Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PATA PUNGUZO LA BEI KWA 21% KUTOKA CHICHI HOTEL,IPO KINONDONI 'B' JIJINI DAR...

Uongozi wa Chichi Hotel iliyoko Kinondoni B jijini Dar es salaam,kwakushirikiana na Uongozi wa Bukobawadau  unapenda kuwajulisha wateja wake wote na ndugu wadau wa blog yetu kuwa inatoa punguzo la bei...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WILAYANI KYERWA NA UTATU MTAKA FUJO!!

Picha kutoka maktaba yetu.NA PRUDENCE KARUGENDOKYERWA  ni wilaya mpya iliyoundwa kutoka katika wilaya ya Karagwe mkoani Kagera. Wilaya hiyo iko mpakani mwa Tanzania na nchi mbili za Uganda, upande wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUHONGO AMFUATA JK USWISI

WAKATI Watanzania wakisubiri kujua hatima ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, aliyewekwa kiporo na Rais Jakaya Kikwete baada ya kuhusishwa na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGOMA AFRICA BAND NA JINAMIZI LA BONGO DANSI

 Muziki wa Bongo Dansi unapogeuka mzimu na kuwapeleka puta washabiki !Pia wanamuziki FFU-Ughaibuni kukosa Usingizi. Mashabiki.Ngoma Africa Band Ngoma Ngoma Africa band aka FFU wakiwajibika Imebainika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IJUE HALI YA UCHUMI WA MKOA WA KAGERA ILIVYOKUWA KUFIKIA JUNI 2014 KUTOKANA...

Pato la mkoa wa KAGERA (kwa bei za soko) lilikua kwa asilimia 18.9 katika mwaka 2013 kufikia TZS 2.1 trillion kutoka TZS 1.8 trillion mwaka 2012. Pato la mkoa wa Mwanza limeongezeka kwa 21.9% kufikia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAFA YA RADI KIJIJINI BULEMBO KAMACHUMU!!

Wananchi wa Kijiji cha Bulembo Kamachumu wamepata pigo na hasara kwa kupoteza mifugo yao kutokana na radi kubwa iliyopiga Siku ya jana Jumatano 21, majira ya saa 4:30 asubuhi na kupelekea vifo vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUKAMILIKA KWA DARAJA LA KIMATAIFA LA RUSUMO MKOANI KAGERA KUTAKUZA UCHUMI WA...

Kukamilika na kukabidhiwa  kwa daraja la kimataifa la Rusumo mkoani Kagera mpakani mwa Tanzania na Rwanda kutainua uchumi wa mkoa wa Kagera kwa kutoa fursa zaidi za kibiashara  kati za Rwanda, Kongo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZAWA WA MKOA WA KAGERA WAISHIO NJE YA MKOA WAJIPANGA KUUREJESHA MKOA HUO...

 Baada ya kilio cha muda mrefu kwa wazawa wa Mkoa wa Kagera  ambao wanaishi nje ya mkoa huo na wasomi na wenye uwezo mkubwa kiuchumi kukumbushwa kila mara kurudi nyumbani kuwekeza na kuinua uchumi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIKAIDI WAZAZI LAKINI SASA ANAJUTAA!

Sarika na mume wake Timothy wameachana baada ya Sarika kudai kwamba mume wake amekuwa akimdhulumuJe unakumbuka kisa cha wapenzi wawili waliozua gumzo nchini Kenya?Msichana mhindi Sarika Patel kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIKA PICHA TUKIO LA UJAMBAZI DARAJANI LEO

Waswahili wanasema siku za mwizi 40,hivi ndivyo Polisi walivyo wafanikiwa kutuliza tukio la Ujambazi maeneo ya darajani Zanzibar. Mmmoja watuhumiwa wa ujambazi katika maeneo ya darajani akiwa chini ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS:WAZIRI MUHONGO AMEJIUZURU

WAZIRI wa Nishati na Madini, Prof.Sospeter Muhongo amejiuzuru nafasi yake kufuatia kashfa ya uchotwaji fedha za Escrow zaidi Sh.bilioni 300. 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI

Wakati aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo asubuhi, Rais Jakaya Kikwete ametangaza marekebisho ya Baraza lake la Mawaziri.Taarifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO KATIKA PICHA WILAYANI NGARA

LEO wafanyakazi na watumishi wa radio Kwizera kituo cha ngara mkoani Kagera na Kigoma wamekutana na uongozi wa  wa Radio hiyo luweka mipango ya Pamoja kufanikisha utafutaji na utoaji habari kwa jamii...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AQDI YA BI AZATH NA BW.SALIM JAN 24,2015

Ni Matukio ya  Shughuli  ya ndoa ya Bw. Salim Faridu na Bi Azath Hamud ,shughuli hii imefanyika jana Jumamosi Jan 24 ,2015 kuanzia majira ya dhuhuri maeneo ya Kashai Bukoba  Nyumbani kwao na Bi harusi....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNAGOMBANA NA DILI?...HIZI SIO AKILI

Dah, kile kimvua cha juzi wanangu ilibaki hivi tu ...Kiduuuuchu nidedi kudadadeki, natoa hai kwa wanangu wote wa kitaa...mtu mzima niko fiti na magumashi yanasonga kama kawa...kama dawa na hivi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIPANYA LEO JAN 25,2015

Katuni za masoud kipanya

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili mjini Riyadh, Saudi Arabia,asubuhi ya jana, Jumapili, Januari 25, 2015, kuhani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI LUKUVI AMKABIDHI OFISI WAZIRI MHAGAMA

 Waziri  mpya wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mhe. William Lukuvi (Mb) (Kulia) ambaye awali alikuwa Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) akifafanua  jamabo kuhusu masuala ya Ofisi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHERIA NGOWI AMVALISHA RAIS MPYA WAZAMBIA, EDGAR LUNGU

Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu akiwa amevaa suti maalum (Presidential suit) iliyobuniwa na Mbunifu wa mavazi wa Kimataifa kutoka Nchini Tanzania Sheria Ngowi akikagua gwaride rasmi kabla ya kuapishwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAJABU YA HUU MWAKA 2015

Huu mwaka 2015 una maajabu yafuatayo.......04/04/2015 ni Jumamosi,06/06/2015 ni Jumamosi,08/08/2015 ni Jumamosi,10/10/2015 ni Jumamosi, 12/12/2015 ni Jumamosi. Calendar ya mwaka 1987 imejirudia tena...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>