JK ahudhuria mkutano wa kujadili miradi iliyoko katika Ukanda wa Kaskazini...
Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kwa furaha sahada la maua baada ya kuwasili Kigali, Rwanda, tayari kwa mkutano na viongozi wenzake wa...
View ArticleJumuiya ya Bango Sangho watoa huduma za afya bure Kibugumu
Dk Hamza Mzige kutoka Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe akimpima moja ya mtoto aliyeletwa kupata huduma katika zoezi hilo lililoendeshwa eneo la Kibugumu Kigamboni jijini Dar es Salaam. Mratibu wa...
View ArticleBALOZI WA HARAKATI ZA "IMETOSHA!" HENRY MDIMU APELEKA UJUMBE WAKE UWANJA WA...
Na Henry MdimuTangu asubuhi leo nilikuwa busy na awareness za uwanja wa Taifa katika mechi ya watani wa Jadi Yanga na Simba (picha ya pili). Ila jioni hii nilipoangalia simu yangu nikakuta watu...
View ArticleIMARISHA SACCOS KIGARAMA YAWAVUTIA WAGENI KUTOKA CAMEROON NA DRC CONGO
MAKANISA mbalimbali ya Kikristo yametakiwa kubuni mipango endelevu ya kuinua uchumi wa waamini wao katika jitihada za kupambana na umaskini,badala ya kukaa tu na kusubiri wokovu wa mbinguni.Wito huo...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2015 MOROGORO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa kwa furaha alipowasili uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 kuongoza kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa kitaifa...
View ArticleUNESCO, TIE na OUT wafadhili kozi kuboresha mitaala ya elimu Afrika
Ofisa mwakilishi wa Naibu Waziri wa Elimu, Anne Kilango Malecela akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa programu hiyo ya uboreshaji mitaala. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania, Profesa Tolly...
View ArticleLISSU ATANGAZA RASMI ZITTO KUVULIWA UANACHAMA CHADEMA
Mwanasheria mkuu wa chama cha CHADEMA Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama kwa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali...
View ArticleRONALDO AWEKA REKODI KWA UFUNGAJI (UEFA) FULL TIME:REAL MADRID 3-4 SCHALKE
Mchambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo akishangilia bao lake la pili dhidi ya Schalke na hivyo kuweka rekodi mpya kwa kuongoza safu ya wafumania nyavu katika ligi ya mabingwa Ulaya .Ronaldo...
View ArticleAJALI MBAYA YATOKEA IRINGA
PICHA ZINATISHA SI VYEMA KUZIPOST TUWE MAKINI NA HILOTaarifa za awali kutoka jeshi la polisi mkoani Iringa zinaeleza kuwa basi la kampuni Majinja lililolaliwa na lori lilikuwa limebeba jumla ya watu...
View ArticleBALOZI KAMALA AKUTANA NA VIONGOZI WA ASASI YA WERELD MISSIE HULP YA UBELIGIJI
Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Asasi ya Wereld Missie Hulp ya Ubeligiji Bwana Wim Smit (wa pili kutoka kushoto)....
View ArticleZITTO ZUBERI KABWE NA HATIMA YA KISIASA KUTOKANA NA ULEVI WA KIVULI CHA...
NA DANIEL EZEKIEL DANIEL.ZITTO ZUBERI KABWE ni miongoni wa vijana wenye uwezo mkubwa sana wa kufikiria,kuchambua,kutegua mitego,kuchukua hatua na pengine kwa kasi yenye weledi mkubwa hasa katika...
View ArticleALICHOKISEMA MWIGULU NCHEMBA KUHUSU ZITTO KABWE KUFUKUZWA UANACHAMA CDM
Mh.Mwigulu Nchemba Mbunge wa Iramba Magharibi na Naibu Kaitibu mkuu wa CCM Bara kupitia ukurasa wake wa facebook amesema;IMENISIKITISHA,Nimesikia taarifa za kuenguliwa uanachama kwa Mh.Zitto Kabwe...
View ArticleWANANCHI MKOANI KAGERA WANUFAIKA NA MPANGO WA URASIMISHAJI WA RASILIMALI NA...
Bi Seraphia Mgembe Mratibu wa MKURABITA Akitoa Neno Wananchi WaliokusanikaBw. Rusibamaila Mkurugenzi MKURABITA Akisoma Hati Moja Moja Kwa Furaha Ili Wenyewe Wajongee KuzipokeaMkuu wa Mkoa wa Kagera...
View ArticleVINARA CHELSEA WAONDOLEWA;CHELSEA 2-2 PSG (agg 3-3)
Timu ya Chelsea imeondolewa rasmi kwenye mashindano ya ligi ya Mabingwa Ulaya kwa sheria ya bao la Ugenini kufuatia sare ya 2-2 na kumpa nafasi PSG kuungana na Bayern Munich ,Porto na Real Madrid...
View ArticleGLADNESS MARTIN BRUS PASIPOTI YAKO NA VITAMBULISHO VINGINE VIMEOKOTWA
BI GLADNESS MARTIN BRUSH PASIPOTI YAKO NA VITU VYAKO VINGINE AMBAVYO ULIPOTEZA AMA KWA KUDONDOSHA AU KUPORWA POCHI YAKO BASI HATI YAKO HIYO NA VITU VINGINE MBALIMBALI VIMEOKOTWA NA VIPO KATIKA MIKONO...
View ArticleSHUGHULI YA KITCHEN PARTY (MJUBURO) WA BIBIE RUKIA NADHIR RAJABU KUFANYIKA...
Mama Amina Sued Kagasheki wa Mtaa wa Twiga (Bilele ) Mjini hapa anapenda kuwafahamisha na kuwaalika ndugu , majirani na marafiki wa familia yake kushiriki katika Shughuli ya kumfunda,kumzawadia na...
View ArticleIT'S FRIDAY AND ITS ON #TGIF, SKYLIGHT BAND KUKINUKISHA THAI VILLAGE USIKU...
Wadau na wapenzi wa muziki wa live nawa kiwango cha juu, wote wanakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band.Karibuni sana tuanze weekend...
View ArticleMSANII JUX AONYESHA NYUMBA YAKE
Some Weeks Ago Juma Jux aliweka Picha ikionyesha kipande cha nyumba yake , picha hiyo ilitafsiriwa vibaya na baadhi ya mashabiki wake na wengine kusema anajenga gala...Sasa leo amepost ikiwa inaonekana...
View Article