$ 0 0 Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala Pichani (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mistra Home Shopping ya Ubeligiji. Balozi Kamala ameikaribisha kampuni hiyo kuwekeza za Tanzania.