Matukio yaliyojiri katika Sherehe ya kumbukumbu siku ya kuzaliwa kwake Bi Sophia Abdallah (Sophia's 50th birthday party) na kutimiza miaka 7 ya ndoa yake.
Bi Sophia anakata Keki ,pembeni yake yupo mme wake mpendwa Mzee Nurag Galiatano
Happy birthday kwako Mrs Nurag.
Bi Sophia anamlisha kipande cha Keki Mama yake Mzazi.
Utaratibu wa keki ukiendelea kwa Ndugu wafamilia pichani ni Dada zake na Bi Sophia
Bukobawadau tunamuomba Mwenyezi Mungu awajaalie wana ndoa hawa azidi kuwabariki (Omkama abatunge Emilembe) Mola awape miaka mingi zaidi ya furaha yenye upendo amani na mafanikio tele.
Ni muda wa kupata chakula cha usiku Ukumbini
Naaam!!meza ya 'Maharaba'wakipata chakula cha pamoja
Kushoto ni Ndugu Charles na Uncle Khalidi wakipata msosi.
mazungumzo yenu wakati wa chakula cha usiku
Mazungumzo ya hapa na pale wakati wakiendelea kupata chakula
Picha ya pamja Kijana Rahim akiteta na mama yake mzazi na wa mwisho kulia ni kijana Jamal
Kulia kabisa anaonekana Mdogo mtu Bi Zahyana ni katika picha ya pamoja na mama Mzazi.
Kwa ukaribu wa familia mbili baina ya Mwanaume na Mwanamke kutoka Buganguzi na Kamachumu,ni furaha kwa Mama Eddan Mrs Rugalabamu kama anavyo onekana pichani kulia akitoa neno .
Muendelezo wa Zawadi kutoka kwa wafanyakazi wenzake na Bi Sophia (KFCB)
Mara chache sana kuonekana Bi Kamama (Mrs Deo) hakika kila tukio hili ni la aina yake.
Zawadi kutoka kwa mawifi na Stori nyingine katika kupongezana
Sehemu ya Zawadi
Mshereheshaji wa Shughuli hii Mc Rutakwa akitoa angalizo kuhusu utaratibu...!
Kijana Jamal akipata fursa ya kutoa maneno ya Shukrani kwa wazazi wake kwa Ushirikiano mkubwa katika malezi wanayompa na kuonekana mwenye furaha siku zote,tukio lililowafurahisha watu wote ukumbini
Muhimu:Usisite kutembelea ukurasa wetu wa facebook kwa matukio zaidi ya picha za Burudani na zawadi
Wakitoa shukrani kwa waalikwa na wageni wote waliofika
Hongereni sana Mr & Mrs Nurag Mwenyezi Mungu azidi kuwapa maisha marefu na kutimiza ndoto zenu -Insha'Allah
Bi Sophia anakata Keki ,pembeni yake yupo mme wake mpendwa Mzee Nurag Galiatano
Happy birthday kwako Mrs Nurag.
Bi Sophia anamlisha kipande cha Keki Mama yake Mzazi.
Utaratibu wa keki ukiendelea kwa Ndugu wafamilia pichani ni Dada zake na Bi Sophia
Mungu amewajaalia wana ndoa hawa watoto wawili wa kiume, Henning (8) pamoja na Makenga mwenye miaka sita. Mungu azidi kuwabariki kwakuwapa miaka mingi zaidi ya furaha , upendo amani na mafanikio tele. - See more at: http://www.gospelkitaa.co.tz/2013/03/shangwe-za-gk-miaka-10-ya-ndoa-sambamba.html#sthash.GEZLhNLT.dpuf
Kabla ya kukata Keki Maalum kwa ajili ya miaka 7 ya ndoa yao ,pichani anaonekana Mzee Nurag Galiatano akitoa neno.Bukobawadau tunamuomba Mwenyezi Mungu awajaalie wana ndoa hawa azidi kuwabariki (Omkama abatunge Emilembe) Mola awape miaka mingi zaidi ya furaha yenye upendo amani na mafanikio tele.