UZINDUZI WA ALBUM ZAWADI YA CHRISTMAS KUTOKA KWA KAPOTIVE SINGERS- BUKOBA...
KAPOTIVE SINGERS BUKOBA WANAPENDA KUKUKARIBISHA WEWE MDAU KATIKA UZINDUZI WA ALBUM YAO MPYA YA ZAWADI YA CHRISTMAS, WAKISINDIKIZWA NA UPENDO NKONE MKALI KATIKA NYIMBO ZA INJILI,HII ITAKUA SIKU YA TAR...
View ArticleJAMBO BUKOBA YABORESHA SHULE ZA MSINGI WILAYANI NGARA
KAGERA Shirika lisilo la jambo Bukoba lililoko mkoani Kagera limetoa msaada wa kujenga baadhi ya miundombinu ya shule tano za msingi kwenye wilaya kadhaa mkoani humo kwa lengo la kukuza vipaji na...
View ArticleNUKUU YETU LEO DEC 17,2013
Wakati mke wa rais Obama akiwa chuo, kulikuwa na wanawake wachache sana wa kiafrika katika chuo hicho..Hivyo akapewa mwanachumba mwenzake ambaye ni mzungu, na mama wa yule binti wa kizungu alijisikia...
View ArticleKIJIJINI KAMACHUMU NA CAMERA YETU LEO DEC 17,2013
Katikati ya mji mdogo wa Kamachumu makutano ya barabara iendayo Rutabo Shule ya Sekondari,kulia ni kuelekea hospital ya Ndolage Mdau Shaban Kabalabala maarufu kwa jina la Mjeshi. Wana wa Kamachumu...
View ArticlePICHA YETU YA LEO DEC 17,2013
Mdau msomaji kumbuka tunapokwenda inategemea sana na tunakotoka maana hapa tulipo ni matokeo ya kule tulikotoka sisi kama wadau kwa pamoja.!!!
View ArticleTANGAZO LA KIFO CHA MAREHEMU MAMA WINIFRIDA KALEMERA
FAMILIA YA MZEE AUGUSTINE KALEMERA NA KAMPUNI YA KIROYERA TOURS WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MAMA WINIFRIDA KALEMERA MAMA MZAZI WA MAMA MARY KALIKAWE AMBAYE NI MMOJA WA WAKURUGENZI WA KIROYERA...
View ArticleWABUNGE WA CCM WAWAKALIA KOONI MAWAZIRI MIZIGO
Dodoma/Dar es Salaam. Wabunge 160 wa CCM wamejiorodhesha kuomba kuitishwa kwa kikao cha Kamati ya Wabunge hao kwa lengo la kuwajadili mawaziri wanaotajwa kuwa mizigo.Pia wabunge hao wanataka Katibu...
View ArticleOFISI YA WAZIRI MKUU YAZINDUA MPANGO WA KUJIANDAA KUKABILI MAAFA MKOANI...
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mh. Ally Nassoro Rufunga akisisitiza juu ya utekelezaji wa Mpango wa Kujiandaa kukabili Maafa Mkoani Shinyanga wakati alikiuzindua mpango huo leo Mjini Shinyanga kushoto ni...
View ArticleABIRIA WANUSURIKA KWA AJALII YA GARI WILAYANI NGARA
Zaidi ya abiria 60 wamenusurika kupoteza maisha yao baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es salaam kueleke Bujumbura nchini Burundi kuwaka moto wilayani Ngara Mkoani Kagera.Tukio hilo...
View ArticleATIMIZA MIAKA 50 KATIKA UPADRE
NGARA; Waumini wa kanisa katoliki jimbo la Rulenge Ngara mkoani kagera leo wameungana na Padre Lazaro Kadende wa jimbo hilo kuadhimisha miaka 50 ya upadre katika sherehe iliyofanyika katika parokia ya...
View ArticleHAPA NA PALE NA CAMERA YETU MTAANI
Mzee Bayona katika hili na lile.Anaitwa mzee Kazinja pichani. Steve's Choice wao ni wauzaji wa nguo aina mbalimbali wanapatikana mkabala na Bakhta. Mdau Steven mkurugenzi wa Steve's Choice akicheck na...
View ArticleHIZI NDIZO PICHA JINSI NDEGE YA ETHIOPIA AIRLINE ILIVYOCHIMBA UWANJA WA NDEGE...
Watu 200 waliokuwa wakisafiri kwa ndege ya Ethiopian Airline wanusurika kufa baada ya ndege kupitiliza hadi nje ya uwanja mdogo wa ndege wa Arusha baada ya kutua kwa dharura.Ndege aina ya Boeing 767...
View ArticleMWIGULU AMLIPUA MBOWE BUNGENI NI KUHUSU KUTUMIA VIBAYA MADARAKA YAKE!!
Mh. Mwigulu nchemba madelu, mbunge wa iramba magharibi katika mwongozo alioomba kwa spika wa bunge asubuhi hii amemlipua kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni FREEMAN MBOWE kwamba ametumia madaraka...
View ArticleNEWS ALERT: MWINGINE AUA KWA RISASI NAYE KUUAWA NA WANANCHI KWA UGOMVI WA...
Migogoro ya kugombea ardhi imeendelea kusababisha vifo baada kikomgwe mweye umri wa miaka 87 mkazi wa kijiji cha Kahama wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga kumiuua kwa kumpiga na risasi ya kichwa mkazi...
View ArticleTUNASIKITIKA KUPOKEA TAARIFA ZA KIFO CHA NDUGU RAKESH KILICHOTOKEA JIONI YA...
Bukobawadau Blog tunatoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki wa familia ya Marehemu Rakesh,tunamuombea kwa Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema aipokee na kuilaza Roho yakeMahala Pema peponi Amen!!
View ArticleSEHEMU YA 2: UONGOZI WA KCU (1990)LTD UNANIOFIA KWA SABABU YA MADHAMBI YAKE
Na Prudence Karugendo HII ni sehemu ya pili na ya mwisho ya mahojiano kati ya mwakilishi wa chama cha msingi cha Kamachumu, Muleba, Kagera, Archard Felician Muhandiki, na mwandishi wa makala hii kuhusu...
View ArticleWANANCHI NGARA WAITISHIA HALMASHAURI YAO KWA KUGAWA ARDHI BILA KUWASHIRIKISHA
Pichani ni mahudhurio ya wananchi katika mkutano wa hadharaNa Shaaban ndyamukama December 18,2013NGARA: SERIKALI ya kijiji cha Kasulo wilayani Ngara mkoani Kagera imemkataa mwekezaji aliyepewa ardhi...
View Article