$ 0 0 Taarifa za hivi punde kutoka kwa Mh Zitto Kabwe ni kwambu wabunge watakutana saa moja jioni ya leo Jumamosi Nov 29,204 kuendelea na shughuli za Bunge baada ya pande 3 PAC ,CCM na UKAWA kuafikiana.