WAZIRI NAGU AHUTUBIA WAFANYABIASHARA WA UBELGIJI NA LUXEMBOURG
Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Dr. Mary Michael Nagu (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kaamala (wa kwanza kulia) na Bwana...
View ArticleMISS UNIVERSE TANZANIA 2014 CALL FOR ENTRIES
Je wewe ni mrembo, mrefu mwembaba unayejiamini? Usisite kuchukua forms za kujiunga na Miss Universe Tanzania 2014 katika mikoa ifuatayo MWANZA (LULU SANGA-0715471412); IRINGA na MBEYA (VERONICA...
View ArticleWAZIRI NAGU ABADILISHANA MAWAZO NA WAMILIKI WA VIWANDA WA WETTEREN UBELGIJI
Waziri wa Uwekezaji na Uwezashaji Mhe. Dr Mary Michael Nagu akibaldilishana mawazo na wamiliki wa Viwanda wa Wetteren Ubelgiji baada ya kumaliza ziara ya kutembelea baadhi ya Viwanda. Jana Waziri Nagu...
View ArticleWAZIRI NAGU APOKEA ZAWADI
Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Dr. Mary Michael Nagu akipokea zawadi kutoka kwa Bwana Peter Doclo Meneja wa Mauzo na Masoko wa kiwanda cha Vandamme Marshamallows cha Wetteren Ubelgiji baada ya...
View ArticleWAZIRI NAGU ATEMBELEA KIWANDA KINACHOTOA AJIRA KWA WALEMAVU KUWAWEZESHA KIUCHUMI
Aliyeshika karatasi ni Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Mhe. Dr. Mary Michael Nagu akibainisha fursa mbalimbali za Uwekezaji zilizo Tanzania. Akihutubia Wafanyabiashara hao amewashauri kuchangamkia...
View ArticleWAZIRI NAGU ATEMBELEA KIWANDA KINACHOTENGENEZA MITAMBO YA VIWANDA VIDOGO VIDOGO
Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Dr. Mary Michael Nagu akimsikiliza Meneja wa kiwanda cha kutengeza mitambo ya kutumika kwenye viwanda vidogo vya bia, maziwa ya kawaida na maziwa ya soya. Mitambo...
View ArticleSAKATA LA EMMANUEL OKWI
UNAWEZA kurudia kusema kweli hii sasa ni vita, kwani uongozi wa klabu ya Yanga, umelihamishia suala la kesi ya Emmanuel Okwi kwenye kamati ya sheria ya klabu hiyo ambayo ina watu 16. Pamoja na...
View Article"PICHA ZA LEO KUTOKA NYUMBANI STUDIO"
NYUMBANI STUDIO #CountdownphotoPhotography by Sirloom GaliatanoInsta@SirloomTupo Mjini Bukoba mkabala na lango la Ndizi la Soko kuuContact 0768 397241 or 0784 505045Client:Ernest NyamboNYUMBANI...
View ArticleMCHAKATO WA KATIBA KUSITISHWA TANZANIA
Kumekuwa na maoni tofauti kufuatia hatua ya kusitisha mchakato wa kura ya maoni ya Katiba Mpya nchini Tanzania.Katika kikao cha Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete na Viongozi wa vyama vya siasa nchini...
View ArticleTUMIA BIDHAA ZA FOREVER LIVING KWA AFYA NA MUONEKANO WA NGOZI YAKO
Hiki i kinywaji kisichokua na kilevi, husaidia kuondoa uchovu na kuupa mwili nguvu, pia husaidia kuongeza uwezo wa kuifadhi kumbukumbu na kuondoa maumivu ya kichwaBukoba kwa maelezo zaidi call/whatsup...
View ArticleNGOMA AFRICA BAND YAITAKIA MSONDO NGOMA BAND HERI YA MIAKA 50
Msondo Ngoma Band kutimiza miaka 50 mwezi Oktoba 2014, Ras Makunja ameitaja Msondo ndio bendi pekee kongwe Afrika !Bendi maaru ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni...
View ArticleUHAMIAJI:TULIMKAMATA NDAMBILE KIMAKOSA
IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam imesema mmiliki wa Kampuni ya Ulinzi ya Advance Security, Juma Ndambile alikamatwa kimakosa kwa tuhuma za kuwaingiza nchini na kuwahifadhi makomandoo wa kijeshi...
View ArticleSAWAKA YAKABILIWANA CHANGAMOTO LUKUKI
SHIRIKA la Saidia Wazee Karagwe (SAWAKA), Mkoa wa Kagera, linakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa huduma za afya, ushirikina, ukosefu wa vipato na kukosekana kwa mfuko wa jamii ya...
View ArticleRAIS WA SOKO LA ALMASI WA ANTIWERPEN AKUTANA NA MABALOZI WA AFRIKA WA NCHI...
Rais wa Soko la Almasi la Antiwerpen Mhe. Stephane Fischler (katikati) akizungumza na Mabalozi wa Afrika wanaokaa Ubelgiji wa nchi zinazozalisha almasi. Soko la Almasi la Antiwerpen kila mwaka linauza...
View ArticleUTAPELI WA KANISA LA KIMAREKANI
Na Prudence KarugendoKUNA usemi wa kwamba wageni walikuja barani kwetu, Afrika, kwa kutumia ushawishi wa neno la Mungu na kuwaambia wenyeji “fumbeni macho tusali”, wenyeji walipofumbua macho kila...
View ArticleMASHABIKI WA SKYLIGHT BAND KUSHEHEREKEA BIRTHDAY YA MR. JACK’S HUKU WA...
Mpango mzima unahisika kwa usiku wa leo pale Thai Village.Vijana watanashati wa Skylight Band wakimsindikiza Sam Mapenzi (wa pili kuhsoto) kutoa burudani ya Live Music kwa mashabiki wa bendi hiyo...
View ArticleRC AMPONGEZA MZEE ALHAJI ABBAKARI GALIATANO KWA KUTIMIZA UMRI WA MIAKA 85
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh.Mh.Fabian Massaweameshiriki katika ya Mzee wetu Haji Abbakari Galiatano,iliyo andaliwa kwa ajili ya kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema kwa kumwezesha kutimiza miaka...
View ArticleMZEE ABBAKAR GALIATANO ATIMIZA MIAKA 85
'Mungu Atosha' ndilo jina la kwanza kabisa alilopewa na Wazazi wake pale tu alipozaliwa mnano Sep 14,1929 akiwa mtoto wa Kwanza kwa Baba yake, Marehemu Rajanu Galiatano na Mama yake marehemu Halima...
View ArticleSHUKRANI YA MSIBA WA BI STEPHANIA J.KAGANDA
Bw. Deusdedit B. Kaganda kwa niaba ya familia ya Mzee Boniface Kaganda wa Dar es Salaam, anapenda kutoa shukrani kwa ndugu, jamaa na marafiki walioshiriki katika kipindi chote cha kumuuguza na...
View ArticleCHECK OUT YALIYOJIRI HARUSI YA RUGA BARUTI & IRENE KAYUGA
Matukio yaliyojili katika harusi ya Mr Ruga Baruti na Bi Irene Kayunga iliyofanyika siku ya Jumamosi Sep 13,2014 Jijini Dar es Salaam. Katika kumthamini mmewe Bi Irene anaonyesha vitendo vya kimapenzi...
View Article