Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDIVYO MAMBO YATAKAVYO KUWA MAGEZETI YETU YA UDAKU

IDRISS, WEMA WAKUTWA POZI TATA WEMA: AN HAPPY WITH HIS SUCCESS IDRISS:WEMA NI KAMA DADA YANGU DIAMOND AHAHA KUZUIA UKARIBU WA WEMA NA IDRISS IDRISS, WEMA SIYO SIRI TENAMAMA WEMA: NAPENDA WAOANE KABISA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMEZWA NA NYOKA AINA YA ANACONDA

 Watu nchini Marekani wameelezea ghadhabu na hasira zao kwenye mitandao ya kijamii kufuatia utafiti wa mtaalamu wa wanyamapori Paul Roslie kumezwa na Nyoka aina ya Anaconda ili ku chunguza maumbile ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOSE & MTESI ISSA WEDDING!!

 Maharusi Bw. Jose Ledo na Bi Mtesi Issa katika shughuli ya ndoa yao iliyofanyika mwishoni mwa Juma katika hotel ya Ocean Paradise iliyopo katika Kijiji cha Pwani Mchangani ,Zanzibar.   Muda mchache...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIKA KUWAJIBIKA KUMBE LOWASSA JEMBE

NA PRUDENCE KARUGENDOKUMBE  ni vigumu kupata uzuri au ubaya wa kitu kama kitu hicho hujakilinganisha na vitu vingine. Kukilinganisha ndiko kunaweza kutoa picha sahihi ya kipi kizuri kipi kibaya. Bila...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MAADHIMISHO YA MIAKA 53 YA UHURU WA TANZANIA BARA YAFANA JIJINI DAR LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mikono wananchi waliofurika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA VIJUKUU WA MALKIA YAZUA GUMZO!

 Gumzo lenyewe ni hilo hapo chini Kutoka Sandrarose.com (Sandra Rose ni blogger Mwingereza mweusi aishiye Atlanta) Uh oh: LeBron James Broke Royal Protocol by Not Showering and Touching Duchess KateThe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IKULU:JK hatawaadhibu vigogo wa escrow bila ya uchunguzi

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue. Dar es Salaam. Ikulu imesema pamoja na kuwa Rais Jakaya Kikwete amekwishapokea maazimio ya Bunge kuhusu wanaotuhumiwa kuchota Sh306 bilioni katika Akaunti ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI AMTIMUA MWANDISHI WA HABARI

Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Ngara Ndg. Cornel Ngudungi  (mwenye miwani) akiwa katika moja ya mikutano yake. Mwanahabari wa Radio na magazeti Mkoani Kagera Shaaban Ndyamukama  katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

''MASIKINI HALALI MCHANA'' WAUZAJI WA VIFAA BORA VYA UMEME MJINI BUKOBA

 Masikini halali mchana  ni duka la umeme limejikita katika usambazaji wa vifaa halisi (Orijino) vya umeme na korokoro zake zote,Ni wauzaji wa rejareja na jumla kwa bei nafuu na stahiki. 'Masikini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FIKA YUMMY'S GROCERY KWA MAHITAJI YAKO YA NYUMBANI

Mjini Bukoba Unaweza kupata Mahitaji yako ya nyumbani kwa bidhaa bora na halisi  ukifika Yumm's Grocery waliopo  mtaa wa Kawawa/Postal Road jirani kabisa na Jengo la ELCT.Ndani ya  YUMMY'S GROCERY ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK JAKAYA KIKWETE ATUNUKU NISHANI YA MIAKA 50 YA MUUNGANO IKULU DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la tatu Amani Issack Abraham Sepetu kwa niaba ya Baba yake Issack Abraham Sepetu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU MPYA WA MKOA WA KAGERA AJITAMBULISHA WILAYANI NA KUKAGUA UJENZI WA...

Mkuu wa Mkoa wa Kagera John Mongella atembelea Halamashauri za Wilaya za Mkoa wa Kagera kujitambulisha kwa  Madiwani, Watendaji wa halmashauri  za Wilaya pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo ikiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO MKUU WA KAWAIDA WA KAGERA FARMERS CO-OPERATIVE BANK (KFCB) LTD...

Mkutano mkuu wa kawaida wa kumi na tano wa Kagera Farmers Co-Operative Bank (KFCB)Ltd uliofanyika tarehe 11/12/2014 katika ukumbi wa Bukoba Co-Op hotel zamani (Yaasila) uliopo ndani ya Manispaa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAFLA YA KUMPONGEZA MWL-MARTHA BISHANGA YAFANA NDANI YA BUKOBA CO-OP..!!

Hafla ya kumpongeza Mwl. Martha Bishanga kwa kustaafu utumishi wa Umma yafana Sana,Hafla hii imefanyika Usiku wa jana Dec 12,katika Ukumbi wa Bukoba Co-Op Hotel. Mwalimu Martha Bishanga pichani kushoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHRISTIAN BELLA & MALAIKA BAND KUFANYA YAO NDANI LINAS NIGHT CLUB - DEC 26,2014!

BENDI ya muziki wa Dansi ya Malaika chini ya Christian Bella 'Obama' Mzee wa masauti, Christian Bella 'Obama' kufanya yake ndani ya Linas Night Club usiku wa tarehe 26,12,2014 hii ni Sheedah nyingine...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKUMBI MPYA ANGELINA SOCIAL HALL KUZINDULIWA DEC 26,2014

Angelina Social Hall ni ukumbi mpya wa sherehe mbalimbali na mikutano wenye kila sifa na kila kitu cha kisasa kuzinduliwa Dec 26,2014 Mjini Bukoba maeneo ya Rwamishenye /Kiteyangwa .Mgeni Rasmi atakuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARATASI ZA KUPIGIA KURA ZANASWA D'SALAAM

 Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NECTA YATANGAZA MFUMO MPYA

Dodoma. Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), limeanza mfumo mpya wa kupanga matokeo ya kidato cha nne mwaka huu na ya kidato cha sita mwakani, ambapo sasa madaraja yatapangwa kwa wastani wa pointi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII INAHUSU 'BUKOBA CORNIVAL' FUKWENI KIROYERA DEC 20,2014

BUKOBA;tarehe 20 ni siku ya kujiachia fukweni Kiroyera Burudani mbalimbali zitakuwa zikiendelea pamoja nawageni wengi maalum,Jipange  kwa shangwe mpya zenye ubunifu wa kutosha! Pamoja na mambo mengine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HADITHI YA KUSISIMUA:MKE WANGU NUSU JINI,NUSU MTU!!

“Niliwahi kujiuliza kama iko siku na mimi nitapata nafasi ya kusimulia popote pale mkasa uliowahi kunikumba miaka ya nyuma. Ni kuhusu mke wangu niliyefunga naye ndoa ya serikali. Nilibaini kwamba...

View Article
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>