$ 0 0 Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Dr. Mary Michael Nagu akipokea zawadi kutoka kwa Bwana Peter Doclo Meneja wa Mauzo na Masoko wa kiwanda cha Vandamme Marshamallows cha Wetteren Ubelgiji baada ya kutembelea kiwanda hicho.