KATI YA KOMBA NA MBOWE NANI ALIPASWA KUHOJIWA NA POLISI?
NA PRUDENCE KARUGENDOUKIUKAJI  wa haki za binadamu tuliokuwa tukiusikia kwa wenzetu, hususan nchini Afrika Kusini enzi za makaburu, kuikandamiza haki ya walio wengi kwa manufaa ya wachache, sasa...
View ArticleMAANDAMANO YA CHADEMA BUKOBA LEO
 Mjini Bukoba leo Sep 24,2014 Wanachama wa Chadema kutoka Kata za Bakoba na Kibeta zimefanya maandamano Katika Manispaa ya Bukoba kushinikiza kustishwa kwa Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma...
View ArticleMKWE WA BIN LADEN JELA MAISHA
Mkwe wa aliyekuwa kiongozi wa al-Qaeda , Osama bin-Laden amehukumiwa kifungo cha maisha na mahakama moja mjini New York. Alikuwa anakabiliwa na mashitaka ya ugaidi. Jaji wa mahakama hiyo amemwambia...
View ArticlePAPA FRANCIS AMEMFUTA KAZI ASKOFU ROGELIO
Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amemfuta kazi Askofu Rogelio Livieres Plano wa Paraguay kwa kile kilichoelezwa na Vatican kwamba ni kitendo cha askofu huyo kumlinda padri anayetuhumiwa...
View ArticleKIONGOZI WA BOKO HARAM AUWAWA NIGERIA
Jeshi la Nigeria limedai kumuua kiongozi wa kundi la itikadi kali la Boko Haram, Abubakar Shekau, kama ikithibitika itakuwa hatua kubwa kwenye juhudi za jeshi hilo kulishinda kundi hilo la kigaidi la...
View ArticleWIZARA YA AFYA YAKABIDHI MABASI 6 KWA VYUO VYA AFYA NCHINI.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kabla ya kukabidhi mabasi 6 kwa wakuu wa vyuo vya Afya kutoka katika...
View ArticleBALOZI KAMALA AKUTANA NA MBUNGE KIJANA WA BUNGE LA ULAYA
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimkabidhi Mhe. Victor Negrescu Mbunge wa Bunge Ulaya vitabu vya kuitangaza Tanzania. Mhe. Negrescu ni kati ya wabunge vijana sabini wa...
View ArticleMTIKISIKO WA JOSE CHAMELEONE NDANI YA CLUB LINAS BUKOBA
 Msanii mkubwa wa Africa Joseph Mayanja a.k.a Dr Jose Chameleone kutoka Uganda akizua akiwapagawisha mashabiki waliojitokeza ndani ya Kiota cha maraha Linas Night Club BukobaMsanii Jose Chameleone...
View ArticleWANAUSHIRIKA KAMACHUMU WAFANYIWA VITENDO VYA KIHUNI
Na Prudence KarugendoCHAMA Â cha Msingi Kamachumu ambacho ni kati ya vyama vya msingi vinavyounda Chama Kikuu cha Ushirika cha KCU (1990) Ltd., mkoani Kagera, kimefanyiwa uhuni mbaya sana ambao...
View ArticleEVELYN BAASA NDIYE REDD'S MISS TANZANIA PHOTOGENIC 2014
 Miss Tanzania Photogenic 2014, Evelyn Baasa. Warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora ya Redd’s Miss Tanzania Photogenic 2014, wakiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa taji hilo, Evelyn...
View ArticleNBS YASISITIZA MATUMIZI YA KANZA YA TAKWIMU ZA KILIMO
 Mkuu wa Idara ya Utawala na Rasilimali wa ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Gabriel Madebe akifungua semina ya wadau ya uhamasishaji  wa matumizi takwimu za kilimo zinazopatikana kupitia Kanzi rasmi ya...
View ArticleCHECK VIDEO SHOW YA MSANII CHAMELEONE SEP 25,2014 NDAN YA LINAS NIGHT CLUB...
Check sehemu ya Video hapa chini Show ya msanii nguli wa muziki kutoka nchini Uganda, Dr.Jose Chameleone ilivyo acha historia usiku wa sep 25,2014 Mjini Bukoba.KWA PICHA ZAIDI INGIA HAPA NA TUPIA LIKE...
View ArticleMATUKIO PICHA/VIDEO KATIKA SEND OFF PARTY YA JOVITHA JOHNBOSCO...
Bi harusi mtarajiwa Bi Jovitha Johnbosco Rwechungura. Pichani kulia ni Mr.Elirehema Donald Mariki ambaye ndiye Mtalajiwa wa Bi Jovitha Johnbosco Rwechungura. Kitendo kinacho endelea pichan, Bi Jovtha...
View ArticleKUHUSU BIDHAA ZA FOREVER LIVING KWA AFYA NA MUONEKANO MZURI WA NGOZI YAKO
BODY TONING KIT ni bidhaa inayosaidia mzunguko wa damu uendevizuri kwenye ngozi na hivyo kuondoa mafuta ya cellulite inayokaa chini ya ngozi kwenye mapaja, mkono na tumbo. Hivyo husaidia kupunguza...
View ArticleJIHAN DIMACHK NDIYE REDD'S MISS TANZANIA TOP MODEL 2014
Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2014, Jihan Dimachk (katikati) akipozi kwa picha na mshindi wa pili Doreen Robert (wapili kulia), mshindi wa tatu Evelyn Baasa ambaye pia ni Miss...
View ArticleMSANII METTY KUZINDUA WIMBO WAKE MPYA "NAJUA" JUMATANO HII
Wimbo mpya ya msanii Metty iitwayo "Najua" inatarajiwa kuzinduliwa tarehe 1 Octoba siku ya jumatano ya wiki hii katika vyombo mbalimbali vya habari ndani na nje ya Tanzania.Wimbo huo amashirikishwa...
View ArticleADHA YA MICHANGO NA UGUMU WA MAISHA WA KUJITAKIA
Na Prudence Karugendo NIPO kazini, mfanyakazi mwenzangu ananiletea kadi ya kuomba mchango wa harusi ya mdogo wake. Papo hapo nakumbuka kwamba siku hiyo ndiyo siku ya mwisho ya kuwasilisha michango kwa...
View ArticleBONDIA WA KIKE MWAFRIKA ACHUKUA UBINGWA WA NGUMI ULAYA !
BINTOU YAWA SCHMILL aka "THE VOICE"Frankfurt,Germany,Bondia maarufu wa kike mwafrika barani ulaya Bintou Yawa Schmill,mkazi wa Ujerumani siku ya ijumaa 26.September 2014 alifanikiwa kuchukua taji la...
View ArticleRATIBA YA UFUNGUZI WA MIRADI YA BIASHARA YA COSAD-TANZANIA NA OFISI KUU MPYA
For All Inquiries & Main Contact Information in Bukoba:The COSAD Center for Enterprise & Community DevelopmentP. O Box 291, Bukoba, TanzaniaTel: +255.765.833.990 or 255.786.024.210 or...
View ArticleLEMA:VIJANA JIANDAENI KISAIKOLOJIA
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema, (CHADEMA), amesema Serikali ya Chama Cha Mapinduzi, (CCM), imeshindwa kutatua tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana nchini, hivyo akawataka vijana wanaohitimu...
View Article