ELIMIKA BURUDIKA NA 'STATUS' ZA WADAU !!
Ni vema tukafahamu kwamba siri ya furaha ya kweli haipo katika vitu tulivyo navyo au vile tusivyo navyo, haipo katika vile vinavyotokea au visivyotokea kwetu, Kitu cha muhimu zaidi na ambacho kimekuwa...
View ArticleWEZI WANAFICHWA KWA MGONGO WA MAMA ANNA !
Mama Tibaijuka amegeuzwa kuwa ndiye escrow ili serikali kuonyesha inawawajibisha waliohusika Ukweli ni kuwa ukiacha suala la maadili ya kikazi na mapungufu ya busara, mama Anna Tibaijuka hajatajwa...
View ArticleTOFAUTI YA MUZIKI NA MAKELELE
Tusifanye muziki na makelele kuwa ni kitu kilekile NA PRUDENCE KARUGENDOKUPUNGUA kwa vipaji vya muziki hapa nchini kwa kiasi kikubwa kumelifanya neno muziki kubadilishwa maana yake. Baada ya...
View ArticleMARADHI YA KUTOPATA CHOO (CONSTIPATION):
Haya ni maradhi ambayo mgonjwa huwa hapati choo kwa wepesi. Haja kubwa inaweza kutoka baada ya siku moja au mbili au zaidi na ikitoka huwa ni kigumu na hutoka kwa shida na wakati mwingine huwa kama cha...
View ArticleTASWIRA NDANI YA CHICHI HOTEL JAN 2015
Camera yetu ndani ya Chichi Hotel ,hii ni hoteli ya kisasa iliyo katika viwango inatoa huduma nzuri ya vyumba vya kulala kwa mtu mmoja mmoja, wawili wawili au zaidi na sambamba na breakfast bora....
View ArticleAIBU NYUMBA ZA WAKUBWA KUTUNZA MIHADARATI
Tanzania imekuwa katika vita ngumu ya kupambana na matatizo mbalimbali yanayoisumbua, yakiwamo ya kiuchumi, kijamii na hata kisiasa.Katika baadhi ya nyakati, matatizo hayo yamegeuka kuwa kikwazo kwenye...
View ArticleCHADEMA Yalaani kufukuzwa Chuoni Waziri Mkuu wa serikali ya wanafunzi
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kimelaani vikali uongozi wa Chuo kikuu cha Dodoma kwa kumfukuza chuoni mtetezi mkuu wa wanafunzi ambaye ndiye waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi Philipo...
View ArticleSKYLIGHT BAND WAZIDI KULITIKISA JIJI LA DAR WASAJILI VIFAA VIPYA AKIWEMO JOHN...
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini DarKifaa kipya ndani ya Skylight Band John Music...
View ArticleWASANII WANAOTAKA KUSHIRIKI TAMASHA LA MUUNGANO DAY LA WASANII WA TANZANIA...
Tamasha litafanyika mjini Koloni,Ujerumani April 2015Wasanii wanaotaka kushiriki katika katamasha la kongamano la wasanii wa Tanzania na afrika mashariki linalotarajiwa kufanyika mjini Kolon,Ujermani...
View ArticleSAKATA LA ESCROW;Watumishi watatu wa serikali wapandishwa kizimbani.
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru imewafikisha mahakamani watumishi watatu wa serikali akiwemo mkurugenzi wa fedha wa benki kuu ya Tanzania BOT Julius Angelo kwa tuhuma za kupokea...
View ArticleWIZARA YA ARDHI YATAJWA KUWA KINARA WA URASIMU NA UKIUKWAJI WA SHERIA
Kamati ya Bunge ya ardhi maliasili na mazingira imeitaja wizara ya ardhi kuwa kinara wa urasimu na ukiukwaji wa taratibu na sheria za ardhi kiiasi cha kuchochea migogoro na uchelweshwaji wa mikataba ya...
View ArticleWATU 7 WAKAMATWA MAUAJI YA KASHAI
Marehemu Onesmo Charles Muta aliye uwawa kwa kupiwa risasa nyumbani kwake Katatorwansi KashaiJumla ya watu nane wanashuikiliwa na polisi mkoani Kagera, baada ya kusababisha mauaji kwa aina mbalimbali....
View ArticleMSIBA WA BI LETICIA MATTEI RWECHUNGURA
Tunasikitika kutangaza kifo cha ghafla cha dada yetu mpendwa Leticia Mattei Rwechungura kilichotokea hapa Ujerumani tarehe 06.01.2015. Mazishi yatafanyika hapa Ujerumani Königswinter, karibu na mji wa...
View ArticleBUKOBA YETU JAN 17,2015
Jengo jipya la abiria lililopo katika Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba. Ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kiwanja cha ndege Mjini hapa ukiwa umekamilika sehemu maegesho ya ndege na barabara ya...
View ArticleRC JOHN MONGERA WILAYANI NGARA
Siku ya Jana Mkuu wa mkoa wa kagera John Mongela ametembelea mradi wa utafiti wa madini ya Nickel (Kabanga Nickel wilayani Ngara akiambatana na viongozi wa chama na serikali wilayani Ngara kutambua...
View ArticleKUFUATILIA UDHAIFU WA UTEKELEZAJI/UTENDAJI WA WIZARA YA MAJI, DAWASA, DAWASCO...
Kumb: OMU/MJ/19/01 17/01/2015SpikaBunge la Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaOfisi NdogoDar Es Salaam:Mheshimiwa,YAH: KUFUATILIA UDHAIFU WA...
View ArticleBARAZA LA WATUMIAJI HUDUMA SUMATRA LASHIRIKI KIKAMILIFU MAONESHO YA MIAKA 40...
Afisa wa Elimu kwa Wateja kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, Nicholous Kinyariri akitoa maeklezo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Monica...
View ArticleJAJI MUTUNGI AVIONYA VYAMA VYA SIASA VINAVYOENDEKEZA MIGOGORO
Hivi Karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la Migogoro ndani ya vyama vya Siasa. Jambo hili linaleta Taswira mbaya kwa jamii, hasa kipindi hiki ukielekea katika uchaguzi Mkuu wa nchi.Athari za migogoro hii...
View ArticleNAPE:CCM HAITARUSU WANUNUA URAIS KUPENYA 2015
> . Asema wanapoteza muda na pesa zao>. Awataka wakumbuke salaam za mwaka mpya 2015 za CCM.>. Ajivunia uzoefu wa CCM kudhibiti wasio waadilifu>. Atamba CCM kufanya vizuri uchaguzi mkuu...
View ArticleKINANA AMPIGA STOP MWIGULU KUHUSU ZIARA
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana anadaiwa kuwa amepiga marufuku ziara zinazofanywa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Mwigulu Nchemba.Mwigulu ambaye pia ni Naibu Waziri wa...
View Article