanza rasmi, Kama wewe ni mrembo mwenye vigezo vyote usisite kutimiza ndoto yako na ratiba ya usaili ni kama Ifuatavyo:- MWANZA tutakua Gold Crest tarehe 14 /09/2014 saa 4 asubuhi mpaka saa 9 alasiri.ARUSHA Tarehe 12/09/2014 MBEYA NA IRINGA Tarehe 16/09/2014 naDAR ES SALAAM itakua tarehe19/09/2014 Ukumbi na muda mtatangaziwa punde. Kwa maelezo zaidi piga namba0655441165/0713302075




3EF1CA34-2622-4016-8D13-E1CD0DEDE4CA


Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>