Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

MAKABIDHIANO YA ARDHI KWA MWAKEZAJI BEN MULOKOZI

$
0
0
Pichani ni Mr Ben Mulokozi akifanya tathmini na Mr.Gleew aliyekuwa mmiliki wa eneo na Kiwanda cha Mbao  kilichokuwa Nsunga Wilayari Missenyi
 Mwenyekiti wa Kijiji ambaye pia alikuwa Dreva wa kiwanda hicho akitolea jambo ufafanuzi kwa Mwekezaji mzawa Mr. Ben Mulokozi kuhusiana na historia ya eneo hili toka  mwaka 1978 kulipotokea vita ya Kagera Wanajeshi wa Uganda wakafanyamashambulizi kwenye Jengo na sehemu ya maeneo ya Kiwanda.
 Diwani wa Kata ya Nsunga Wilayani Missenyi akionyesha eneo la kiwanda na sehemu ya Ardhi ambayo toka mwaka 1978 sasa imempata mwekezaji .
Mabaki ya Kiwanda cha Mbao kilichobomolewa na  Majeshi ya Idd Amin wakati wa vita kati ya Tanzania na Uganda.
 Mabaki ya Kiwanda hicho kilicho zungukwa na ardhi kubwa.
 Hii inaonyesha namna Vita hivi vya Kagera vilivyokuwa na athari kubwa kwa mkoa wa Kagera.
Athari hizo ni pamoja na vifo wananchi kunyang’anywa mali zao nauharibifu wa miundombinu ya Viwanda na Majengo kama inavyo onekana pichani

  Kwa sasa hii ni sehemu  ya eneo la Mwekezaji Mzawa Mr. Ben Mlokozi pichani kulia katika
Mr.Gleew pichani kushoto ambaye ni mtanzania mwenye asili ya Asia akimtambulisha Mlinzi wa eneo hili kwa Mwekezaji Mr. Ben Mulokozi.,Mzee huyo pichani katikati pia aliyekuwa Mlinzi wa familia yao kabla ya Vita  iliyo pelekea  kuathiri uchumi wa familia husika.
 Kutoka eneo moja kwenda jingine wanaonekana washika dau ni  Ndg Bushira na Shafih.
 Uongozi wa Kijiji ukishirikishwa katika utaratibu wa mipaka pasipo mgogoro wowote,pale inaposemekana baadhi ya mashamba ya wakulima wadogo yako ndani ya eneo la ardhi ya mwekezaji huyo iliyopo wilayani Missenyi
Sehemu ya Wakazi jirani na eneo hilo.
Aliyekuwa mmiliki eneo hilo kabla ya kumuuzia Mwekezaji Ben Mulokozi.
Sehemu ya Magofu ya kilichokuwa ki wanda vya kupasua mbao

 Shuhuda wa tukio hili ni pamoja na Haji Mohammed Chuchu pichani kushoto
Mabaki ya Nyumba ya wamiliki wa eneo hilo, iliyobomolewa wakati wa Vita ya  Kagera 1978

Kama alivyokutwa na Camera yetu ndani ya maeneo husika.

Taswira sehemu ya ardhi hiyo  iliyopo jirani hifadhi ya Taifa ya Msitu wa Asili wa Minziro
 Mdau Shafih katika muonekano nadhifu.
 Jamaa kapiga bao..Jamaa kakamua...!Ndivyo wanavyo semezana washikadau wa Mr.Ben Mulokozi

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>