$ 0 0 Mrembo wa miss Universe Tanzania 2014 ameondoka rasmi nchini kuelekea nchini Marekani kwenye fainali za dunia za Miss Universe zitakazofanyika jijini Miami tarehe 25 mwezi huu wa januari.