Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS;MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR, OTHMAN MASOUD OTHMAN AFUTWA KAZI!

Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman.RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, leo amemfuta kazi Mwanasheria Mkuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKABIDHIANO YA ARDHI KWA MWAKEZAJI BEN MULOKOZI

Pichani ni Mr Ben Mulokozi akifanya tathmini na Mr.Gleew aliyekuwa mmiliki wa eneo na Kiwanda cha Mbao  kilichokuwa Nsunga Wilayari Missenyi Mwenyekiti wa Kijiji ambaye pia alikuwa Dreva wa kiwanda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH.ROBART KATUNZI AKABIDHI ZAWADI YA KOMPYUTA SHULE YA MSINGI KASHABO

 Mh.Robart Katunzi (Tabu gani)Diwani kata ya  (Hamugembe)ametoa zawadi ya kompyuta pamoja na printer kwa ajili ya matumizi katika Shule ya Msingi Kashabo iliyopo Mjini hapa. Tukio hilo lilifanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

INSTAGRAM PARTY MWANZA OCT 4,2014

FreconicIdeaz was pleased to organize Quarterly Party Event, which was held on October 4th, 2014 from 7:00 p.m. until 4:00 a.m. at JembeniJembe aka Jembe BeachMwanza.  The nights includes Live Musical...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA ATAMBUA MCHANGO WA TAASISI YA CUSHMAN NA WAKEFIELD ILIYOSAIDIA...

Balozi wa Tanzania Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akimkabidhi cheti Bwana Boris Van Haare Heijmeijer Meneja wa Ulaya wa taasisi ya Cushman na Wakefield cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUWAPELEKE WATOTO WETU KATIKA CHANJO YA SURUA NA RUBELLA OKTOBA 18-24

SURUA na rubella ni magonjwa hatari yanayoenezwa haraka kwa njia ya hewa, kutoka kwa mtu mwenye vimelea vya ugonjwa huo kwenda kwa mwingine.Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa dalili za magonjwa haya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YAMOTO BAND YA MKUBWA FELLA KUTUA BUKOBA NOV 2,2014

Ile Bendi ambayo ndo habari ya Mjini 'YAMOTO BAND' ikiongozwa na Mwimbaji Aslay mwenye ukomavu wa sauti kuliko umri wake katika game ya muziki, Inategemewa kuwasha moto wa burudani ndani ya Linas Club...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATATU 'OUT' JESHI LA POLISI KAGERA

 Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewafukuza kazi askari polisi watatu kwa kosa la kukosa maadili mema ya jeshi la Polisi.Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani hapa Henry Mwaibambe,amewataja askari hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI SHUGHULI YA NDOA YA BW. ALLY KICHWABUTA NA BI MGENI ABDULRAHMAN

Siku zote Bw.Ally  amekuwa akiomba  uchumba,na kumtaka Bi Mgeni kutoa jibu lake. Lakini Bibie Mgeni alibaki kimya bila ya jibu lolote, Kama maandiko yasemavyo na tafsiri ya Mtume SAAW kuwa  kimya hicho...

View Article


VIDEO FULL VERSION;SHEREHE ZA UFUNGUZI UKUMBI WA TWEYENDE- LUHANGA

Matukio kamili katika shughuli ya Ibada ya sherehe ya Ufunguzi wa Ukumbi mpya Uliopo Kijijini Luhanga , Mali ya Dr. Mkyanuzi.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAUAJI KANISA LA PAG BUKOBA OCT 10,2014

  Katika hali isiyo ya kawaida,watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wamevamia Kanisa la PAG tawi la  Kagemu kata ya Kitendaguro manispaa ya Bukoba na kumua muumini mmoja kwa kumcharanga mapanga hadi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO SEHEMU 1:ZAWADI ZA KIMIRA HARUSI YA BW. ALLY KICHWABUTA NA BI MGENI ISSA

Pitia  Video hapa Chini,Ni tukio la  zawadi ya apewayo bwana harusi kutoka kwa wazazi waka Pichani anaonekana Sheikh Habibu Kichwabutu akitoa Zawadi ya Maneno kwa Bwana  Ally Kichwabuta kuhusiana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI BONGE LA HARUSI YA MR & MRS ALLY KICHWABUTA, MJINI BUKOBA 0CT 11,2014

pongezi kubwa kwa Maharusi.Wakiwa katika nyuso za furaha ni Bwana na Bibi Ally Kichwabuta  ikiwa ni siku maalumu  ya kuwapongeza kwa uamuzi wao wakufunga ndoa. Jumamosi Oct 11, 2014 Ikiwa ni siku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALLY & MGENI WEDDING RECEPTION

ALLY & MGENI WEDDING RECEPTION::Venue:: Spice Beach  ,Colour:: Yellow n White Photo:: Bukobawadau Entertainment Media :: Credit::Walter Rwey-RobertDecoration::Advents Deco and PlanningKazi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA; KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU

TAARIFA KWA VYOMBOKIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CHAMATaarifa inatolewa kwa vyombo vya habari kuwa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IBADA YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MZEE NESTORY KASABILA

Shughuli ya Ibada ya kumbukumbu ya Mzee  Nestory Kasabila iliyo andaliwa na familia nyumbani kwake Kibeta nje kidogo ya Mji wa Bukoba Jumamosi Octobar 11,2014. Sehemu ya Waumini wakiendelea na ibada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAIKO LANGA LANGA NA MAGEUZI YA MUZIKI NCHINI CONGO

 Na Daniel MbegaBendi hii ndiyo iliyoleta mageuzi ya muziki wa Congo ikiingiza midundo ya kasi iliyoutofautisha muziki wa soukous na rhumba kama lile la African Jazz na TP OK Jazz ambapo walianza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VURUGU ZA BODABODA NA POLISI BUKOBA

 POLISI  mjini Bukoba wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waendesha pikipiki maarufu kama Asecdo /bodaboda waliojikusanya kwa wingi kama ilivyo kawaida yao pale  mwenzao anapopatwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEREHE YA KUMPONGEZA GISSELA MONTANIUS KUMALIZA CHUO KIKUU (SHAHADA YA SHERIA)

Hakika anastahili Sifa Mwanadada Gissela R. Montanius pichani,katika sherehe ya kumpongeza kwa kumaliza Chuo Kikuu  shahada ya kwanza ya Sheria. Sherehe hiyo iliyoandaliwa na Mama yake Mzazi Bi Lucy...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MKUU WA IDARA YA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA JIJI LA...

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu  Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Jiji la Oestende la Ubelgji Mhe. Collins Nweke (katikati)....

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>