BODI YA PAROLE YA MKOA WA KAGERA YAZINDULIWA RAMSI KUSHUGHULIKIA WAFUNGWA...
Bodi ya Parole ya Mkoa yazinduliwa rasmi Mkoani Kagera na Mkuu wa mkoa Mheshimiwa John Mongella na kupelekea bodi hiyo kukaa kikao chake cha kwanza cha kisheria Mrchi 26, 2015 baada ya kuteuliwa rasmi...
View ArticleMADEREVA 21 WA KAMPUNI YA MAJINJAH LOGISTICS LTD WAPATIWA MAFUNZO CHUO CHA...
Wafanyakazi wa Kampuni ya Majinjah Logistics Ltd wakiwa katika picha ya pamoja na kutoka kushoto mstari wa mbele (wa pili) Mkuu wa Kampuni ya Majinjah,Geoffrey Mwambona, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...
View ArticleNYUMBA YA RUBANI WA NDEGE YACHUNGUZWA
Polisi nchini Ujerumani wamegundua kile wanachosema kitawasaidia katika kubaini kiini cha rubani msaidizi Andreas Lubitz, kuangusha ndege na kuwauwa abiria wote 150.Hayo ni baada ya kufanya msako...
View ArticleBALOZI KAMALA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI WA KAMPUNI Y A LOTUS
Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni Lotus Bwana Matthieu Boone. Balozi Kamala ametembelea Kampuni hiyo Lembeke Ubeligiji leo.
View ArticleKIJANA MWENYE TATIZO LA ULEMAVU AFUNGIWA NDANI ZAIDI YA MIAKA 10
Kijana mwenye tatizo la ulemavu amegundulika kufungiwa ndani ya chumba kwa zaidi ya miaka kumi na wazazi wake kwa madai ya kuficha aibu bila kutolewa nje kupata hewa katika chumba kilichopo mtaa wa...
View ArticleBUNGE LAPITISHA MUSWAADA WA SHERIA YA BAJETI YA MWAKA 2014
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limepitisha muswada wa sheria ya bajeti wa mwaka 2014 ambao unatajwa kuwa utakuwa suluhu ya kudumu ya matumizi ya fedha za umma kwa nidhamu na kuliepusha...
View ArticleJK ASIKITISHWA NA MATAMKO YA VIONGOZI WA DINI YA KUWATAKA WAUMINI KUPIGA KURA...
Rais Jakaya Kikwete amesema amesikitishwa na kushangazwa kwa kitendo cha baadhi ya viongozi wa dini kutoa matamko kwa waumini wao ya kuwataka kupiga kura ya hapana kwa katiba inayopendekezwa na...
View ArticleUTAFITI MIKOA 13 NCHINI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WAONYESHA LOWASSA ANAONGOZA
Utafiti uliofanywa katika mikoa 13 hapa nchini kuelekea katika uchaguzi mkuu umebaini kuwa wananchi wanamhitaji kiongozi ambaye atakuwa na nia thabiti ya kupambana na kudhibiti rushwa na...
View ArticleHOTUBA YA ZITTO KABWE UZINDUZI WA ACT WAZALENDO MARCH 29,2015
Watanzania wenzangu, wageni waalikwa Nawashukuru kwa kuwa pamoja nasi siku hii ya kihistoria. Karibu Miaka 54 iliyopita tulipopata uhuru, Muasisi na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
View ArticleKUHUSU WASIFU WA MWIGULU NCHEMBA
HII TUMEICHUKUA KAMA ILIVYO:BAADA YA KUSIKIA anatajwa tajwa ... MWIGULU ... Mwigulu .... ikabidi UTAFUTWE wasifu wake,KIKUBWA zaidi ni kwamba kwa sasa ni Mwanafunzi wa PhD. (Economics) pale UDSM....
View ArticleWATANO WAJERUHIWA BAADA YA KUANGUKIWA NA KIFUSI JIJINI MWANZA
Watu watano wamejeruhiwa vibaya na kulazwa katika hospitali ya rufaa Bugando, baada ya kuangukiwa na kifusi cha ukuta wa jengo la biashara la Ghorofa saba linalojengwa katika eneo la barabara ya...
View ArticleSONGEA:MWANAMKE ASHIKILIWA NA POLISI KWA KUMKATA MTOTO KWA JEMBE JICHONI
Mwanamke mmoja Shida Ngai mwenye umri wa miaka 35 mkazi wa makambi katika manispaa ya Songea mkoani ruvuma, anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumpiga na kisha kumkata kwa jembe...
View ArticleFREDERICK MWAKALEBELA ASEMA JIMBO LA IRINGA MJINI MALI YA CCM 2015
Kamanda wa uvccm wilaya ya Iringa mjini Frederick Mwakalebela akiwahutubia wananchi ktk uwanja wa mwembetogwa ktk mkutano ulioandaliwa na uvccm Iringa mjiniWananchi Iringa mjini wakiwa ktk mkutano wa...
View ArticleBREAKING NEWS :ASKARI WAWILI WAUAWA NA MAJAMBAZI ENEO LA KONGOWE
Majambazi wamevamia kizuizi cha polisi katika eneo la Kongowe na kuua askari wawili na na kumjeruhi mmoja na kupora SMH 2 na pia baada ya tukio hilo wamevamia sheli ya lake oil na kutokomea msitu wa...
View ArticleMTANZANIA AKAMATWA KWA UGAIDI KENYA
Vyombo vya usalama nchini Kenya, vinawashikilia wasichana watatu akiwamo Mtanzania, kwa kile kunachodaiwa kutaka kujiunga na kundi la kigaidi la al-Shabaab huko Somalia.Taarifa kutoka kwa Kamishna wa...
View ArticleWIMBO WA ACT WAZALENDO
Watu ambao wanatumia Vodacom, mnaweza kupata mlio wa wimbo wa ACT. Tuma "ACT" kwa namba 15577.
View ArticleTAMKO LA JUKWAA LA WAKRISTO TANZANIA KUHUSIANA NA MUSWADA WA MAHAKAMA YA KADHI
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjiri la Kirutheri, Dr. A. G Malasusa TAMKO LA JUKWAA LA WAKRISTO TANZANIA KUHUSIANA NA MUSWADA WA MAHAKAMA YA KADHI Sisi, Maaskofu kutoka TEC, CCT na CPCT tumekutana leo...
View ArticleNGUVUNI KWA KUFUKUA KABURI LA ALBINO NA KUMNYOFOA VIUNGO WILAYANI KARAGWE!
JESHI la Polisi mkoani Kagera, linawashikilia watu wawili wakituhumiwa kufukua kaburi la marehemu Baltazar John mwenye ulemavu wa ngozi (albino) na kuchukua viungo viungo vyake. Anaandika Mwandishi...
View ArticleMKUU WA MKOA WA KAGERA AKITEMBELEA KIWANDA CHA KAGERA SUKARI KUJIONEA...
Katika mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now) kitaifa unaolenga kuinua uchumi wa nchi kupitia sekta mbalimbali za kilimo, Maji, Elimu na Miundombinu mkoa wa Kagera nao umelenga kuinua uchumi...
View Article