Rais asaini muswada kuondoa kodi ya simu
Dar es Saalam. Rais Jakaya Kikwete ametia saini hati ya dharura (Certificate of Urgency) ili Muswada wa Fedha wa Mwaka 2013 ufanyiwe marekebisho ya kuondoa tozo ya kodi kwa kadi za simu.Bunge la Bajeti...
View ArticleNEWS UPDATES;WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MH. KAGASHEKI ATANGAZA KUJIUZURU...
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamisi Kagasheki amejiuzulu wadhifa wake baada ya mjadala mkali na wakina Bungeni mjini Dodoma leo jioni.Hii inatokana na Operesheni Tokomeza iliyolenga kuondoa...
View ArticleWATU WASIOJULIKANA WAMEWAUA WATOTO WAWILI
Watu wasiojulikana wamewaua watoto wawili,mmoja akiwa ni binti wa kazi wa Diwani wa CCM kata ya Mkingamo wilaya Momba mkoani Mbeya.Chanzo cha mauaji inasemekana ni dhuluma ya viwanja kwa wananchi wa...
View ArticleKIONGOZI WA BENDI YA THE NGOMA AFRICA BAND YA UJERUMANI AKUTANA NA ANKAL...
Ankal akimkabidhi zawadi ya Krismasi na kadi Kamanda wa FFU Ughaibuni The Ngoma Africa Band ya Ujeruman, Ras Ephraim Makunja, a.k.a Field Marshal wa jamii ya Annunaki walipokutana leo katikati ya...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AWAFUKUZA KAZI MAWAZIRI WANNE,SIKILIZA AUDIO YA WAZIRI...
SIKILIZA AUDIO YA WAZILI MKUU AKITOA TAMKO BUNGENI HAPO JUU WAZIRI Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki ametangaza Bungeni kuwa amejiuzulu kutoka katika wadhifa wake huo kutokana na...
View ArticleMATUKIO USIKU WA BEN MULOKOZI NDANI YA LINAS NIGHT CLUB DEC 20,2013 NA UJIO...
Pichani kushoto ni Mdau Tumusime Bocko mara baada ya kukutana na Mkurugenzi wa Linas Night Club , Ndg Mtensa pichani kulia, Mdau Tumusime yeye anaishi huko Chicago, Illinois ila kwa sasa yupo nyumbani...
View ArticleICC yaahirisha kesi ya Rais Kenyatta
Kesi inayomkabili Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta huenda ikachelewa kuanza baada ya mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa jinai (ICC) Kukiri kuwa hana ushahidi wa kutosha wa...
View ArticleRC KAGERA AHAMASISHA AMANI NA MSHIKAMANO ARFIKA MASHARIKI
Na Shaaban Ndyamukama December 21, 2013NGARAMkuu wa mkoa wa Kagera kanali mstaafu Fabian Masawe amewataka wananchi mkoani humo kuimarisha amani na mshikamano na nchi jirani katika kukuza jumuia ya...
View ArticleTASWIRA MAZISHI YA MAREHEMU RAKESH YALIOFANYIKA JIONI YA LEO DEC 21,2013
Mwili wa marehemu Rakesh ikiwa ndio unafikisha makaburi.Ibada ya mazishi ikiendelea.Kiongozi wa kidini akiongoza shughuli hii ya mazishi ya marehemu Rakesh. Umati wa watu uliofika kushiriki mazishi ya...
View ArticleUZINDUZI MIRADI YA DASIP KIKUKWE
Na Mutayoba Arbogast,MissenyiSerikali za vijiji zimetakiwa kutumia sheria ndogo ndogo kuhakikisha miradi mbalimbali ya kilimo na ufugaji inayoendeshwa na halmashauri za wilaya chini ya mpango wa...
View ArticleUSIKU WA BI ALISTIDIA KABANZA RUPIA MTOTO WA OMULANGIRA JUSTINE RWEZAURA...
Dec 21,2013 Camera yetu ikiangaza katika shughuli ya Pre-Wedding Party ya mwanadada Alistidia Kabanza Rupia mtoto wa kuzaliwakatika familia ya kichief ya Omulangira Justine Rwezara Rupia na...
View ArticleCHECK MATUKIO KATIKA MAPOKEZI NA MKUTANO WA ZITTO KABWE WILAYANI KASULU HII...
Taswira mapokezi mazito ya Mbunge wa Kigoma kaskazini Mh Zitto Kabwe mapema ya leo Dec 22,2013 yakiendelea kuelekea Viwanja Kiganamo mjini Kasulu.Vijana na mabango yao mkononi.Kama inavyo onekana...
View ArticleMDAU ALEX KAJUMULO WA BONGO LEGEND KATIKA SHATI LA MWALIMU NYERERE LITAKALO...
I manufactured only a limited number of shirts. These shirts are still worn today by some of the most powerful people in Tanzania, including: President Kikwete and fmr. President Mwinyi. I also send...
View Article“MADIBA”KATUACHIA FUNDISHO,TUTALITEKELEZA?
Na Prudence KarugendoSIDHANI kama kuna mtu aliyepata kufa kwa furaha kama alivyokufa mzee wetu, Nelson Rolihlahla Dalibunga Mandela “Madiba”. Hayo nayasemea kwa watu walioonja utamu wa kuongoza au...
View ArticleTASWIRA UZINDUZI WA ALBUM YA ZAWADI YA KRISSMAS KUTOKA KWA KAPOTIVE STAR...
Muonekano wa meza kuu kutoka kushoto ni Mzee Mchuruza, Mzee Philbart Nyerere, Mh. Meya Anathory Amani a Baba Askofu Kilaini. Waimbaji wa Kapotive Star Singers-Bukoba wakishambulia jukwaa.Muimbaji...
View ArticleMKUU WA MKOA WA KAGERA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO NA KUHIMIZA UKAMILISHWAJI...
Mkuu wa Mkoa Kagera Akikagua Vyumba vya Maabara za Sayansi, Madarasa Nyumba ya Mwalimu Katika Wilaya ya Karagwe. Mtoto Aiteka Maji na Kufurahia Mradi huo Katika Kijiji KibingoWilaya ya Kyerwa Mradi...
View ArticleMICHUANO KUTAFUTA MISS WA WILAYA- NGARA
Pichani ni Wanyange wanaowania miss Ngara katika mitindo mbalimbali ya maonesho wakiwa katika mazoezi ya PamojaNa Shaaban NdyamukamaKufuatia kuwepo kwa sikukuu za chrismas na mwaka mpya watoto wa kike...
View Article