
Shirika la Usimamizi na Maendeleo ya Afya (MDH) ,shirika la JHPiego na Wizara ya afya wameanza kutoa huduma za Dalili za awali za saratani ya mlango wa kizazi ,Mkoani Kagera,huduma hii tayari imeanza toka Jana tarehe 17 hadi 20 desemba 2014 katika hospitali ya Mkoa iliyopo Mjini Bukoba.
Wanawake wanashauriwa kujitokeza kwa wingi,huduma ni bure!!