$ 0 0 Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni Lotus Bwana Matthieu Boone. Balozi Kamala ametembelea Kampuni hiyo Lembeke Ubeligiji leo.