MAASKOFU WAWATAKA WAKRISTO KUWA WATULIVU WAKATI SAKATA LA ASKOFU GWAJIMA...
Siku moja baada ya kiongozi wa kanisa la ufufuo na uzima kuachiwa kwa dhamana na jeshi la polisi, maaskofu na wachungaji kutoka makanisa mbalimbali wameibuka na kuwataka wakristo kote nchini kuwa...
View ArticleWANACHAMA TBN,CLOUDS FM WATEMBELEA PSPF
Ofisa Uhusiano wa Mfuko wa PSPF, Abdul Njahidi (kulia) akiwaonesha baadhi ya wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM baadhi ya tuzo walizozitwaa kutokana na huduma...
View ArticleWATU 6 WAMEUAWA KUFUATIA SHAMBULIZI LA CHUO KIKUU NCHINI KENYA
Mpaka sasa Watu 6 wamedaiwa kuuawa kufuatia shambulizi la chuo kikuu nchini Kenya huku wanne wakijeruhiwa Wapiganaji waliofunika nyuso zao wameshambulia eneo la chuo kikuu cha Garissa kaskazini mwa...
View ArticleVIDEO:HOJA YA SELEMANI JAFO ILIYO ZUA UTATA BUNGENI SIKU YA JANA APR 1,2015
Waziri Mkuu Amaliza Utata wa BVR bUNGENI | Habari TBC Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda amesema serikali imekamilisha malipo ya gharama za mashine za BVR na kuitaka tume kupanga ratiba ya uandikishaji.
View ArticleSHUGHULI YA KITCHEN PARTY (MJUBURO) WA BIBIE RUKIA NADHIR RAJABU KUFANYIKA...
Mama Amina Sued Kagasheki wa Mtaa wa Twiga (Bilele ) Mjini hapa anapenda kuwafahamisha na kuwaalika ndugu , majirani na marafiki wa familia yake kushiriki katika Shughuli ya kumfunda,kumzawadia na...
View ArticleMKOA WA KAGERA WAADHIMISHA SIKU YA KUPANDA MITI KITAIFA WILAYANI ‘MISSENYI...
Aprili Mosi kila mwaka huwa ni siku ya kupanda miti kitaifa na mwaka huu 2015 mkoa wa Kagera ulipewa heshima ya kuadhimisha siku hiyo ambapo iliadhimishwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi na...
View ArticleMWANZO WA KUIPATA PESA NI KUIJUA KWANZA!
Je? Na wewe ni mmojawapo wa wanaotafuta pesa? Kama jibu ni ndiyo, hiyo pesa unajua ni nini? mbali na kufahamu sura tu ya sarafu na noti? Ukiacha hilo, kuna cha zaidi unachojua kuhusu pesa? Ikiwa jibu...
View ArticleTIMU YA SIMBA SC YAPATA PIGO,WANACHAMA WAKE 7 WAFA AJALINI
Wanachama Saba (7) wa klabu ya Simba ya Dar es salaam kutoka tawi la Mpira na Maendeleo (maarufu kama Simba UKAWA) ambalo limewahi kutangazwa kufutwa wamefariki dunia katika ajali ya basi mkoani...
View ArticleTAMKO LA RASILIMALI NA MADENI LA NDUGU ZITTO ZUBERI KABWE (KIONGOZI WA CHAMA...
TAMKO LA RASILIMALI NA MADENI LA NDUGU ZITTO ZUBERI KABWE (KIONGOZI WA CHAMA ACT-WAZALENDO) KWA MUJIBU WA KATIBA YA ACT-WAZALENDO Tamko La Rasilimali Na Madeni-zitto Zuberi KabweKATIKA PICHA WATU...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA YA TBN KUMUOMBA MH. RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ASIPITISHE...
TAARIFA KWA UMMA YA TBNKUMUOMBA MH. RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ASIPITISHE MUSWADA WA SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAONI, 2015Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN)...
View Article"NITAKUPWELEPWETA SHOO'' KUFANYIKA CLUB LINAS JUMATATU YA PASAKA APRIL 6,2015
BENDI ya muziki wa kizazi kipya ya Yamoto Band ambayo ndo habari ya Mjini ikiongozwa na Mwimbaji Aslay mwenye ukomavu wa sauti kuliko umri wake katika game ya muziki, Itafanya Live show ndani ya ukumbi...
View ArticleMAUAJI YA GARISSA :MTANZANIA AKAMATWA !
Picha ya mtuhumiwa anaye semekana kuwa Mtanzania Taarifa iliyopo inasemaa kuna Mtanzania mmoja kati ya washukiwa wanne waliokamatwa wakiwa hai kwa kukishambulia Chuo kimoja kikuu nchini Kenya na...
View ArticleHABARI KUTOKA ITV
HABARI ITV:Hali ya taharuki imewapata wakazi wa kijiji cha Park Nyigoti kata ya ikoma wilaya ya Serengeti baada ya mahakama kutoa ruhusa ya kufukuliwa kwa mwili wa Bi. Celina Jumapili aliyefariki dunia...
View ArticleMNEC JULIUS LUGEMALIRA MGENI RASMI FAINALI ZA MSAFIRI MATELPHONE (MISENYI )
Zile Fainali za michuano ya Msafiri Matelphone wale mabingwa wa kuuza simu Original aina zote zenye warrant ya miezi 12 ziweza kufikia tamati siku ya jana April 5,2015 katika Uwanja wa Shule ya...
View ArticleBUKOBA!'FULL KWECHENCHA' NA YAMOTO BAND!
Usiku wa kuamkia leo ,wale Vijana wa YAMOTO BAND wenye sauti tamu na Vipaji vya hali ya juu wameendelea kuacha gumzo ndani ya Mji wa Bukoba kwa makamuzi ya show ya hatari iliyopigwa live katika Ukumbi...
View ArticleKAGERA MIONGONI MWA MIKOA 7 YENYE MAISHA DUNI NCHINI
Ripoti yataja mikoa 7 yenye maendeleo duni ya watu Tanzania. DODOMA, KIGOMA, SINGIDA, KAGERA, TABORA, SHINYANGA na PWANI ndio mikoa inayoongoza kwa maisha duni ya watu Tanzania Hayo yamo katika ripoti...
View ArticleBALOZI KAMALA ATEMBELEA KAMPUNI YA MISTRA HOME SHOPPING YA UBELIGIJI
Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala Pichani (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mistra Home Shopping ya Ubeligiji. Balozi Kamala ameikaribisha...
View ArticleWIMBO MPYA WA KIHAYA EKIGAMBO BY DAT
Pichani ni Msanii DAT anayefanya vyema kunako gemu la muziki wa Asili na muziki Bongo.Msanii DAT amekuja na staili ya muziki inayoitwa “Taula Style” kupitia dhima ya kazi yake ya sanaa inayoitwa “Taula...
View ArticleCAMERA YETU SHULE YA MSINGI BUHORORO WILAYANI NGARA
Wananfunzi wa shule ya msingi Buhororo wilayani Ngara mkoani Kagera wakiwa katika shughuli za kupanda maua shuleni hapo katika mipango mikakati ya kulinda na kuhifadhi MazingiraBaadhi ya wanafunzi wa...
View ArticleKATIBU MKUU WA SEKRETARIETI YA AFRIKA, KARIBIANI NA PACIFIC AKUTANA NA BALOZI...
Pichani ni Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Afrika, Karibiani na Pacific Balozi Patrick Gomes (kushoto) baada ya kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala P...
View Article