Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA KIJIJINI GERA-ISHUNJU NA CAMERA YETU LEO DEC 24,2013

 Leo tena katika pitapita za hapa na pale, Camera yetu inakuangazia maeneo ya Gera,pande Kaloleni na Ishunju. Muonekano safi wa kijani hapa ni bondeni Kijijini Ishunju Sokoni Ishunju, biashara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Skylight Band kutoa burudani adimu kwa mashabiki wake ndani ya Escape One...

Kutoka kushoto ni Kipaji kipya ndani ya Skylight Band anafahamika kama DONODE, DIGNA MBEPERA, SAM MAPENZI na ANETH KUSHABA AK47 wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU BI CHRISTINA DIONIZI ILIYOFANYIKA KIJIJINI...

 Padre akiongoza ibada ya mazishi ya marehemu Bi Christina Dionizi Sehemu ya familia katika Ibada ya mazishi Sehemu ya wanakwaya  wakishiriki ibada ya mazishi. Picha ya Marehemu Bi Christina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHECK HEKAHEKA ZA MCHANA WA X-MASS MJINI BUKOBA DEC 25,2013

Ni majira ya saa 11 alasili,Camera yetu  katika pitapita  za hapa na pale kwa lengo la kukufikishia yanajili wewe mdau mpenzi na shabiki wa Bukobawadau Blog.Ikiwa leo ni siku  X-mas Decembar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘Mwamunyange, Mwema watakiwa wajiuzulu’

Mkuu wa Majeshi Nchini, Davis Mwamunyange na Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Said Mwema nao wametakiwa kujiuzulu kutokana na uozo uliobainika katika ripoti ya Operesheni Tokomeza Ujangili, iliyosababisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJILI USIKU WA CHRISTMASS DEC 25,2013 MJINI HAPA

 Ni usiku wa Christmass 2013 hivi ndivyo msanii Nshomile aka 'Mnyaluganda' alivyowapagawisha mashabiki waliojitokeza ndani ya ukumbi wa Linas Night Club kama ilivyo ada.Mdau Ben Kataluga pichani kulia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU MAPEMA YA BOXING DAY DEC 26,2013

Camera yetu mtaani hivi punde inakutana na  Ndg Smart Bahitani (Cosad Tanzania)akiwa na familia yake katika viwanja vya Bukoba Club. Wadau pichani wao kimaisha wapo jijini Dar es Salaam,Kama kawaida...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Skylight Band yaporomosha burudani ya kukata na shoka X-MASS ndani ya kiota...

Vijana wa Skylight Band wakionyesha manjonjo yao kwa mashabiki wa Band hiyo wakati wa sherehe za X-MASS ndani ya fukwe za kiota cha Escape One walipotoa burudani ya kukata na shoka kwa mashabiki wao....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Penzi la Diamond na Wema si kificho tena, Diamond amtambulisha Wema rasmi...

Tukio hilo lilitokea rasmi juzi kwenye show ya Diamond pale leaders Club ambapo Diamond aliuliza msahabiki wake kuwa ''Mntaka kumjua mchumba wangu?'' na ndipo baada ya muda mfupi alipanda stejini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUMERUDI KWA KISHINDO;GAZETI LA MTANZANIA

Kurejea tena mtaani kwa gazeti la mtanzania

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI LEO IJUMAA DEC 27,2013

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSICHANA MWINGINE WA KITANZANIA AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA

Nchi ya Tanzania imeingia tena kwenye headline kuhusiana na suala la Madawa ya kulevya baada ya kukamatwa tena kwa Mtanzania mwingine akisafirisha Madawa hayo toka Thailand kuelekea Macao nchini China...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA NDOA YA HENRY KILEWO NA JOYCE KIRIA ILIYOFANYIKA JANA DEC 26,2013

Ni hatua waliyoipitia kwa siku ya jana Dec 26,2013.Bukobawadau Blog Tunawatakia maisha marefu yenye furaha tele.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIGOGO WA CCM WILAYANI NGARA AHAMIA CHADEMA

Dk Peter Bujari. Picha kutoka MaktabaNA Shaaban Ndyamukama December 27, 2013Kada wa Chama Cha Mapinduzi  CCM wilayani Ngara mkoani Kagera ambaye aliwahi kugombea nafasi ya ubunge mwaka 2010  kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKU WA MONICA KOKUBANZA NDANI YA LINAS CLUB USIKU WA JANA

Bi harusi mtalajiwa ,Bi Monica Kokubanza Musabalala wa Kitobo Bulumbwe Wilayani  MisenyiSalam na utambulisho kutoka kwa Baba Mzazi wa Bi harusi mtalajiwa.Meza ya Baba wadogo wa Bi harusi mtalajiwa Bi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GROOVEBACK 5 YEAR ANNIVERSARY CHINI YA UDHAMINI WA WINDHOEK LAGER.

 KINYWAJI CHA WINDHOEK LAGER wadhamini wakubwa wa ile shangwe ya bonge la party la kusherekea miaka mitano ya Grooveback Djs ambayo inaundwa na ma dj wakali na maharufu nchini, ambao ni Dj Peter Moe,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA DUNIA YATOA FEDHA KUJENGA MIRADI YA MAJI BIHARAMULO

 1 Mhandisi wa maji katika Halmashauri ya wilaya ya Biharamulo Bw Davidi Kaijage (katikati )na mwenyekiti wa halmashauri hiyo Apolinari Mugarula wakiwa na kanali  Fabian Massawe wakieleza ujenzi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUKO MBEYA MAHARI YASABABISHA NDOA ISIFUNGWE.

 Bi Harusi Naomi Ngoje akiwa amejilalia chumbani akisubiri hatima ya Wazazi ndipo ajiandae kwenda kanisani tayari kwa kufunga ndoa na mchumba wake waliodumu kwa miezi saba.Bwana harusi akiwa na mpambe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUKOBA YETU LEO DEC 30,2013

Katikati ya Mji wa Bukoba , libeneke la Bukobawadau Blog katika pita pita za hapa na pale kwa siku ya leo Jumatatu Dec 30, 2013,Muonekano wa Jengo la familia ya Omulangira Lutinwa.Mtaa wa Haki, maarufu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MACHO YETU KAMACHUMU, SHANGWE ZA DECEMBER 2013 NDANI KAMACHUMU INN

 Kama kawaida ukifika sehemu lazima kuuliza wenyeji, hapa ni katika Mji mdogo wa Kamachumu,Camera inakutana  uso kwa uso na Mkurugenzi wa Hotel ya Kamachumu Inn aliyejitambulisha kwa jina moja la Mama...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>