Wadau wa Mjini Bukoba wameungana na Watanzania wenzao namataifa mengine Duniani katika kusherekea mwaka mpya 2015.
Hivi ndivyo wadau walivyo upokea mwaka mpya kwa shangwe za aina yake Bukobawadau tunakufikishia namna shamrashamra za mwaka mpya zilivyoendelea maeneo mbalimbali
Taswira ya Candle Lighty Party ya mwaka Mpya inavyoonekana katika katika Ukumbi wa Space Beach Motel.
Mc Jerry akiwajibika katika sherehe ya mkesha wa Mwaka Mpya
Mama Zachwa na wanae pichani wakifurahi ujio wa mwaka mpya 2015
Wanaonekana Warembo pichani wakati Camera yetu iliangaza pande za Space Beach Motel Bukoba
Princess Nancy Nas & Ms Dyner Van Jimmy
Hakika Wadau walijipanga vyema kwa ajili ya mapokezi ya mwaka mpya,sehemu kubwa ya Vijana wa kileo walionekana maeneo hayo pasipo na shaka kabisa, Mambo ya Berbaque na Cocktatail yalihusika sambamba na Ngoma kali kutoka kwa madj mahiri
Watoto wa Ki bk ndani ya Shangwe za Mwaka mpya 2015 maeneo ya fukwe za Space Beach.
Kutoka kushoto MzeeKelvin,Kaka yetu Mwalimu wetuMjuni Kataraiya na Mlangira Deo Lugaibura
Katikati anaonekana Mrs Abdulmalick Tungaraza.
Wadau wakiendelea kufurahia Mwaka Mpya.
Muda wa kupata msoso maalum wa Mkesha wa mwaka mpya.
Familia ya Zachwa sehemu ya Waandaji wa Shughuli hii wakipata msosi.
Kijana Yusuph Mawalla.
Ash K Bin Amar DJ Ashmir wa Linas Night Club akiwa kajipanga kwa mtambo.
Mr. Bube akiwaongoza wadau wengine kusakata Mayenu
Mambo ya Old Skul kibao kutoka kwa Kanda Bongoman moja ya majina ya wasanii waliovuma sana.
Ndivyo wanavyo check na Camera yetu familia ya Mzee Mganyizi Zachwa.
Blonzo Da Öñè & Judith kwa picha.
Mzee Mganyizi Zachwa na mwanae Jane.
Usikose kujiunga nasi katika ukurasa wetu wa facebook kwa matukio zaidi ya picha.
Camera yetu ikikuangazia meza za wadau mbalimbali.
Anaitwa Moa Kassim, wallah tena kwa pozi hili watakutaka !
Ras Norld akiwakirisha vyema na wenzake.
Shuby & Yusuph
@Space Beach Motel
PrincessNancy Nas Nafsa & Dyner Van Jimmy
Mwisho kutoka Space Beach.
Wakati huo mambo yalikuwa hivi Upande wa Walkgard Transit Hotel wadau wameungana kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha Mwaka mpya 2015. .
Kama kawaida Walkgard Transit Hotel kwa kila mwaka utuandalia kitu tofauti kabisa ikiwa ni pamoja na Muziki wa taratibu na vyakula vya aina mbalimbali, ukumbi ukiwa umepambwa vyema na Mtaalam Mama Matungwa na Waalikwa wakiwa Wamependeza kulingana na angalizo la kuvaa ama kutupia mavazi yanayo kwendana na rangi ya mwaka ambayo ni ORCHID(MIX YA PURPLE NA PINK
Bosi lenye zawadi maalum kwa ajili ya mwaka mpya wa 2015.
Taswira kiwanja cha The Walkgard Transit Hotel.
Dada Teddy Mboto na Dada yake pichani wakifurahia mwaka mpya.
Ndugu wa familia ya Kahwa kama walivyo kutwa na Camera yetu
Taswira mbalimbali camera yetu ikiwa hapa Walkgard Transit Hotel
@Walkgard Transit Hotel
Mwanadada Asimwe akishow love na Bi Joyce.
Mzee Matungwa pichani,Mkurugenzi The Walkgard Hotel.
Nanye Nanye mbele ya Camera yetu ikiwa ni furaha za mwaka mpya!
Watu full Kadanseee!!
Ni mwendo wa burudani.
Furaha ya mwaka mpya 2015 ikiendelea ndani ya The Walkgard Hotel.
Burudani mwanzo mwisho
Meza ya Mzee Emiry Baruti na Dada Rose, yupo na Mzee Bayona
MUHIMU:BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
Wadau wakiendelea kufurahia kuingia mwaka mpya wa 2015
Neno maridhawa kutoka BUKOBAWADAU BLOG tukiwa tunaukaribisha mwaka mpya 2015 Ni hivi li uweze kufanikiwa kwa kile unachofanya hakikisha unafanyia kazi mawazo uliyonayo kwa vitendo. Chukua hatua hii muhimu kwako ya kufanyia kazi ndoto zako na usiishie kuwaza tu na kuongea sana hiyo haitakusaidia katika maisha yako.
Tekeleza na fanyia kazi ndoto zako kila siku hata kama ni kwa sehemu ndogo lakini utakuwa ndio umesogea kuelekea kuzifikia ndoto na malengo yako.
Princess Ailen Lugaibura (kushoto) huyu ni mwana wa Mlangira Deo Lugaibura na PrincessNancy Nas Nafsa wa Visram wakikatiza katika Red Carpet ya mkesha wa mwaka mpya 2015
Katika Red Carpet ni Kijana Samla D Othman .
Credit photo Mdau Walter Rwey-Robert pichani kushoto, Salute kwako mzee!!
Hivi ndivyo Wadau Mjini Bukoba walivyohitimisha mwaka 2014 na kuanza rasmi Mwaka Mpya 2015
PICHA 200 ZAIDI KUHUSU TUKIO HILI ZINAPATIKATA KATIKA UKURASA WETU WA FACEBOOK JIUNGE NASI KWA KU LIKE UKURASA HUO KWA KAGONGA HAPA>>Bukobawadau Entertainment Media