Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

IVORY COAST MABINGWA AFCON 2015 WASHINDA KWA PENATI 9-8 DHIDI YA GHANA

$
0
0
Ivory Coast wamekuwa mabingwa wapya wa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2015 baada ya kufuinga Ghana kwa penalti 9 - 8 katika mchezo wa fainali ulichezwa katika uwanja wa Estadio de Bata huko Equatorial Guinea.
  Mlinda Mlango wa Ivory Coast Boubacar Barry ambaye alikuwa hapangwi mara kwa mara lakini ndiye aliyeibeba Ivory Coast baada ya kudaka penati na kufunga penalti ya mwisho
 Miamba hiyo ya ''The elephants''wakiongozwa na  nahodha wao Yaya Toure wamepata ushindi huo baada ya dakika 90 kuisha bila kuungana na dakika 30 za nyingeza
Hatua ya penati mambo yalikuwa hivi
1.Mubarak scores for Ghana: 1-0
2.Bony misses for Ivory Coast
3.Ayew scores for Ghana: 2-0
4.Tallo misses for Ivory Coast
5.Barry saves Acquah penalty: Ghana lead 2-0
6.Aurier scores for Ivory Coast: 2-1 Ghana
7.Acheampong misses for Ghana: 2-1 Ghana
8.Doumbia levels the score: 2-2
9.Andre Ayew scores for Ghana: 3-2
10.Yaya Toure scores: 3-3

11.Mensah scores for Ghana: 4-3 Ghana
12.Kalou scores for Ivory Coast: 4-4
13.Badu scores for Ghana: Ghana 5-4
14.K. Toure scores for Ivory Coast: 5-5
15.Afful scores for Ghana: 6-5 Ghana
16.Kanon scores for Ivory Coast: 6-6
17.Baba scores for Ghana: 7-6 Ghana
18.Bailly scores for Ivory Coast


19.Boye scores for Ghana: 8-7 Ghana
20.Die scores for Ivory Coast: 8-8
21.Brimah misses penalty for Ghana: 8-8
22.Barry scores winning penalty - Ivory Coast win 9-8

Wachezaji wa timuIvory CoastwakisherekeakutwaKombe la Mataifa yaAfrikaAFCONkwa penalti,hili ni  taji lao la kwanzatangu mwaka 1992
Mchezaji YayaToure wa Ivory Coast(katikati) akishangilia na wachezaji wenzakebaada ya kushindaKombe la Mataifa yaAfrikakwa penati 9-8 dhidi ya Ghana
Nyota wa Manchester City  na nahodha waIvory CoastYayaToure akikabidhiwa Kombela Mataifa ya Afrikakwa mwaka 2015
Mshambuliaji wa Manchester CityWilfriedBony akiwa amembeba begani shujaawa mchezo huu mlinda mlango BoubacarBarry(katikati),aliye fungapenalti ya ushindi.
Kiungowa GhanaAndreAyewakipe moyo na kutulizwawa nakocha wakeAvramGrantmara baada ya kupoteza mchezo wa fainali waKombe la Mataifa yafainaliAfrika  mwaka 2015
'FULL KADANSEEE'Kocha mkuuwa Ivory Coast,HerveRenard(katikati) akishangilia kwa kucheza ngoma  na wachezajiwake baada ya kushindaKombe la Mataifa yaAfrika

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>