Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAFALI YA 4 YA DARASA LA SABA SHULE YA KARUME DAY AND BOARDING ENGLISH...

 Mgeni Rasmi katika sherehe hizi za Mahafali ya Darasa la Saba, Mh. Fabian Massawe Mkuu wa Mkoa wa Kagera akilakiwa na Mkuu wa Shule ya Karume Day and Boarding English Medium Primary School,Ndugu Self...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USAHILI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 MKOA WA DAR ES SALAAM KUFANYIKA GOLDEN...

USAHILI MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 MKOA WA DAR ES SALAAM kufanyika ijumaa hii tarehe 19 katika hoteli ya Golden Tulip kuanzia sa tatu asubuhi hadi sa kumi jioni.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA MWANAFUNZI WA IHUNGO ALIYEJINYONGA

Mwanafunzi wa kidato cha TANO katika shule ya sekondari ya IHUNGO, EZERA WABAMBA aliyekuwa amelazwa katika hospitali ya mkoa wa KAGERA, amejiua kwa kujinyonga na shuka kwa madai ya kukosa huduma sahihi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJIJINI BUGANDIKA TASWIRA MAZISHI YA BI LEOKADIA NYAMWIZA BUJENDE SEP 17,2014

Kijijini Bugandika Missenyi,Padre akiongoza ibada ya mazishi ya  Marehemu Marehemu Bi Leokadia Nyamwiza Bujende iliyofanyika Nyumbani kwake Kijijini Bugandika Wilaya ya MissenyiWaumini wa madhehebu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEW ANGELINA MULTIPURPOSE HALL IN BUKOBA DUE FOR OPENING IN DECEMBER, 2014.

LOCATED IN RWAMISHENYE/KITEYAGWA AREA, ALONG THE ROAD TO AMANI ACADEMIC SCHOOL 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAFU MPYA UONGOZI CHADEMA

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepata safu mpya ya viongozi wake kuanzia ngazi za chini hadi Taifa.Safu hiyo imekalilishwa na uchaguzi mkuu uliofanyika jijini Dar es Salaam zaidi ya wiki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CAMERA YETU MTAANI

Uwanja wa Ndege  Mjini Bukoba ni majira ya Saa  3:45 Asubuhi Ndege ya Shirika la ndege la Auric Air inawasili ikitokea Jijini Mwanza. Anaonekana Uwanjani hapa Ndugu AbdulRahym Kabyemela  akizungumza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAKATA LA MTOTO 'HAPPINESS' ANAYEPAA KIMIUJIZA

Stori: Richard BukosMTOTO Happiness (10) (pichani) ambaye mwishoni mwa wiki iliyopita  alizua kizazaa mjini Zanzibar baada ya kuonekana akizungumza na viumbe wa ajabu na wanyama, ametua jijini Dar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI MARA CHACHE SANA KIPATO CHA MTU KUZIDI UELEWA WA MTU HUYO

Wakati mmoja tajiri alisema: kama fedha zote duniani zikikusanywa na kugawiwa sawa kwa watu wote, baada ya kipindi kifupi, fedha hizi zitakuwa zimerudi mifukoni mwa matajiri walionazo leo!!! Ni vigumu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA WATAALAM WA UTAFITI WA HALI YA...

Naibu Waziri wa Fedha –Sera, Mhe. Mwigulu Nchemba akifungua mafunzo ya wiki tatu ya wakufunzi, wasimamizi na wadadisi kutoka Tanzania Bara  na  Zanzibar  watakaoendesha utafiti wa kufuatilia hali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUMIA BIDHAA ZA FOREVER LIVING KWA AFYA NA MUONEKANO MZURI WA NGOZI YAKO

BODY TONING KIT ni bidhaa inayosaidia mzunguko wa damu uendevizuri kwenye ngozi na hivyo kuondoa mafuta ya cellulite inayokaa chini ya ngozi kwenye mapaja, mkono na tumbo. Hivyo husaidia kupunguza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMBO10 YALIYOTIKISA BUNGE LA KATIBA

Hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha, ni usemi wa zamani wa wahenga wenye maana ya kila jambo lenye mwanzo, lazima litakuwa na mwisho.Ndivyo ilivyo kwa Bunge la Katiba ambalo safari yake ilianzia Februari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU 115 WALIFARIKI KANISANI NIGERIA

 Serikali ya Afrika Kusini inasema kuwa watu miamoja na kumi na tano wengi wao wakiwa raia wa Afrika Kusini, walifariki baada ya kanisa kuporomoka nchini Nigeria.Idadi kamili ya raia wa Afrika Kusini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHEZAJI WA SIMBA AFARIKI HUKO UGANDA KUFUATIA BAO LA FRANK LAMPARD

Fahad Musana, ambaye ni shabiki wa kutupwa wa klabu ya soka ya Chelsea, amefariki dunia baada ya mchezaji wa zamani wa klabu hiyo, Frank lampard, kuifungia Manchester City bao la kusawazisha, katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHABIKI 'WAMTUSI' BALOTELLI

Polisi nchini Uingereza wameanzisha uchunguzi kuhusu tukio ambalo mshambulizi wa Liverpool kutoka Italia Mario Balotelli alitukanwa kutokana na rangi ya ngozi yake kupitia kwa mtandao wa kijamii wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SALAMU YA BEN MULOKOZI 'HATA KAMA HAJAKWAMBIA'

Hata kama hajakwambia, haimaanishi hakimuumi, yamkini ameamua kunyamaza kimya maana anajua fika kwamba akiamua kumwambia utabisha, utapinga, utakataa, utajitetea, utaruka kabisa, unaweza hata kumpiga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAREKANI YAENDELEZA MASHAMBULIZI IS

 Marekani imeanzisha mfululizo wa mashambulizi mapya ya anga huko Syria kwa ushirikiano na nchi tano za Kiaraab zinazounga mkono mapambano dhidi kundi la IS. Kamanda wa Marekani anasema tayari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII T.I KUTUA DAR SERENGETI FIESTA 2014

Msanii T.I kutoka Marekani ametangazwa leo kuwa ndie msanii atakae burudisha kwenye tamasha la serengeti fiesta itakayofanyika Leaders Club Oct 18 Jijini Dar.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NJIA KUU 6 ZA KUKUTOA KWENYE UMASIKINI

 Kila wakati ninapopata nafasi ya kuzungumza na watu juu ya maisha nimekuwa nikilisema hili mara kwa mara kuwa maisha tunayoishi yanaongozwa na kanuni. Kanuni hizi ndizo zinazoleta matokeo ya aina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DOWNLOAD VIDEO/AUDIO:BK SANDE – OMWANA

Fanya kudownloadhapa chini ngoma  ya 'OMWANA' kutoka kwa msanii BK Sande, Msanii  anayefanya vyema  katika tasnia hii kwa kanda ya ziwa. Je ukikutana na Msanii BK Sande utamshauri nini au utamwambia...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>