Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba ni majira ya Saa 3:45 Asubuhi Ndege ya Shirika la ndege la Auric Air inawasili ikitokea Jijini Mwanza.
Anaonekana Uwanjani hapa Ndugu AbdulRahym Kabyemela akizungumza kwa simu.
Hawa ni Dereva Tax maarufu wa maeneo Airport
Ndugu Thomas Charles simu ikiwa sikioni akimpigia pahala.
Ndugu Al Amini na mwenzake AbdulRahym Kabyemela wakiwa uwanja wa ndege kumpokea rafiki yao Ben Kataruga.
Ndege ya Auric ikiwa inawasili.
Mmojawa wa abiria aliyeshuka ndani ya Ndege ya Auric air ni Mr. Ben Kataruga pichani.
Vicheko vya hapa na pale.
Mdau Bin Self akiwa na simu sikioni.
INAENDELEA...