ROLENE STRAUSS WA SOUTH AFRICA NDIYE MISS WORLD 2014
Miss South Africa Rolene Strauss mwenye umri wa miaka 22 amefanikiwa kutwa taji la Miss World 2014 ,mshindi wa pili katika shindano hilo lililofanyika usiku wa leo Dec 14,Jijijni London ni Miss...
View ArticleAMBASSADOR LIBEATA MULAMULA VISITS TANZANIA COMMUNITY IN CHICAGO
riday December 12, 2014 The Tanzania Midwest Association was honored by the presence of The United Republic of Tanzania Ambassador to the US & Mexico Mrs. Liberata Mulamula standing in front far...
View ArticleBALOZI KAMALA AKIWA NA WAHITIMU WA KITUO CHA CHEKECHEA CHA FRORENCE
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa na baadhi ya Wahitimu wa Kituo cha Chekechea cha Frorence cha Kigogo Dar es salaam.
View ArticleBALOZI KAMALA AANZISHA MFUKO WA ZAWADI WA DR. KAMALA "Dr. KAMALA AWARD FUND"
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (aliyevaa miwani) akizungumza katika Mahafari ya Kituo cha Chekechea cha Frorence yaliyofanyika Kigogo Dar es salaam. Watoto mia moja...
View ArticleMATOKEO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2014 MANISPAA BUKOBA
Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 66 ndani ya Manispaa Bukoba,chama cha mapinduzi CCM wamepata mitaa 35 DHIDI ya Umoja wa UKAWA walio jinyakulia mitaa 31.Jumla ya Wajumbe 330 walitakiwa ambapo...
View ArticleMIAKA 4 JELA KWA KUMTESA MTOTO MDOGO!!
Mahakama nchini Uganda imemhukumu kwenda jela miaka minne mfanyakazi wa ndani (House girl) Jolly Tumuhiirwe ,aliyepatikana na hatia ya kumtesa na kumpiga mtoto mwenye miezi 18. Katika video iliyosambaa...
View ArticleWAHAYA JINA LA MWAKA MPYA 2015 NI "IJUKA" !!
Kama kawaida Wahaya tuna kawaida ya kuibatiza miaka kabla haijaanza. Katika muendelezo huo tayari mwaka mpya wa 2015 umeisha pewa jina nalo ni 'IJUKA' Ikumbukwe kila jina huwa na maana halisi kwa...
View Article--- Article Removed ---
*** *** *** RSSing Note: Article removed by member request. *** ***
View ArticleMWANASHERIA MKUU WA SERIKALI JAJI FREDERICK WAREMA AJIUZURU!
Mwanasheria mkuu wa serikali, jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, jumanne, Desemba 16, 2014 na rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleTAMKO LA CCM UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Chama cha mapinduzi CCM kimesema hakioni sababu ya suala la waliohusika kusababisha dosari zilizojitokeza wakati wa zoezi la upigaji kura kuundiwa tume au kuchunguzwa wakati wanajulikana, badala yake...
View ArticleLIPUMBA:Walioshindwa kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa wawajibishwe.
Chama cha wananchi -CUF- kimemtaka rais Jakaya Kikwete kumuwajibisha waziri mkuu na waziri wa tamisemi kwa kushindwa kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa na baada ya kuibuka dosari kubwa zikiwemo...
View ArticleMTOTO AOKOLEWA NDANI YA SHIMO LA CHOO
Mtoto wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa siku moja ameokolewa na wasamaria wema toka kwenye shimo la choo akiwa bado hai bada ya mama yake mzazi kumeza dawa kwa lengo la kutoa mimba na kumtupa...
View ArticleBALOZI KAMALA AKARIBISHWA JIJINI WETTEREN UBELIGIJI
Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akilisikiliza maelezo kuhusu zawadi aliyokabidhiwa kama ishara ya kumkaribisha jijini Wetteren Ubeligiji. Anayetoa maelezo ni Mhe. Live De...
View ArticleOFISI YA WAZIRI MKUU KUIMARISHA MIFUMO YA UTOAJI WA TAARIFA ZA TAHADHARI NCHINI
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Harrison Chinyuka (Katikati) akisisitiza jinsi menejimenti ya maafa inavyotekelezwa kwa Utekelezaji wa Mradi wa Kuimarisha utoaji wa...
View ArticleDOZI YA LEO JUMATANO DEC 17,HIVI WEWE VIPI?!
Labda niongee na wanaume leo, najua labda uko karibu sana na mama yako mzazi, najua unampenda sana, najua labda wewe ndio wa kiume peke yako kwenu, najua jinsi mama yako alivyoteseka sana kwa ajili ya...
View ArticleWACHEZAJI YANGA WAMLILIA MAXIMO
Mechi kama hiyo ilipofanyika mwaka jana, 2013, Yanga ilifungwa magoli 3-1 na kusababisha aliyekuwa kocha wake Ernie Brandts kutimuliwa pamoja na benchi lake la ufundi. Mwaka huu ni zamu ya kocha Marcio...
View ArticleDK MASSABURI AFUNGUKA SAKATA LA ESCROW KWA MARA YA KWANZA
SEHEMU YA VIDEO HAPO JUU DK MASSABURI AKIONGELEA SAKATA LA ESCROW Dk. Massaburi:Tusimtwishe Rais Kikwete mizigo mizitoWATANZANIA wameombwa kumuonea huruma na kumpongeza Rais Jakaya Kikwete, kutokana...
View ArticleNENDA AISHA MADINDA
Na Happiness Katabazi MNENGUAJI wa Muziki wa Dansi nchini ambaye aliwahi kujizolea Umaarufu mkubwa Katika medani za muziki wa dansi Kipindi kile wakati akiwa mcheza show wa Bendi ya African Stars'...
View ArticleMDH KUTOA BURE HUDUMA YA UCHUNGUZI WA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI-MJINI BUKOBA
Shirika la Usimamizi na Maendeleo ya Afya (MDH) ,shirika la JHPiego na Wizara ya afya wameanza kutoa huduma za Dalili za awali za saratani ya mlango wa kizazi ,Mkoani Kagera,huduma hii tayari imeanza...
View ArticleBALOZI KAMALA AITANGAZA TANZANIA WETTEREN UBELIGIJI
Picha zinaonesha Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akibainisha fursa za uwekezaji na biashara zinazopatikana Tanzania katika Kongamano la kuitangaza Tanzania lililofanyika...
View Article