RAIS KIKWETE ATOA ZAWADI ZA MWAKA MPYA KWA MAKUNDI MAALUM MKOANI KAGERA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete asherekea sikuu ya mwaka mpya na makundi maalum mkoani Kagera kwa kutoa zawadi mbalimbali za sikukuu kwa wahitaji katika makundi ili...
View ArticleSHUGHULI YA UZINDUZI WA UKUMBI WA ANGELINA SOCIAL HALL RWAMSHENYEI BUKOBA
Picha ya pamoja kati Mgeni Rasmi katika shuguli ya Uzinduzi wa Ukumbi wa Angelina Social Hall Mzee Yusto Mchuruza wa tatu kutoka kulia katika picha ya pamoja na Wanakwaya, Padre, na familia ya...
View ArticleSHANGWE MKESHA WA MWAKA MPYA 2015 BK !!
Wadau wa Mjini Bukoba wameungana na Watanzania wenzao namataifa mengine Duniani katika kusherekea mwaka mpya 2015.  Hivi ndivyo wadau walivyo upokea mwaka mpya kwa shangwe za aina yake Bukobawadau...
View ArticleKATI YA MATUKIO YALIYO CHUKUA KASI MWAKA 2014
Love birds Muendelezo wa Matukio ya picha katika hafla ya kuwapongeza maharusi wetu Mr Aziz Kichwabuta na Bi Anifa Hamidu Bi Harusi, Anifa Hamimu katika picha ya pamoja na Kaka zake wapendwa. Harusi...
View ArticleSHANGWE MKESHA WA MWAKA MPYA 2015 BK !!
Wadau wa Mjini Bukoba wameungana na Watanzania wenzao namataifa mengine Duniani katika kusherekea mwaka mpya 2015.  Hivi ndivyo wadau walivyo upokea mwaka mpya kwa shangwe za aina yake Bukobawadau...
View ArticleKIFO CHA OMWANA GERALDINA MBONEKO
Familia Dk. Venant Mboneko inasikitika kutangaza kifo cha Mzazi wao mlezi Omwana Geraldina Mboneko kilichotokea Dec 30 ,2014 katika hospital ya Mugana.Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho Ijumaa Jan...
View ArticleNI JUSTUCE LUGAIBURA KWA NEEMA NA REHEMA
Mlangira Justuce Rugaibura aendelea kuwa gumzo Mjini Bukoba na Vijiji vya jirani. Matendo yake na maneno yake yamegusa hisia za watu wengi waliohudhuria tukio la Uzinduzi wa Nyumba aliyo mjengea mama...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY MLANGIRA BEN KATARUGA
Good wishes are there for good onesMay God reply your hopes and brighten your wishes positively dear friend.Bukobawadau would like to wish you a happy and prosperous life.May God help you and live...
View ArticleMISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AONDOKA RASMI KUELEKEA JIJINI MIAMI KWENYE...
 Mrembo wa miss Universe Tanzania 2014 ameondoka rasmi nchini kuelekea nchini Marekani kwenye fainali za  dunia za Miss Universe zitakazofanyika jijini Miami tarehe 25 mwezi huu wa januari.
View ArticleMKUU WA MKOA WA KAGERA AHAIDI KUUTATUA MGOGORO WA MIAKA TISA KATI YA WANANCHI...
Mgogoro wa ardhi kati ya wawekezaji na wananchi wa Kata ya Rutoro Wilayani Muleba Mkoani Kagera uliochukua takribani miaka tisa na kusababisha baadhi ya wananchi kupoteza maisha  na wengine kufungwa...
View ArticleHABARI KATIKA PICHA LEO ALHAMIS JAN 8,2014
 Hivi ndivyo ilivyo kasi ya Wajasiriamali katika kubuni mbinu mbalimbali za ushindani wa biashara.Pichani ni muonekano wa baa ya mwanachi aliyetambuliwa kwa jina moja la Bolli iliyopo katika kata ya...
View ArticleMAELEZO BADILISHENI MFUMO WA UTOAJI PRESS CARD
WASOMAJI na wadau wangu nawasalimu na naimani kuwa Mwenyezi Mungu ametujalia tumeuona mwaka mpya wa 2015 salama salmini. Nawatakia heri na fanaka katika mwaka huu pia na karibuni tena katika porojo...
View ArticleUandikishaji Vitambulisho vya kura vipya kuanza Februari.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka akisisitiza jambo wakati akiongea na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali nchini, mara baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa...
View ArticleMAMBO HAYO TOKA 90'S
 Haya Mambo Huwezi Kuwa Umepitia kama Umezaliwa Baada ya Mwaka 90's...1. Kupakwa GV kwenye kidonda2. Kung'olewa jino kwa uzi3. Ubwabwa kupikwa j2 tu 4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a...
View ArticleSugu anusurika kifo, apata ajali mlima Kitonga
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amenusu kifo baada ya gari aliyokuwa akisafiria kupata ajali katika eneo la mlima Kitonga mkoani Iringa.Taarifa za awali kutoka kwa katibu wake Kwame...
View ArticleSIRI NZITO CCM 2015
Dar na Z’bar. Vikao vya Kamati Kuu ya CCM na Kamati Maalumu ya NEC Zanzibar vinaonekana kuwa huenda vikaiweka hadharani siri nzito za urais wa Jamhuri ya Muungano.Mkutano wa sekretarieti ndiyo...
View ArticleIRENE UWOYA- MACHO MBELE NJE YA NCHI
Katika kile kinachoonekana waigizaji wa kike kutaka kukuza tasnia ya uigizaji kwa kuvuka mipaka ya nchi, mwigizaji Irene Uwoya amesema kuwa anataka atambulike nje ya nchi kuliko ndani.Akiweka hoja yake...
View ArticleCRISTIANO RONALDO NDIYE MCHEZAJI BORA WA FIFA DUNIANI MWAKA 2014
Tuzo ya mchezaji Bora wa dunia wa Fifa kwa mwaka 2014 tayari imetangazwa hivi punde ambapo Mshambulia wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ndiye mshindi wa tuzo hiyo inayojulikana...
View ArticleKITIMTIMU CHA MAMA KILANGO NA GARI LA DC!
Same. Katika hali isiyo ya kawaida, Mkuu wa Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, Dk Michael Kadege limekutwa likipeperusha bendera katika eneo la Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro na kuzua tafrani kati ya...
View Article