Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAKATA LA MISS TANZANIA 2014 SITTI MTEMVU

Lile sakata la Miss Tanzania 2014 ,leo umetoka ushahidi mwingine juu ya umri halisi Sitti Mtemvu - passport yake inaonyesha ana miaka 25! Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu  ambaye ni mtoto wa Mbunge wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PRESS STATEMENT- KATIBA na TALKING HINTS ZA KATIBU MKUU CHADEMA, DK. SLAA

Talking hints za Katibu Mkuu kwenye press conference Oktoba 16, 2014.Kamati Kuu ilikuwa na jumla ya agenda kumi na moja, mengine tutayatoa kwa umma kadri muda unavyokwenda.Kwa leo tutazungumzia masuala...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAKATA LA SITTI MTEMVU MISS TANZANIA 2014

Lile sakata la Miss Tanzania 2014 ,leo umetoka ushahidi mwingine juu ya umri halisi Sitti Mtemvu - passport yake inaonyesha ana miaka 25! Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu  ambaye ni mtoto wa Mbunge wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA VIONGOZI CWT NGAZI YA MKOA NA WA WILAYA YA MISSENYI KUKUTANA NA...

 Katibu kitengo cha wanawake CWT Mkoa,Lucy Tibiita akifafanua masuala ya wanawake wakati wa mkutano huo. Viongozi wa CWT Mkoa na  wa wilaya ya Missenyi:wa pili kutoka kushoto ni katibu mkoa,Pontian...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FIKRA POTOFU ZINACHANGIA UGUMU WA MAISHA

 Na Prudence KarugendoKUFUATIA  makala niliyoandika hivi karibuni nikilalamikia michango mikubwa ya sherehe,  wamejitokeza wasomaji wengi kuniunga mkono. Karibu wote waliowasiliana na mimi baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA VICTORIA KIMANI NA WAJE NDANA YA XXL

Wasanii watakaoperfom kwenye jukwaa la serengeti Fiesta, Victoria kimani kutoka Kenya na mwanadada Waje kutoka Nigeria siku ya Jana walijiunga na watangazaji wa kipindi cha XXL cha Clouds fm...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND YAENDELEA KUBAMBA NA MUZIKI WA LAIVU JIJINI DAR.

Kikosi kazi cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa Live Joniko Flower, Meneja wa Band Aneth Kushaba AK47, Sam Mapenzi na Sony Masamba kwa pamoja wakiwapa raha mashabiki wa bendi hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA AKUTANA KAMISHNA WA BIASHARA WA JUMUIYA YA ULAYA

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna wa Biashara wa Jumuiya ya Ulaya Mhe. Karel De Gucht baada kumaliza kikao cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAINDA ...!''SASA NI MR & MRS JAMAL RASHID''

 Tusipo sema Dada Mainda  congratulations hakika tutakuwa tunakosa adabu, Si vyema kusema ni nini katufanyia na nini tumepata kutoka kwake, Tunachoweza kusema ni kitu kimoja tu; My Dear Lovery Sister...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAINDA & JAMAL WEDDING VIDEO OCT 18,2014

Hii ni moja kati ya harusi iliyochuka kasi Mjini Bukoba na kumike headlines kwanza  Maharusiwamependeza  ile mbaya Harusi ya ukweli, watu walivyovaa ukumbini,make up,Decoration  sina hata la kuongea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIJA KWA BIKIRA MARIA NYAKIJOGA-LURDI YA BUKOBA OCT 19, 2014

 Baba Askofu Methodius Kilaini akitoa baraka wakati wa misa ya hija-Nyakijoga,Parokia ya Mugana Baadhi ya Wakatoliki wakishiriki Ibada ya misa ya hija Bw Prosper Mbakile akisoma risala kutoka Parokia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA AKUTANA NA WATANZANIA WANAOSOMA VYUO VIKUU VYA UBELIGIJI

Balozi wa Tanzania  Ubeligiji (mwenye tai) akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaosoma kwenye vyuo vikuu vya Ubeligiji . Balozi Kamala kakutana na Watanzania hao leo hii Brussels.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISI YA WAZIRI MKUU YAFANYA TATHMINI YA HALI YA CHAKULA NA LISHE MKOANI SIMIYU

Bw. Clement Ngosha wa kijijini Kabita Wilayani Busega, Simiyu, akitumia mbegu za mahindi kueleza hali ya chakula kijijini hapo kwa wataalam wa  Tathmini ya Hali ya Chakula na Lishe inayofanywa na Ofisi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHEZAJI AFARIKI AKISHEREHEKEA BAO

Mchezaji wa soka nchini India, Peter Biaksangzuala amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kuanguka vibaya uwanjani akisherehekea bao lake. Mchezaji huyo alikuwa na umri wa miaka 23 na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKAWA WAUNGWA MKONO MGOMBEA MMOJA

Baada ya vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kukubaliana kumsimamisha mgombea mmoja wa urais katika uchaguzi mkuu mwakani, baadhi ya wasomi na viongozi wa asasi za kiraia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PART 2 MAINDA & JAMAL WEDDING VIDEO

Mainda & Jamal wedding Reception held at LINAS Night Club 18 Oct 2014.Watch the video below:Mainda &Jamal wedding

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS TZ 2014 SITTI MTEMVU, NI MISS HALALI MWENYE VIGEZO VYOTE!

Kamati ya Miss Tanzania imesema kuwa haiwezi kumvua taji Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kwa kuwa ni Miss halali na mwenye vigezo vyote vilivyotakiwa, na amewataka watu kutoropoka kwa kuwa hawajui...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAWACHA ON THE RIGHT MOVE, LISTEN TO HALIMA MDEE'S GREAT SPEECH

Msikilize Mwenyekiti wa BAWACHA, Halima Mdee alipohutubia maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza na vitongoji vyake kwenye Uwanja wa Furahisha, Oktoba 18, 2014.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIFO CHA MAMA COLLETHA RWEYEMAMU

Ibada ya kumwombea marehemu Colletha Rweyemamu iliyofanyikia Jioni ya leo oct 22,2014 katika kanisa la Bugando Hosp, Jijini Mwanza muda mchache kabla ya safari kuelekea bukoba,tayari kwa SHUGHULI ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA APOKEA VIFAA VYA MCHEZO WA MPIRA KUTOKA CHAMA CHA MPIRA CHA...

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa na Viongozi wa Chama cha Mpira cha Ubeligiji baada ya kupokea vifaa vya mchezo wa mpira. Kulia ni Msaidizi wa Rais wa Chama cha...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>