Mchambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo akishangilia bao lake la pili dhidi ya Schalke na hivyo kuweka rekodi mpya kwa kuongoza safu ya wafumania nyavu katika ligi ya mabingwa Ulaya .Ronaldo (Sporting Lisbon, Manchester United ,Real Madrid) mwenye mabao 78 ameweka historia mpya dhidi ya Lionel Messi (Barcelona)mwenye mabao 76 naRaul (Madrid ,Schalke mwenye rekodi ya kufunga mabao 77.
Real Madrid wamefuzu kwa mkondo ujao licha ya kuchapwa mabao 4-3 na Schalke 04 ya Ujerumani.
Ronaldo akifuatilia kwa macho mpira wa bao lake la kwanza dhidi Schalke na kumuacha bila jinsi kipaTimonWellenreuther.
Real walianza mechi hii wakiwa na mabao mawili ya ugenini kufuatia ushindi wao wa mkondo wa kwanza, mpaka kipenga cha mwisho Real Madrid 3-4 Schalke (5-4)
Mchezaji YacineBrahimi anaipatia Schalke bao la kwanza kwa kuunganisha mpira wa adhabu
Mfaransa Karim Benzemaanaipatia timu yake yaReal Madridbao la tatu.
Mchezaji Klaas-Jan Huntelaar wa Schalke akishangilia baada ya kuipatia timu yake bao la pili na kuongoza mnamo dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza cha mchezo .

WAFUNGAJI BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA (PAMOJAUEFASUPERCUP)