TUKIO JINGINE LA MAUAJI BUKOBA !
Sehemu ya wananchi pichani na Askari Polisi wakishuhudia mwili wa mtu anayeaminika ameuawa katika eneo la Nshambya karibu na makazi ya Askari polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Mjini...
View ArticleWAZIRI CHIZA AWASILI OFISI YA WAZIRI MKUU
Waziri wa Nchi Mpya wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Christopher Chiza akisalimiana na Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu leo Jijini Dar es Salaam, wakati alipo wasili ofisini...
View ArticleWIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI YATOA ELIMU JUU YA MTANGAMANO WA...
Akina mama wajasiliamali wakiwa katika kikaoBw. Amantius Msole Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Aiwa na Bw. Clement Ndyamukama Katibu Tawala Wilaya ya Bukoba Katika Kikao na...
View ArticleJAMBO BUKOBA KUENDESHA BONANZA LA MICHEZO KWA SHULE ZA MSINGI MKOANI KAGERA...
Jambo Bukoba ni Shirika lisilokuwa la Serikali linalofanya kazi mkoani Kagera kwa kushirikiana na serikali ya mkoa. Mwanzilishi wa Jambo Bukoba anaitwa Bw. Clemence Mlokozi ambaye asili yake ni...
View ArticleBALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA AFANYA ZIARA MKOANI KAGERA KUKAGUA ENEO LA...
Balozi wa China nchini Tanzania LU Youqing amewasili mkoani Kagera leo alasili tarehe 27/01/2015 kwa ziara ya siku mbili kukagua eneo lililotengwa na serikali ya mkoa kwa ajili ya kujenga chuo cha...
View ArticleVIONGOZI NA WAFUASI WA CUF WATAWANYWA KWA MABOMU YA MACHOZI TEMEKE DSM
Jeshi la Polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa chama cha wananchi CUF ambao walikuwa wanakwenda kushiri katika mkutano wa kuwakumbuka wanachama wenzao waliouwawa huko visiwani...
View ArticleMARUFUKU SHULE BINAFSI NCHINI KUWAFUKUZA WANAFUNZI WASIOFIKISHA WASTANI
Serikali imezipiga marufuku kitendo cha shule binafsi nchini kuwafukuza ama kuwasitishia masomo wanafunzi wanaoshindwa kufikia wastani na kwamba shule zote zitakazokiuka agizo hilo zitachukuliwa hatua...
View ArticleBURUDANI MAALUM SIKU YA 'VALENTANE DAY'
Shemeji Investment wakishirikiana na Zachwa Investment wanakuletea Usiku maalum wa mahusiano siku ya 'Valentane Day' Feb 14,2015 ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club .Usiku huo utakuwa na Dinner &...
View ArticleFIGO ATANGAZA KUWANIA URAIS FIFA
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ureno Luis Figo ametoa taarifa za kushitusha baada ya kutangaza kuwania Uraisi wa FIFA. Nyota huyo wa zamani wa vilabu vya Sporting Lisbon, Barcelona, Real Madrid...
View ArticleMCH.NA MWALIMU WA KAHORORO ATANGAZA NIA YA KUWANIA UBUNGE BUKOBA MJINI
Mwalimu Aidan Muganyizi Gerald pichani.Mjini Bukoba kabla hata kipenga hakijapulizwa tayari Mchungaji na Mwalimu wa Kahororo High School mapema ameshatangaza nia ya kuwania kiti cha Ubunge jimbo la...
View ArticleKAGASHEKI : CCM KAZI IPO MWAKA HUU
Dar es Salaam. Hofu kuhusu nafasi ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao inazidi kuongezeka baada ya mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki kukitabiria chama hicho tawala “kazi kubwa”, akisema hali...
View ArticleMWALIKO WA DARASA LA KISWAHILI
Darasa la Kiswahili hapa Washington DC na vitongoji vyake linaratibiwa na Jumuiya ya waTanzania ya hapa DMV Sasa linafanyika kila Jumamosi kuanzia saa 9 kamili alasiri mpaka saa 11 kamili jioni Anwani...
View ArticlePROF.IBRAHIM LIPUMBA APANDISHWA KIZIMBANI
Mwenyekiti wa CUF amepandikishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu Dar es Salaam. Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba amepandikishwa kizimbani katika mahakama ya...
View ArticleCHUKUA SOMO WALA USIJIBWETEKE!
Hatakama amekuahidi kila ulichowahi kutamani, hatakama amejitambulisha kwa ndugu zako wote, hata kama wazazi wako wamemkubali, hata kama ana vigezo vyote vya mume uliyewahi kumdhania au kumuota,...
View ArticlePUNGUZO LA BEI KWA 21% KUTOKA CHICHI HOTEL,IPO KINONDONI 'B' JIJINI DAR ES...
Uongozi wa Chichi Hotel iliyoko Kinondoni B jijini Dar es salaam,kwakushirikiana na Uongozi wa Bukobawadau unapenda kuwajulisha wateja wake wote na ndugu wadau wa blog yetu kuwa inatoa punguzo la bei...
View ArticleWAFUASI WA CUF 30 WAFIKISHWA KORTINI
Wafuasi 30 wa CUF wafikishwa kortini kwa tuhuma za mashtaka matatu likiwemo la kufanya mkusanyiko usio halali. Wafuasi 30 wa chama cha wananchi (CUF) akiwemo naibu mkurugenzi wa oganaizesheni, uchaguzi...
View ArticleTAARIFA MAALUM KUHUSU KAMPUNI YA NDEGE YA TANZANIA (ATCL)
Zitto Kabwe Mheshimiwa Spika, Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) ilianzishwa mwezi Novemba 2002 baada ya Serikali kubinafsisha lililokuwa Shirika la Ndege la Tanzania (Air Tanzania Corporation, ATC);...
View ArticleKATIKA PICHA BUKOBA YETU LEO JAN 31, 2015
Kutoka maktaba ya Bukobawadau hii ni picha ya mwaka 2005 muonekano wa Jengo la shule ya wasichana ya Kajumulo Girls High School. iliyopo Manispaa ya Bukoba Muonekano wa Sasa Jengo la Shule ya Wasichana...
View ArticleSUGE KNIGHT AKAMATWA KWA MAUAJI
Polisi nchini Los Angeles inasema kuwa msanii wa muziki wa rap kutoka Marekani Marion Suge Knight amekamatwa kutokana na mashtaka ya mauaji baada ya kumgonga mtu mmoja na gari lake hadi kumuua na...
View ArticleFRANCES CHEKA AFUNGWA JELA MIAKA MITATU
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini francis cheka, amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu, sambamba na kutakiwa kulipa shilingi milioni moja kama gharama za matibabu na fidia, baada ya kupatikana na hatia...
View Article