Ile Bendi ambayo ndo habari ya Mjini 'YAMOTO BAND' ikiongozwa na Mwimbaji Aslay mwenye ukomavu wa sauti kuliko umri wake katika game ya muziki, Inategemewa kuwasha moto wa burudani ndani ya Linas Club Nov 2,2014
Ewe mkazi wa Bukoba na maeneo ya jirani ,Unaanzaje kukosa kushuhudia Vijana hawa wadogo wenye kuimba kwa hisia na kupelekea wewe mtazamaji kupata hisia pia..,'DEKAA!!