BODI MPYA YA KCU (1990) LTD INAWEZA KUUFUFUA AU KUUZIKA USHIRIKA
NA PRUDENCE KARUGENDOPAMOJA na wakulima wa kahawa mkoani Kagera kuufurahia uamuzi wa kuisimamisha kazi Bodi ya Wakurugenzi ya zamani ya chama kikuu cha ushirika cha KCU (1990) Ltd., bado yapo mambo...
View ArticleHARUSI YA ABDULRAZAK BYABUSHA NA BI ANIAN
Asalaam Aleykum hii ni baada ya Bwana harusi wetu Abdulrazak Juma Hamdani al maarufu Byabusha alipo kaa na kuona ni jambo lipi lenye maana atakaloweza kuliwasilisha kwa Mola wake kwa kuzingatia Dunia...
View ArticleMAHAKAMA YA KADHI HAITAHUDUMIWA NA SERIKALI AMESEMA MWANASHERIA MKUU
Mh. George Masaju amesema mahakama ya kadhi itakayoanzishwa kisheria haitahudumiwa na serikali.Mwanasheria mkuu wa serikali Mh. George Masaju amesema mahakama ya kadhi itakayoanzishwa kisheria...
View ArticleMLANGIRA BEN KATARUGA ATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA NA AHADI YA KUJENGA BWENI
Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Ben Expeditions pichani Mlangira Ben Kataruga ameendelea na Utaratibu wa kusaidia makundi maalum ikiwemo mayatima na watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi....
View ArticleSHY ROSE BHANJI AJITOLEA KUCHONGA BARABARA YA MBWENI - MALINDI
Mbunge wa Bunge kla Afrika Mashariki ambaye pia ni mkazi wa Mbweni, Shy Rose Bhanji akiwa na Mwenyuekiti wa Serikali ya Mtaa Mbweni-Malindi, jijini Dar es Salaam, Bariki wakisimamia ukarabati wa...
View ArticleSHIRIKA LA ICAP LAZINDUA MASHUA MPYA ZIWA VICTORIA KWA AJILI YA HUDUMA ZA UKIMWI
Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Kagera akikata utepe katika Uzinduzi wa Mashua mpya katika Ziwa Victoria iliyotolewa na shirika la ICAP kwa ajili ya huduma za UKIMWI kwa Wananchi waishio...
View ArticleSIKU YA SHERIA TANZANIA YAADHIMISHWA MKOANI KAGERA KUUFUNGUA MWAKA MPYA WA...
Waheshimiwa Majaji na Mkuu wa Mkoa Meza KuuWaheshimiwa Majaji na Mkuu wa Mkoa Meza KuuAfande Wekwe Kiongozi wa GwarideGwaride la Jeshi la Polisi Likitoa Heshima kwa Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu Kanda ya...
View ArticleTANGAZO LA STUDIO MPYA YA KUREKODI NA KUKUZA VIPAJI VYA WASANII NA VIKUNDI...
SHIRIKA LA COSAD TANZANIA, KUPITIA KITUO CHAKE CHA KUREKODI NA KUKUZA VIPAJI VYA WASANII NCHINI KIJULIKANACHO KAMA “IMUKA RECORDING STUDIOS” WANAKUTANGAZIA PROMOTION AU PUNGUZO KUBWA WEWE MSANII,...
View ArticleHII INAHUSU KWA JUMAMOSI YA LEO FEB 7,2015
Hivi umewahi kujiuliza inakuwaje inakuwa rahisi kwa mke kumsubiri mume wake hata kama anachelewa kwa jinsi gani, hapa namaanisha labda unamsubiri muende sehemu, au unamsubiri ukiwa kwenye gari na yeye...
View ArticleWILAYANI MISSENYI SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZAFANA SANA
Ndugu Julius Rugemalila Mjumbe wa mkutano mkuu CCM taifa akivalishwa skafu na Vijana wa Chipukizi wakati alipo kuwa mgeni rasmi katika sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa ccm Wilayani Missenyi Viongozi...
View ArticleSOPHIA'S 50TH BIRTHDAY PARTY
Matukio yaliyojiri katika Sherehe ya kumbukumbu siku ya kuzaliwa kwake Bi Sophia Abdallah (Sophia's 50th birthday party) na kutimiza miaka 7 ya ndoa yake.Bi Sophia anakata Keki ,pembeni yake yupo mme...
View ArticleSKYLIGHT BAND WAENDELEA KUTOA BURUDANI YA NGUVU JIJI DAR
Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar es Salaam Ijumaa iliyopita...
View ArticleMBUNGE WA KENYA AUAWA MJINI NAIROBI
Watu wakiwa wamekusanyika kwenye tukio baada ya mbunge George Muchai kuuawa na watu waliokuwa na silaha mjini Nairobi. Mbunge mmoja nchini Kenya amepigwa risasi na kuuawa Jumamosi asubuhi mjini...
View ArticleASASI YANUIA KUPAMBANA NA UMASKINI KATA YA KANYIGO
NA MWANDISHI WETU,BUKOBAWADAU,MissenyiKAMATI tendaji ya asasi ya Kupambana na umaskini katika jamii,katika kata ya Kanyigo Wilaya ya Missenyi iitwayo CONCERN FOR COMMUNITYRESOURCES(CCRD) yenye makao...
View ArticleIVORY COAST MABINGWA AFCON 2015 WASHINDA KWA PENATI 9-8 DHIDI YA GHANA
Ivory Coast wamekuwa mabingwa wapya wa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2015 baada ya kufuinga Ghana kwa penalti 9 - 8 katika mchezo wa fainali ulichezwa katika uwanja wa Estadio de Bata huko...
View ArticleTUNACHOHITAJI NI UFUMBUZI WA MATATIZO SIYO SAUTI NZURI
Na Assumpta Nalitolela Nimeandika makala kadhaa zinazohusu huduma bora kwa wateja katika safu hii. Nalazimika kuandika tena leo kwa sababu kwa kweli maeneo mengi ya nchi hii huduma ni mbovu sana. Yapo...
View ArticleMAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MZEE FRANCES KABAKAMA - FEB 9,2015 KIJIJINI...
Mamia ya watu washiriki mazishi ya Marehemu Mzee Frances Kabakama yalioyofanyika jioni ya leo Feb 9,2015 nyumbani kwake Kijijini Kigati-Bugambo umbali wa kilomita 45 nje ya Mji wa Bukoba. Mjane wa...
View ArticleKAMPUNI YA KUTANGAZA UTALII YA TRAVEL XENARJO YA UNELIGIJI YAKUBALI KUTANGAZA...
Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala P akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Masoko wa kampuni ya kutangaza utalii ya Travel Xenarjo ya Ubeligiji Bi. Dana Maes baada ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AONGOZA MAELFU KATIKA MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA...
Majeneza yenye miili ya watu sita wa familia moja waliofariki kwa ajali ya moto baada ya nyumba yao kuteketea kwa moto eneo la Kipunguni ‘A’ jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia Februari 7, ambao...
View ArticleKAMPUNI YA UTALII YA HABARI TRAVEL YA UGANDA YATANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA...
Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala P AKIWA katika picha ya pamoja na Bwana Burt Munting Mkurugenzi wa kampuni ya utalii ya Habari Travel ya Uganda inayoshiriki Maonesho ya Utalii...
View Article