BALOZI KAMALA AKUTANA VIONGOZI WAANDAMIZI WA BENKI BENKI YA BNP PARIBAS
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Waandamizi wa Benki ya Kimataifa ya BNP PARIBAS baada ya kumaliza kikao nao leo...
View ArticleKAMPUNI ZA UINGEREZA ZAINGIA TANZANIA
Ujumbe wa makampuni 14 ya biashara za aina mbali mbali ikiwa ni pamoja na sekta za elimu na mafunzo, ulinzi, ushauri elekezi na afya kutoka Uingereza upo Tanzania kwa ajili ya kutafuta fursa za...
View ArticleTUMIA BIDHAA ZA FOREVER LIVING KWA AFYA NA MUONEKANO MZURI WA NGOZI YAKO
Uko busy na kazi? Hupati chakula na virutubisho vya kutosha kutokana na shughuli nyingi za kazi? Wakati mwingne unajihici kuchka na mwili kutofanya kazi vizuri kutokan na kukosa chakula bora ? Tumia...
View ArticleMISS TANZANIA NA UDANGANYIFU
Sitti angevuliwa taji kunusuru jina la nchiNa Prudence KarugendoTANZANIA ni jina kubwa, ingawa sisi Watanzania kwa sasa tunafanya jitihada kubwa za makusudi, na pengine kwa kutokujua, kuhakikisha...
View ArticleMDAU FIDEL 'BLONZO DA ONE' ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WATOTO YATIMA
Jana Octa 24 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwake Kijana mwenzetu Fidel maarufu kama 'Blonzo Da Öñè' Mkazi wa Rwamishenye Mjini hapa.Ndugu Fidel pichani aliamua Fidel Blonzo Da Öñè alivyo amua...
View ArticleHOSPITAL YA COSAD YAANZA RASMI KUTOA HUDUMA OCT 25, 2014
Cosad Clinic iliyopo maeneo ya Nyamkazi Bukoba imeanza rasmi kutoa huduma kwa wagonjwa nyanja mbalimbali The first International COSAD CLINIC PARTNERS FROM THE USA wameweza kutoa huduma ya macho na...
View ArticleMAMIA WAMLILIA KAPTENI MSTAAFU JOHN RWEZAURA BARONGO,WAZIRI WASIRA ASHIRIKI...
Ndivyo anavyowasili kushiriki shughuli ya Mazisho hayo Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe Mama Mjane wa Marehemu Kapteni Mstaafu John Barongo. Tukio linalo endelea ni Ibada ya...
View ArticleUFUNGUZI WA MWAKA WA MASOMO CHUO KIKUU HURIA KAGERA CENTER.
Eneo la maegesho Chuoni hapo Afisa elimu Mkoa wakagera Ndugu Frolian Kimoro pichani kulia ambaye ndiye Mgeni Rasmi akisani kitabu cha wageniMakam Raisi wa serikali ya wanafunzi tawi la kagera...
View ArticleSLAA AKIWASILISHA MADA NIMD
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibroad Slaa akiwasilisha mada inayohusu 'Political Parties Engagement in Political Reforms; The Roles, Persepectives, Challenges and...
View ArticleYATIMA WAOMBA UFADHILI WA ELIMU
Na Ashura JumapiliWATOTO yatima waliohitimu elimu ya awali katika shule ya Tegemeo Kagazi, wameiomba Serikali na taasisi mbalimbali kuwapatia ufadhili ili wajiunge na elimu ya msingi. Meneja wa Kituo...
View ArticleVSO NA PCF WATOA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 80 KUBORESHA MAZINGIRA YA...
Mkuuwa Mkoa wa Kagera ameyapongeza mashirika binafsi ya Vulutary Service Overses (VSO), na Pestallozi Chirdren Faundation (PCF) kwa kunuia kuinua kiwango cha ubora wa elimu katika Halmashaauri ya...
View ArticleMROKI AJIPIGA RISASI NA KUFA ARUSHA
MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa ya Arusha na Manyara, Timoth Mroki (36)...
View ArticleTETESI:MSANII DIAMOND NA MAREHEMU BALOZI FULGENCE KAZAURA KUTUNUKIWA HONORARY...
Tetesi zilizopo ni kwamba katika mahafali ya 44 ya Chuo Kikuu Dar es Salaam yatakayofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City tarehe 08 November 2014, aliyekuwa mkuu wa chuo (Chancellor) wa UDSM marehemu...
View ArticleUMATI 'EMBAGA' WASHIRIKI MAZISHI YA HAJI SAID KAZINJA
Ni mswiba!Siku ya jana Oct 28 ,Mamia kwa mamia ya waamini wa Dini mbalimbali Mkoani Kagera na kutoka sehemu nyingine ndani na nje ya nchi, wameungana kwa ajili ya Mazishi ya Marehemu Haji Said Kazinja...
View ArticleMSANII DIAMOND NA MAREHEMU BALOZI FULGENCE KAZAURA KUTUNUKIWA HONORARY...
Tetesi zilizopo ni kwamba katika mahafali ya 44 ya Chuo Kikuu Dar es Salaam yatakayofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City tarehe 08 November 2014, aliyekuwa mkuu wa chuo (Chancellor) wa UDSM marehemu...
View ArticleKATIKA PICHA MKUTANO WA BAWACHA ULIOFANYIKA UWANJA WA UHURU MJINI BUKOBA LEO...
Sehemu ya wanachi wa Manispaa ya Mji Bukoba waliojitokeza katika Mkutano wa hadhara wa Viongozi wa BAWACHA uliofanyika jioni ya leo Oct 29 Katika Uwanja wa Uhuru Mjini hapa.Akizungumza na wananchi...
View Article“TWEYAMBE” NA MATUMAINI MAPYA KWA ZAO LA KAHAWA
Na Prudence KarugendoBAADA ya kuteseka, kuhujumiwa, kufisidiwa, kutapeliwa nakadhalika, kwa muda mrefu, wakulima wa kahawa wa Kamachumu, Muleba, mkoani Kagera, wameamua kuanzisha Umoja wa Wakulima wa...
View ArticleVIDEO/PICHA YALIYOJIRI KATIKA HARAMBEE YA UCHANGIAJI UJENZI WA MAABARA...
Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Kassim Majaliwa (Mb),mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Uhuru Mjini hapa katika shughuli ya...
View ArticleNI JUMAPILI HII YAMOTO BAND YA MKUBWA FELLA NDANI YA LINAS NIGHT CLUB
Ile Bendi ambayo ndo habari ya Mjini 'YAMOTO BAND' ikiongozwa na Mwimbaji Aslay mwenye ukomavu wa sauti kuliko umri wake katika game ya muziki, Inategemewa kuwasha moto wa burudani ndani ya Linas Club...
View Article