$ 0 0 Mzee Bayona katika hili na lile.Anaitwa mzee Kazinja pichani. Steve's Choice wao ni wauzaji wa nguo aina mbalimbali wanapatikana mkabala na Bakhta. Mdau Steven mkurugenzi wa Steve's Choice akicheck na camera yetu Muonekano wa jengo la Bakhta mjini Bukoba.