Tamasha litafanyika mjini Koloni,Ujerumani April 2015
Wasanii wanaotaka kushiriki katika katamasha la kongamano la wasanii wa Tanzania na afrika mashariki linalotarajiwa kufanyika mjini Kolon,Ujermani mwezi April 2015 mnaombwa mjiandikishe kwa kuwasiliana katika namba ya simu +49(0)15778645623 .Tamasha hili linania ya kutangaza sanaa za maonyesho za Tanzania nchini ujerumani,wasanii wa ngoma za asili,Sarakasi,Maigizo, Muziki n.k mnakaribishwa kujiandikisha kushiriki Tamasha hili ,Wasanii mnaombwa mtumie nafasi hii kuonyesha vipaji vyenu
katika uwanja wa kimataifa ili kujitangaza zaidi.
Ushiriki wenu katika tamasha hili ndio dira ya ukombozi kwa wasanii wote!
Maelezo zaidi piga simu +49(0)15778645623
http://www.wabantu.de